John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

mkome kuchagua wapuuzi, naona akili zimewakaa sawa
Watch your tongue kid, sio kila aandikae hapa ni mtoto na mjinga mjinga kama wewe. Rejea kusoma niliyoandika. Sio kila unalosoma lazima utoe maoni, sometimes you have to just read and go on.
 
Watch your tongue kid, sio kila aandikae hapa ni mtoto na mjinga mjinga kama wewe. Rejea kusoma niliyoandika. Sio kila unalosoma lazima utoe maoni, sometimes you have to just read and go on.
chagua kiswali au kiingereza sio kukoroga
 
Lakini Mnyika hawezi kupata ubunge. Huyu ni Mbunge wetu eneo la Goba Kulangwa. Eneo hili liko kama kisiwa yaani linahitaji kuunganishwa na Goba, Salasala, Mivumoni na Madale kwa madaraja, HAYAJAWAHI KUJENGWA. Eneo hili halina maji ya bomba, TUNANUNUA kwenye magari. Mvua ikinyesha sisi burudani maana tunapata maji. Eneo hili halina walau zahanati achilia mbali hospitali, mtu akiumwa lazima aende Madale au Goba. Cha ajabu mbunge wetu hajawahi wala kufika tunamwona kwenye vyombo vya habari!!! Yasemekana hata wakati wa kuomba kura za ubunge pia hakufika, alituma wapambe. Wakazi kwa kuamini mabadiliko wakamchagua!!!!
Kwa hakika huwa sielewi hawa watu, najaribu sana lakini nashindwa. Huwezi kukaa ati unapinga sijui serikali iliyoko madarakani imefanya nini na nini ilhali watu waliokuamini wanateseka na walikutegemea sana. HAWANA HURUMA HATA!!
Naona kuna haja ya JF kuandaa kampeni ya kuzunguka nchi nzima kutoa elimu ya Uraia. Kujenga madaraja sio kazi ya mbunge, Mnyika hakusanyi kodi.

Mnyika kazi yake ni kuisimamia serikali itoe hela za hyo miradi kwenye maeneo yake.... Mfano hapa anawapigania ndio mumjudge kwa hili sio kwa failure ya serikali kutimiza ahadi

ameisimamia imetoa shs ngapi? hivi mbona mna mawazo ya kijinga hivi?
 
Lakini Mnyika hawezi kupata ubunge. Huyu ni Mbunge wetu eneo la Goba Kulangwa. Eneo hili liko kama kisiwa yaani linahitaji kuunganishwa na Goba, Salasala, Mivumoni na Madale kwa madaraja, HAYAJAWAHI KUJENGWA. Eneo hili halina maji ya bomba, TUNANUNUA kwenye magari. Mvua ikinyesha sisi burudani maana tunapata maji. Eneo hili halina walau zahanati achilia mbali hospitali, mtu akiumwa lazima aende Madale au Goba. Cha ajabu mbunge wetu hajawahi wala kufika tunamwona kwenye vyombo vya habari!!! Yasemekana hata wakati wa kuomba kura za ubunge pia hakufika, alituma wapambe. Wakazi kwa kuamini mabadiliko wakamchagua!!!!
Kwa hakika huwa sielewi hawa watu, najaribu sana lakini nashindwa. Huwezi kukaa ati unapinga sijui serikali iliyoko madarakani imefanya nini na nini ilhali watu waliokuamini wanateseka na walikutegemea sana. HAWANA HURUMA HATA!!
Wee mburula mbunge hawezi kuleta maji, barabara, wala zahanati kwa sababu hana fedha! Fedha ziko serikalini na ndiyo yenye jukumu la kujenga miundombinu na huduma mbalimbali.
 
ameisimamia imetoa shs ngapi? hivi mbona mna mawazo ya kijinga hivi?
Hii ndio kazi ya mbunge sasa kusimamia mpka kieleweke..... Kama hapo kwa video so inatakiwa afuatilie mpaka ipatikane.

