John Mnyika: Taifa linaongozwa na sadist..

John Mnyika: Taifa linaongozwa na sadist..

Sisi ndio tunaamua mahali pa kupeleka fedha na hamna cha kutufanya - Heri James , Mwenyekiti UVCCM
kama haombi hela ,huyu jamaa atakuwa mmoja ya watu wa kwanza kwnza kuachia jimbo na dada yake Mdee, sio mbaya tutaendelea kuwa pamoja nao kwenye mitandao
 
duh mnyika ajiandae baada ya zitto.kwanza hajaunga juhudi za mtukufu rais wetu
 
Nauliza jamani niambieni, mtu anayetaka watu waishi kama mashetani ni nani?

Ni nani huyo anayetumia rambirambi za wahanga huku akiwananga?

Anayetaka wasiokuwa na pesa ya kivuko wapige mbizi, ana upendo sana ati ehee?

Hivi kweli anayejali atawaambia watumishi wake muhimu ati wakabangue korosho kwa meno?

Ni jeuri ya namna kumwambia msaidizi na mtendaji wako mkuu ati nitawapiga hata shangazi zako!! Kweli?

MUNGU ATUPONYE NA ROHO YA USADIST, NI ROHO YA KOROSHO NA HAIFAI KABISA.

MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU.
Mtu ashasema yeye ni kichaa u sadist ni kama cousin tu wa kichaa hajamfikia kichaa mwenyewe

Sijui mnashangaa nini mkuu.
 
Haya maelezo hutolewa na watu wenye msongo wa mawazo
Sijaongea kiushabiki huo ndio ukweli,acha yeye abaki kwenye mitandao Bonnah yuko field kila siku,Kimanga mzigo unapigika, Bima hoya hoya, jeshini maji chumvi mpaka kimara kuna mkeka unatandazwa wa maana,bado kiwalani,maji yakikatika fasta anatua na wataalam
 
Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.

Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!

Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.

Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.

Hili sio tusi kweli?!
Maneno ya kwenye kanga tena ya wake wenza.Sisi wanaume hayatuhusu.
 
UCHAGUZI bado wewe unatabir matokeo leo. mkiambiwa mnapendlewa na tume mnainua viuno jujuu kama mchezavyo ngoma za komba pale chimwaga
huyo na Mdee wajiandae mapema kabisa,hamna tume wala nini,hawajadeliver chochote hii term
 
Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.

Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!

Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.

Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.

Hili sio tusi kweli?!
We mwenyewe unasema hujui anamaamisha taifa gani, sasa why are you concluding is Tanzania? Sadist is someone who obtains pleasure by inflicting pains or others. Sasa wewe unapo conclude ni Tanzania unamaanisha kuna mtu hapa kwetu unayemuona anatabia za u sadist? Kama u sadist ni tusi kama unavyodai ingawa sio tu, inamaanisha wewe ndio tayari umemrukana mtu ambaye unadhani anatabia za u sadist.
 
Back
Top Bottom