John Mnyika popote ulipoitisha press conference haraka sana

Mtu mbishi anayeweza kuivusha CHADEMA kwa sasa ni Lema na Lissu japo lissu bado ana uoga flani hivi.
 
Me nawahakikishia wakimfunga Mbowe kinanuka Tena kitanuka kweli mpaka wamuachie .

Sioni Polisi wa kuzuia hili wacha wajichanganye kinuke
Tuache kujidanganya,anaweza kufungwa ama asifungwe.Hata akifungwa hakuna tunaloweza kufanya kama watanzania.Ndugu sisi watanzania ni sayari nyingine kabisa,maisha yatasonga kama kawaida.
Siombei afungwe
 
Kutokana na hukumu ya kesi ndogo iliyotolewa leo dhidi ya kesi ya kina Mbowe hawa jamaa inaonesha wamejipanga kufanya jambo ambalo litashangaza dunia nzima.

Katibu mkuu Mnyika itisha press leo leo ili kutoa muongozo kwa wapenda haki wote nchini.

Katika press yako njoo na approach nzuri zitakazo kiokoa chama na Mwenyekiti wake kwa ujumla.

Zile approach za:-
i/ kuvaa T-shirt zilizoandikwa MBOWE SIO GAIDI.

ii/ kuandika kwenye kuta MBOWE SIO GAIDI.

iii/ kwenda na uwakilishi wa mabalozi mahakamani.

iv/ kuandika mabango mtandaoni kuwa MBOWE SIO GAIDI.

v/ kulia lia kwenye SPACE na CLUBHOUSE kuwa MBOWE SIO GAIDI.

Approach zote hizo zimefeli na zitafeli kukiokoa chama na Mwenyekiti wake.

Mnyika nikuambie tu kuwa "the situation is very radical so it needs radical solutions".

Mungu okoa taifa la Tanzania na watu wake.

hapo ndiyo umefikili hadi mwisho?
 
Nilichokielewa, katika hii 'content' ni kuwa inahitajika 'extra force' kukabiliana na ukiukwaji mkubwa wa KATIBA unauvunjwa na Hangaya.

Machinga wawe kichocheo tu, wengine tufuate.
Wanatakiwa kurudi kufanya alichowashauri Kigogo2014
 
Ukiona jaji anajitoa ujue ni dalili njema, wa kwanza kajitoa wa pili nae wa tatu atajitoa Tena, na WA mwisho kesi itatupiliwa mbali, Me sio shabiki wa chadema , ila nasema mbowe sio gaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokana na hukumu ya kesi ndogo iliyotolewa leo dhidi ya kesi ya kina Mbowe hawa jamaa inaonesha wamejipanga kufanya jambo ambalo litashangaza dunia nzima.

Katibu mkuu Mnyika itisha press leo leo ili kutoa muongozo kwa wapenda haki wote nchini.

Katika press yako njoo na approach nzuri zitakazo kiokoa chama na Mwenyekiti wake kwa ujumla.

Zile approach za:-
i/ kuvaa T-shirt zilizoandikwa MBOWE SIO GAIDI.

ii/ kuandika kwenye kuta MBOWE SIO GAIDI.

iii/ kwenda na uwakilishi wa mabalozi mahakamani.

iv/ kuandika mabango mtandaoni kuwa MBOWE SIO GAIDI.

v/ kulia lia kwenye SPACE na CLUBHOUSE kuwa MBOWE SIO GAIDI.

Approach zote hizo zimefeli na zitafeli kukiokoa chama na Mwenyekiti wake.

Mnyika nikuambie tu kuwa "the situation is very radical so it needs radical solutions".

Mungu okoa taifa la Tanzania na watu wake.
Hali ilipofikia haimhitaji Mnyika. Ni Kila mwanachama na mpendwa kwa wakati na nafasi yake.
 
Mkuu kitanuka kwenye computer yako au simu? Please wengine wanatumia perfum kwenye computer zao na simu ili hata wakinukisha huko zisinuke. Kweli kabisa hakuna polisi wa kuzuia computer na simu yako isinuke. Ni wewe tu unaamua. Hata leo watumiaji wanaweza kukinukisha kwenye computer zao wakiamua. Tusibiri spaces au ile club yetu pendwa pengine kitanuka huko.
Kwahiyo wamachinga watumike kama chambo? Wakati mbowe alisema watu wote TZ wachanjwe kwa lazima akasahau kwamba yeye anaongoza chama cha Demokrasia?
 
KESI IKO MAHAKAMANI mkuu....
Ni kweli..kesi ya kubumba bado inaunguruma na Jaji Kiongozi kaitrndea haki zawadi nono aliyopewa na Sa100
Screenshot_20211020-162553.jpg
 
Back
Top Bottom