• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

John Mnyika ateuliwa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, Benson Kigaila-NKM Bara na Salum Mwalimu NKM Zanzibar

The Invincible

The Invincible

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2006
Messages
5,631
Points
2,000
The Invincible

The Invincible

JF-Expert Member
Joined May 6, 2006
5,631 2,000
Baada ya uchaguzi mkuu wa 2020, take it from me, Chadema will be no more!.
P
Paskali we ni mtata.
Vitu vingine vinatokea si kwa sababu ya utabiri wako. Ni coincidence tu. Kuna mengi umeyapigia ramli na hayakutokea.
Una hadhi kama ya mganga wa kienyeji tu. Anamwambia 'mgonjwa' wake mambo mengi ili kati ya hayo, moja hutokea kuwa kweli. Lakini yale ya uongo hayaangaliwi. Wewe unafanya kama waganga wa kienyeji, ila katika tasnia ya habari.
Unaboa bro.
 
K

Kuntakint

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
1,745
Points
2,000
K

Kuntakint

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
1,745 2,000
Mnyika bora wampe ukatibu mkuu maana Ubunge ndo basi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachadema hawategemei sana ubunge. Ungekuwa na akili ungejiuliza kwann wameanzisha Chadema fundraising kwa njia ya mtandao (digital), kwann wameamua wanachama wote waingizwe kwenye database. Ni kwasababu wanajua kabisa 2020 wabunge wengi hawatarudi bungeni na si kwasababu ya kukosa kura za wananchi. Itakuwa kwasababu ya Magufuli akiwatumia Polisi na Jeshi kupora ushindi. Hivyo Chadema itakuwepo na itakuwa bora zaidi. Kwani hawatategemea ruzuku. Chadema itaendeshwa kwa kutumia ada za wanachadema (Wanachama). Wanachadema hawakimbilii vyeo, wabunge wa chadema wanataka ukombozi wa kweli na demokrasia ya kweli. Wabunge wa Chadema wanakutetea hata wewe usiyejielewa wakitegemea kwamba kuna siku utajielewa. Ukiwaona wanachadema na wabunge wao wanayo furaha tele wala hawafikirii ubunge. Wapate wasipate kwao ni sawa kikubwa ni pale utakapokombolewa kwa kugawana mali zetu kwa usawa na uhuru bila kulazimishwa au kuwekwa ndani bila sababu. Pale utakapokuwa huru kutoka kwenye mikono ya miungu watu. Kama ulifuatilia mikutano Chadema hapo Mlimani City uliwaona jinsi gani walivyokuwa na furaha. Angalia na watawala walivyokuwa na huzuni na uoga kwenye mikutano yao. Wanajikuta wanataka mpaka kuvunja katiba kwa uoga. Yaani walikuwa katika mwendo wa kusifia tu hata zisizosifiwa, maadamu mungu mtu akuone. Chadema hawataki mwananchi wa Tanzania bila kujali ukubwa wake, cheo chake, udini wake, uawanachama wake kuwa juu ya mwenzake. Chadema wanataka kila mtanzania tuwe sawa.
 
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
14,083
Points
2,000
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
14,083 2,000
Paskali we ni mtata.
Vitu vingine vinatokea si kwa sababu ya utabiri wako. Ni coincidence tu. Kuna mengi umeyapigia ramli na hayakutokea.
Una hadhi kama ya mganga wa kienyeji tu. Anamwambia 'mgonjwa' wake mambo mengi ili kati ya hayo, moja hutokea kuwa kweli. Lakini yale ya uongo hayaangaliwi. Wewe unafanya kama waganga wa kienyeji, ila katika tasnia ya habari.
Unaboa bro.
Mkuu umemaliza kila kitu
 
Capital G

Capital G

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2017
Messages
528
Points
1,000
Capital G

