John Mnyika popote ulipoitisha press conference haraka sana

The situation is very terrible,Cha msingi si kuinua mikono Tena na kuomba dua Bali Ni kubadilisha staili,staili ambayo Kila mtu hataweza kuisahau katika maisha yake.mnyika ongoza jahazi,Machinga wanasubiri betri ichomolewe .
Mnasubiriwa kwa hamu sana.
 
Me nawahakikishia wakimfunga Mbowe kinanuka Tena kitanuka kweli mpaka wamuachie .

Sioni Polisi wa kuzuia hili wacha wajichanganye kinuke
Jambo hili nina litamani kwa moyo wangu wote.Si wanasema tuko nyuma ya keyboard tu.Sina Cha kupoteza ,Sina Baba ,sina mama,Sina mtoto na Wala Sina mke .Chadema naombeni nafasi hii niwaoneshe kuwa kuna hasira inawaka ndani mwangu
 
Mpaka uombe ruhusa Chadema si ujitokeze tu watu wamalizane na wewe!
 
Me nawahakikishia wakimfunga Mbowe kinanuka Tena kitanuka kweli mpaka wamuachie .

Sioni Polisi wa kuzuia hili wacha wajichanganye kinuke
Tutakinukisha tukiwa majumbani mwetu au tanzania angalia yako ndo watanzania yaan amri ikitoka juu wanakaa kimya wote
 
Back
Top Bottom