Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,175
- 143,968
We Mwalimu vp? Kwani siyo sadist ?
Mi ni mwalimu?
We Mwalimu vp? Kwani siyo sadist ?
Tusi gani?Kusambaza taarifa za matusi kwa watu ni uhalifu,huyu anastahili kushtakiwa mahakani
Still employed as a Security Guard?I’m still the same ‘ol G. The independent thinker.
What else?
Still employed as a Security Guard?
You wont admitt but you have been employed in the same capacity for the last five years .I’ve never been a security guard in my life!
What else?
Wewe una akili za matakoni.Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.
Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!
Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.
Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.
Hili sio tusi kweli?!
You wont admitt but you have been employed in the same capacity for the last five years .
Umeandika vizuri maana kufanya watu wengine waishi kama mashetani ni njia moja wapo ya "Kupata Furaha/Amani/Utulivu kwa kutia maumivu watu wengine"Sadist ni neno lenye fumbo zito sana. Ili mtu alielewe basi English Grammar iwe imelala vizuri kichwani.
Neno "Sadist" ni Etymology.
Limetokana na neno la Kifaransa "sadisme". Limechukua mzizi kutoka kwa mwandishi "Marquis de Sade", aliejulikana sana kwa ubingwa wake wa uandish juu ya maswala yanayo husiana na UHURU, miongoni mwa maandishi yake ni "Kupata Furaha/Amani/Utulivu kwa kutia maumivu watu wengine".
Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.
Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!
Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.
Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.
Hili sio tusi kweli?!
Lakinj inaonesha wewe ndio mpumbavu kwani badala ya kuchangia mada kwa busara unatoa cheap insults!Mnyika is stupid!
Just like you sh....... holeMnyika is stupid!
HahahaMnyika is stupid!
Mnyika is stupid!
Mnyika anaona kutoa kauli kama hizo ndio ataonekana mwanaharakati haswa.
Inasikitisha namna tulivyo na wapinzani hovyo hapa nchini
How..?Mnyika is stupid!
Yuko sahihi kabisa, ignorant, arrogant, stupid and a sadistNi maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.