Capital G

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2017
528 1,000
Mkuu kwema? Unajiskiaje hapo ulipo?
Hakuna cha Heche wala Mnyika wala Salum
Mtaletewa katibu mkuu dizaini ya Mashinji
Mboww hataki katibu mkuu mwenye nguvu kama ilivyokuwa kwa Slaa.
Tegemeeni kuletewa katinu mkuu wa dizaini ya Mashinji.
Natamani vijana mngejitambua hakika si ccm wala cdm wala chama chochote cha upinzani kingewageuza geuza kama chapati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
N

Nisamehe

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Messages
470
Points
500
N

Nisamehe

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2015
470 500
John Mnyika Ni mzuri, ila amekuwa mtulivu sana sijui shida ni nini. Ilikuwa vyema cdm wamchague mtu kama Marcus Albanie ili kuleta chachu mpya na sio sura zile zile kila siku. Sitarajii kuiona cdm mpya kwa mtiririko wa viongozi wale wale.
Mkuu Tindo yote ni hero. Mnyika katajwa mara nyingi hapa jukwaani kukalia hicho kiti. Wote waliokuwa wanatajwatajwa wameonyesha wanafaa. Mpeni ushirikiano JJM
 
Mr Tyang

Mr Tyang

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Messages
485
Points
500
Mr Tyang

Mr Tyang

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2018
485 500
Nyalandu na Mashinji Wamehujumiwa na DJ wao.. Chadema Ni chama Cha hovyo Sana kuwahi kutokea.
How comes unasusa uchaguzi na kuwanyima wananchi haki ya kumpata kiongozi wao wanae mpenda kwa kigezo Cha demokrasia mbovu harafu Wewe kwenye uchaguzi wa chama unakuja kutumia demokrasia mbovu zaidi kupata viongozi wa chama.

Lissu kapita kuwa Makamu mwenyekiti bila hata kunadi sera zake.

Mtu anashindana na kivuli chake angali Chama kina wanachama thousands plus.

Mtu kaongoza chama kwa zaidi ya miaka 15 Sasa harafu huyohuyo anasema hataki watu wakae madarakan kwa miaka mingi.

Mtu anasema chama na wanachama wake Ni matajiri angali Chama hakina hata ofisi zake Wala hakina ofisi zinazoeleweka nchini kote zaidi ya mapango ya nyumba tu.

Mtu anasema Taifa halihitaji ndege harafu yeye na kundi lake wanakodi ndege kwenda kuomba maridhiano na jiwe mwanza.

Watu walioipiga Vijembe serikali ya awamu ya nne chini ya jk kuwa inatumia pesa za serikali hovyo kwa kufanyia Mikutano kwenye Kumbi za kukodi.. Leo hii ndo wamegeuka kuwa wateja wazuri kwenye hizo Kumbi.

Kwakweli kwa uhuni huu Na Unafiki huu CCM itaendelea kubaki madarakani kwa Muda mrefu Sana.

Nilikuwa namuona kijana wangu zitto Kama mtu smart anaeweza Leta revolutions katika upinzani naye siku hizi dishi limeyumba Amekuwa mbwambwajaji na Mnafiki. Mara aite wenzake Washamba Mara Awapongeze Yani hata yeye haelewi msimamo wake Ni upi.

Upinzani wa Tanzania safari bado tunayo Sana tunahitaji maamuzi magumu kufanya mabadiliko siyo huu upuuzi wa kuendelea kumtukuza mtu mmoja kwamba ndo anauwezo wa kuongoza Chama kuliko maelfu ya wanachama waliobaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
23,006
Points
2,000
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
23,006 2,000
Pia Mbowe amewateua Benson Kigaila kuwa Naibu Katibu Mkuu Bara na Salum Mwalimu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar

Katika uteuzi mwingine Kiongozi huyo mkuu wa Chadema amemteua John Heche kuwa mjumbe wa Kamati Kuu
Kamati ya chadema kila mtu ni mjumbe
Heche amepoozwa
Salum Mwalimu,bado hasafishwa kwa kashfa ya kuuza viti maalum kwa 20 million
 
