John Mnyika: Taifa linaongozwa na sadist..

Hivi Mnyika anajua Kibamba mpaka leo barabara kibao zinapitika kwa shida sana,akipata muda apite Segerea atashangaa sana
Siyo barabara zinazotoka kwa shida tu, hata watu kibao wamebomolewa nyumba zao kwa kuwa hawakumpigia kura mtukufu.
Halafu suala la barabara ni budget ya serikali siyo ya mbunge, kama walivyosema hawapeleki maendeleo sehemu zinazoongozwa na upinzani
 
Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.

Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!

Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.

Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.

Hili sio tusi kweli?!
Siku midogo ikiona inaonewa ........yataongea.
 
Tusi kwa nani?
 
Ni maoni yake lakini alipaswa kukumbuka 'SADISM IS INEVITABLE,WHEN THE SITUATION IS ALARMING'
Tumechezewa sana acha tunyooshane
 
Back
Top Bottom