John Mnyika: Taifa linaongozwa na sadist..

John Mnyika: Taifa linaongozwa na sadist..

Ataishi milele akifurahia mateso ya wengine?
Hivi wewe unafurahia utakatishaji fedha, biashara ya madawa ya kulevya, wizi wa fedha za umma, miradi isiyokidhi mahitaji halisi wakati gharama za miradi hiyo zilitolewa zote...nakuuliza unafurahia haya? Sina haja ya kumjadili anayezungumwa na mleta mada bali nampa mtihani! Ajitafakari, bado anajiona anafaa kuwa kuendelea kuwa mmoja ya wasimamizi wa misingi ya uwendeshaji wa nchi na kupinga makosa yote ya jinai na uhujumu uchumi na vizazi vya nchi hii. Nasema J.Mnyika ajitafakari kama anajiona anafaa kwa kebehi hizi dhidi ya mtanzania anayetaka watu waache dhuluma kwa wenzao katika anga zote!!
 
Mnyika amesema ukweli kabisa
Ukimchunguza huyu mtu kwenye makuzi yake utakuta ndio wale utotoni walikuwa wanakamata hata paka na kumchinja huku akifurahia anavyokufa. Watoto wenye makuzi ya kikatili wakikua ni hatari sana kuwapa madaraka, ndio hao wanao ngoa binadamu kucha huku anakunywa chai
 
Sadist ndio hao wasiojulikana wanaom hunt mtu mpaka nje ya nchi kisa kakataa ushenzi wa CCM.
 
Waoinzani mbona hawana jipya kwa sasa, mimi naona wanapiga tu mayowe yasio na tija
 
Sadist ni MTU yeyeto aliekosa upenda wa mzazi utotoni, na alikulia kwenye dhiki hivyo anaishi history yake ya nyuma. Wazazi waleeni vyema msiwaumize watoto wenu wakipata nafasi watawatesa wenzao ili kupata Furaha.
 
MTU anafurahi kuona wengine wakilia wakiumia, mara nyingi hawa huwa wamepatikana toka kwa waganga kwenye zile koo zenye laana, ambapo wakati wa uumbaji Mungu alisahau kuwapa roho ya utu akawapa za koboko.Hivo huwa kimwili ni binadamu kiroho ni koboko nyoka.Utawatambua kwa matendo yao.
 
Kwani huyo sadist ni wa Taifa gani, maana naona watu wa Chadema wanaruka na kugaragara na vigelegele juu.. Kama hawaogopi jela kwanini wasitaje jina la la huyo Sadist na ilo Taifa Lake, ila kama ni mafumbo basi uoga upo pale pale
Wanamheshimu mpumbavu asiwaletee balaa.ndio kanuni babako akiwa taahira humwambii unamtukana kimoyomoyo.
 
Back
Top Bottom