John Mnyika: Taifa linaongozwa na sadist..

Subiri barua ya uteuzi
Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.

Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!

Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.

Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.

Hili sio tusi kweli?!
 
Taifa lipo njia panda. Watanzania ama watashikamana au kwa jeuri ya wachache wataangamiza taifa.
 
Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.

Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!

Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.

Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.

Hili sio tusi kweli?!
Huyu dogo namuhurumia sana, kashaanza ujinga ujinga
 
Watu wamechoka, sasa hawaogopi tena jela wala mahabusu.

Uvumilvi ni wazi unafika kikomo, ndio maana wanaandika maneno hayo. Hawajali tena nini kitafuata.

Wacha tuone ni wapi tunaelekea ingawa hii teyari ni ishara mbaya.
Watu wenye akili mbofu mbofu na za kifisadi lazima wachoke tu , waliozoea kwenda dubai semina ni lazima wachoke tu, wachumia tumbo lazima wachoke tu
 
Watu wamechoka, sasa hawaogopi tena jela wala mahabusu.

Uvumilvi ni wazi unafika kikomo, ndio maana wanaandika maneno hayo. Hawajali tena nini kitafuata.

Wacha tuone ni wapi tunaelekea ingawa hii teyari ni ishara mbaya.
Mbona unatusemea? Sema wewe umechoka
 
Mnyika always right on the money. He got it right both times. I remember the previous one(JK), about "being weak", and now jiwe being a sadist!

I would say he is right on both occasions.

However, none is a substitute for the other...sadism should not be a replacement for weakness.
Kwahyo unampongeza kwa ujinga anaoufanya? Haya subr 2020 kama atashinda kibamba
 
Mnyika anaona kutoa kauli kama hizo ndio ataonekana mwanaharakati haswa.

Inasikitisha namna tulivyo na wapinzani hovyo hapa nchini
Wapunzani wa hovyo wanawapinga viongozi wapuuzi ...wajinga na mazwazwa.
 
Ni maneno ya Mbunge wa Kibamba na kiongozi wa CHADEMA, John J. Mnyika.

Ametweet kwamba taifa linaongozwa na sadist. Sijui anamaanisha taifa gani ila huenda akawa anamaanisha Tanzania. Kwa maana hiyo, kiongozi wa taifa hili ni sadist!

Sadist ni neno la kiingereza linalomaanisha mtu ambaye furaha yake inapatikana pale anapowaumiza wengine. Ni kama katili fulani hivi anayeburudishwa na mateso ya watu wengine.

Si mara ya kwanza kwa Mnyika kutoa misemo ya alama kwa viongozi wa taifa hili. Itakumbukwa wakati wa Rais Kikwete alimuita Rais huyo Dhaifu bungeni na jina hilo likavuma mpaka sasa.

Hili sio tusi kweli?!
Kiongozi wake yeye si Lowassa?,akomae nae
 
Achana na hilo jamaa lenye magonjwa walahi
 
Back
Top Bottom