GRAMAA
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 1,155
- 3,402
Kutokana na hukumu ya kesi ndogo iliyotolewa leo dhidi ya kesi ya kina Mbowe hawa jamaa inaonesha wamejipanga kufanya jambo ambalo litashangaza dunia nzima.
Katibu mkuu Mnyika itisha press leo leo ili kutoa muongozo kwa wapenda haki wote nchini.
Katika press yako njoo na approach nzuri zitakazo kiokoa chama na Mwenyekiti wake kwa ujumla.
Zile approach za:-
i/ Kuvaa T-shirt zilizoandikwa MBOWE SIO GAIDI.
ii/ Kuandika kwenye kuta MBOWE SIO GAIDI.
iii/ Kwenda na uwakilishi wa mabalozi mahakamani.
iv/ Kuandika mabango mtandaoni kuwa MBOWE SIO GAIDI.
v/ Kulia lia kwenye SPACE na CLUBHOUSE kuwa MBOWE SIO GAIDI.
Approach zote hizo zimefeli na zitafeli kukiokoa chama na Mwenyekiti wake.
Mnyika nikuambie tu kuwa "the situation is very radical so it needs radical solutions".
Mungu okoa taifa la Tanzania na watu wake.