So mnatakiwa mumlaumu kma hatofuatilia ahadi ya waziri ila sio kumlaumu eti hajaleta maji au madaraja!! Hyo sio kazi yake ila kazi yake ni KULISEMEA BUNGENI SUALA LA MAJI ILI LIINGIZWE KWENYE BAJETI YA SERIKALI KUU
 
ameisimamia imetoa shs ngapi? hivi mbona mna mawazo ya kijinga hivi?
Mbinu inayotumiwa na serikali hii ya Magufuli ni kutopeleka fedha za kutosha katika majimbo ya upinzani. Jambo hili linafanywa makusudi ili kuua upinzani lakini haitafanikiwa.
 
Nyalandu na Mashinji Wamehujumiwa na DJ wao.. Chadema Ni chama Cha hovyo Sana kuwahi kutokea.
How comes unasusa uchaguzi na kuwanyima wananchi haki ya kumpata kiongozi wao wanae mpenda kwa kigezo Cha demokrasia mbovu harafu Wewe kwenye uchaguzi wa chama unakuja kutumia demokrasia mbovu zaidi kupata viongozi wa chama.

Lissu kapita kuwa Makamu mwenyekiti bila hata kunadi sera zake.

Mtu anashindana na kivuli chake angali Chama kina wanachama thousands plus.

Mtu kaongoza chama kwa zaidi ya miaka 15 Sasa harafu huyohuyo anasema hataki watu wakae madarakan kwa miaka mingi.

Mtu anasema chama na wanachama wake Ni matajiri angali Chama hakina hata ofisi zake Wala hakina ofisi zinazoeleweka nchini kote zaidi ya mapango ya nyumba tu.

Mtu anasema Taifa halihitaji ndege harafu yeye na kundi lake wanakodi ndege kwenda kuomba maridhiano na jiwe mwanza.

Watu walioipiga Vijembe serikali ya awamu ya nne chini ya jk kuwa inatumia pesa za serikali hovyo kwa kufanyia Mikutano kwenye Kumbi za kukodi.. Leo hii ndo wamegeuka kuwa wateja wazuri kwenye hizo Kumbi.

Kwakweli kwa uhuni huu Na Unafiki huu CCM itaendelea kubaki madarakani kwa Muda mrefu Sana.

Nilikuwa namuona kijana wangu zitto Kama mtu smart anaeweza Leta revolutions katika upinzani naye siku hizi dishi limeyumba Amekuwa mbwambwajaji na Mnafiki. Mara aite wenzake Washamba Mara Awapongeze Yani hata yeye haelewi msimamo wake Ni upi.

Upinzani wa Tanzania safari bado tunayo Sana tunahitaji maamuzi magumu kufanya mabadiliko siyo huu upuuzi wa kuendelea kumtukuza mtu mmoja kwamba ndo anauwezo wa kuongoza Chama kuliko maelfu ya wanachama waliobaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utapata taabu sana. Kunywa maji utulie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbinu inayotumiwa na serikali hii ya Magufuli ni kutopeleka fedha za kutosha katika majimbo ya upinzani. Jambo hili linafanywa makusudi ili kuua upinzani lakini haitafanikiwa.
na fedha za jimbo zimefanya kazi gani? makusanyo ya ndani ya halmashauri yameenda wapi?
 
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2020, take it from me, Chadema will be no more!.
P

Uko sahihi kwa mantiki ya kuwa iwapo cdm itakosa muwakilishi. Iwapo cdm itaendelea kufanya siasa za kikondoo ilizofundishwa na Lowassa, hiyo 2020 haitakuwa na muwakilishi, ila sio kufa. Hilo la kufa sahau, maana chama kinachotangazwa washindi sio kwa kura za wengi bali ni kupitia madaraka ya rais yanayotumika vibaya. Utakuwa mwendawazimu kuongea kwa bashasha eti cdm will be no more, kisa kitakosa wawakilishi kutokana na siasa za kishenzi. Na kwa bahati mbaya paskali ww ni mmoja ya watu mnaoshabikia siasa za kihayawani.
 
na fedha za jimbo zimefanya kazi gani? makusanyo ya ndani ya halmashauri yameenda wapi?
Acha kuonyesha ujinga wako hadharani! Fedha ya jimbo ni kiasi gani au unaropoka kwa sababu una mdomo?
 
Back
Top Bottom