John Mnyika: Napinga ongezeko la bei ya umeme 8.5% kwa kuwa ni mzigo kwa wananchi

K
John Mnyika kabla ya hilo la Umeme tunaomba utukumbushe sisi watanzania je Lowasa ni mwizi au sio mwizi? na ikitokea ukatamka neno lowasa sehemu yeyote ile nitakupa zawadi.
Kivuko na meli, nyumba za serikali .............. katika hotuba yake avisemee pia huko Kagera (nasikia anakwenda huko)
 
Akimtaja Lowasa itasaidia kupunguza bei ya umeme na sukari? Namashaka Kama watu wengine ni RAIA halali wa nchi hii. Ujinga mbaya Sana kuliko vita.
Then analeta siasa kwenye maisha ya watu ktk vitu muhimu na vya msingi.
 
Anaandika Comred John Mnyika
Napinga ongezeko la bei ya umeme 8.5% lililotangazwa na EWURA kwa kuwa ni mzigo kwa wananchi na uchumi wa nchi na sababu zilizotolewa hazina msingi.

Namtaka Waziri Muhongo atengue uamuzi huo mbovu kama alivyoahidi kwamba hatarusu bei ya umeme kupanda.

Natoa mwito kwa Rais Magufuli naye katika hotuba yake kwa taifa leo au kesho azungumzie ongezeko hilo.

Iwapo Waziri au Rais hawatatoa kauli nitalifikisha suala hilo bungeni kwa hatua zaidi.

John Mnyika (Mb)
Waziri Kivuli wa Nishati na Madini
Sielewi hivi viwanda vyao vitaendeshwa kwa makaa ya mawe, au vitakua vya mikono
 
Ile dhambi ya kumtukana mtu then badae unakula nae meza moja sio ndogo
Hilo linawezekana, suala la ufisadi liliwapa umaarufu sana ile timu ya Zito,Slaa na Mnyika.
Slaa alilinda anachoamini,Mbowe akala matapishi na Mnyika akaishiwa nguvu akabaki kimya
 
Ningeshangaa kama angeunga mkono hoja. Kupinga kwake si habari kwani ilitarajiwa.
 
>>>>>Mnyika tunaomba kiapo chako cha mali na madeni yako.....

Mnajifanya makamanda wazalendo kumbe hamna tofauti na ccm ..
 
Unamaanisha ubebaji wa hela za escrow kwa viroba ndio profession za watu. Na tusio gelee swala hilo kwasababu hatuna utaalam huo.
Hizo ni akili zako ndogo. Kinachozungumziwa hapo ni ongezeko la 8.5% ya bei ya umeme. Ewura wamefanya utafiti kwa kusikiliza sababu za tanesco na wateja. Wakafikia maamuzi ya kuongeza 8.5% na sio 18.9%. Lakini pia unapaswa kutambua kuwa wateja wa kawaida ( Wanaotumia chini ya unit 75 kwa mwezi) walipaswa kuongezewa 5%. Lakini ewura wamekata ongezeko hilo kwa watumiaji hao.

Sasa unakuja unatokwa povu.
Unamaanisha ubebaji wa hela za escrow kwa viroba ndio profession za watu. Na tusio gelee swala hilo kwasababu hatuna utaalam huo.
 
IPTL na gesi vinatumaliza wananchi badala ya kuwa furaha kwetu.gesi inatumika kisiasa
 
John Mnyika kabla ya hilo la Umeme tunaomba utukumbushe sisi watanzania je Lowasa ni mwizi au sio mwizi? na ikitokea ukatamka neno lowasa sehemu yeyote ile nitakupa zawadi.
Watu wa nchi hii kila mda mnawaza ushabiki na kujipendekeza tu. Mnakera na mnaboa. Kwa akili zako hili ongezeko la umeme litamwumiza ukawa pekee? Ni fikria finyu. Ifike sehemu tutetee masrahi ya watanzania wote, siyo kwa sababu wewe uko kwenye serikali, unashiba hadi huoni mzigo anaobebeshwa mtanzania maskini ambaye wewe na chama chako mlijinadi kuwa mkombozi wake, kumbe ni chui mliovaa ngozi ya kondoo.
 
Watu wala hawana habari na jambo hili hapo ndio ninapoona u genius wa watz,vitu basics kama hilo la gharama ya umeme kupanda wako kimya, ndio kwanza wanageuza macho yao kwa dayamondi na kba.
 
Unamaanisha ubebaji wa hela za escrow kwa viroba ndio profession za watu. Na tusio gelee swala hilo kwasababu hatuna utaalam huo.
Unaambiwa kuna fuso ilipiga Trip 3 kusomba zile hela , vilukuu vilishindwa ! Hii nchi wametafuna hadi imebaki makongoro matupu kudadeki !
 
Back
Top Bottom