Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,035
- 6,907
Sina huo ujinga,wewe ukishika madaraka itanisaidia nini mimi kupata ugali wa wanangu?Mîmi always nipo front mkuu.
Join me.
Front ipi? Ya kuchangia mitandaoni au?
Sina huo ujinga,wewe ukishika madaraka itanisaidia nini mimi kupata ugali wa wanangu?Mîmi always nipo front mkuu.
Join me.
Pale wamachinga wanapotumiwa kama vikaragosi na wanasiasa, alianza Jiwe, Sasa imekuwa zamu yenu kuwatumia?The situation is very terrible,Cha msingi si kuinua mikono Tena na kuomba dua Bali Ni kubadilisha staili,staili ambayo Kila mtu hataweza kuisahau katika maisha yake.mnyika ongoza jahazi,Machinga wanasubiri betri ichomolewe .
Acha maneno toka kaandamane uone motoChuma kinayeyushwa wewe, hujafikiria kitu kingine?
Tutawaambia wamachinga wasikubali kutumika kufaidisha kikundi cha walafi wa madaraka, vinginevyo wasije kulaumu serikali.Pale wamachinga wanapotumiwa kama vikaragosi na wanasiasa, alianza Jiwe, Sasa imekuwa zamu yenu kuwatumia?
🤣🤣Ujinga kweli mzigo....hivi uko ndotoni?!!The situation is very terrible,Cha msingi si kuinua mikono Tena na kuomba dua Bali Ni kubadilisha staili,staili ambayo Kila mtu hataweza kuisahau katika maisha yake.mnyika ongoza jahazi,Machinga wanasubiri betri ichomolewe .
🤣🤣Wewe hueleweki....kule umesema njia pekee mliyobaki nayo ni KUTUMIA UCHAWI....kuwapiga vimbola maadui zenu...huku umegeuka tena?!!! 🤣🤣Tupo wengi mkuu
Kinanuka wapi na kinini?,the same story from the same people! ,Huyo lazima ale mvua nyingi na hakuna wa kuandamana!!?Me nawahakikishia wakimfunga Mbowe kinanuka Tena kitanuka kweli mpaka wamuachie .
Sioni Polisi wa kuzuia hili wacha wajichanganye kinuke
🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo Mbowe ni Nyerere?!!Hata katika harakati za kupigania uhuru Nyerere alikumbana na watanganyika wenye mawazo kama yako.
Tulia Bashite🤣🤣Wewe hueleweki....kule umesema njia pekee mliyobaki nayo ni KUTUMIA UCHAWI....kuwapiga vimbola maadui zenu...huku umegeuka tena?!!! 🤣🤣
🤣🤣Acha uzwazwa ha ha haNilichokielewa, katika hii 'content' ni kuwa inahitajika 'extra force' kukabiliana na ukiukwaji mkubwa wa KATIBA unauvunjwa na Hangaya.
Machinga wawe kichocheo tu, wengine tufuate.
Miminaona yanatengenezwa mazingira ya kumpigia magoti Mh Rais.
Yaani wewe mpaka Leo hii unamfananisha Mbowe na baba wa taifa la Tanzania ?!!!Ipo siku utakuja kuelewa unakosea wapi.
Uhuru tayari saizi kuna harakati gani ambazo mnapigania nyinyi? Mnapigania gaidi? Mko serious kweli au mmechoka kuishi kwa uhuru uraiani?Hata katika harakati za kupigania uhuru Nyerere alikumbana na watanganyika wenye mawazo kama yako.