Chapa Nalo Jr

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Messages
7,098
Points
2,000
Chapa Nalo Jr

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2010
7,098 2,000
Kama hatokii ule mkoa wenye mlima mrefu hawezi kupata hiyo nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama vile ambavyo JIWE hataki kabisa watu wa kasikazini wawepo kwenye serikali yake. No waziri, naibu, wala mkuu wa mkoa. Lakini nawaambia wale watu ni kama wayahudi, hata muwashughulikie vipi, huwa wanafanikiwa tu na kusonga mbele.
 
Kwisimla

Kwisimla

Senior Member
Joined
Apr 15, 2011
Messages
143
Points
195
Kwisimla

Kwisimla

Senior Member
Joined Apr 15, 2011
143 195
Wanachadema hawategemei sana ubunge. Ungekuwa na akili ungejiuliza kwann wameanzisha Chadema fundraising kwa njia ya mtandao (digital), kwann wameamua wanachama wote waingizwe kwenye database. Ni kwasababu wanajua kabisa 2020 wabunge wengi hawatarudi bungeni na si kwasababu ya kukosa kura za wananchi. Itakuwa kwasababu ya Magufuli akiwatumia Polisi na Jeshi kupora ushindi. Hivyo Chadema itakuwepo na itakuwa bora zaidi.
Lakini Mnyika hawezi kupata ubunge. Huyu ni Mbunge wetu eneo la Goba Kulangwa. Eneo hili liko kama kisiwa yaani linahitaji kuunganishwa na Goba, Salasala, Mivumoni na Madale kwa madaraja, HAYAJAWAHI KUJENGWA. Eneo hili halina maji ya bomba, TUNANUNUA kwenye magari. Mvua ikinyesha sisi burudani maana tunapata maji. Eneo hili halina walau zahanati achilia mbali hospitali, mtu akiumwa lazima aende Madale au Goba. Cha ajabu mbunge wetu hajawahi wala kufika tunamwona kwenye vyombo vya habari!!! Yasemekana hata wakati wa kuomba kura za ubunge pia hakufika, alituma wapambe. Wakazi kwa kuamini mabadiliko wakamchagua!!!!
Kwa hakika huwa sielewi hawa watu, najaribu sana lakini nashindwa. Huwezi kukaa ati unapinga sijui serikali iliyoko madarakani imefanya nini na nini ilhali watu waliokuamini wanateseka na walikutegemea sana. HAWANA HURUMA HATA!!
 
E

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Messages
12,724
Points
2,000
E

eddy

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2007
12,724 2,000
Lakini Mnyika hawezi kupata ubunge. Huyu ni Mbunge wetu eneo la Goba Kulangwa. Eneo hili liko kama kisiwa yaani linahitaji kuunganishwa na Goba, Salasala, Mivumoni na Madale kwa madaraja, HAYAJAWAHI KUJENGWA. Eneo hili halina maji ya bomba, TUNANUNUA kwenye magari. Mvua ikinyesha sisi burudani maana tunapata maji. Eneo hili halina walau zahanati achilia mbali hospitali, mtu akiumwa lazima aende Madale au Goba. Cha ajabu mbunge wetu hajawahi wala kufika tunamwona kwenye vyombo vya habari!!! Yasemekana hata wakati wa kuomba kura za ubunge pia hakufika, alituma wapambe. Wakazi kwa kuamini mabadiliko wakamchagua!!!!
Kwa hakika huwa sielewi hawa watu, najaribu sana lakini nashindwa. Huwezi kukaa ati unapinga sijui serikali iliyoko madarakani imefanya nini na nini ilhali watu waliokuamini wanateseka na walikutegemea sana. HAWANA HURUMA HATA!!
mkome kuchagua wapuuzi, naona akili zimewakaa sawa
 
E

eddy

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2007
Messages
12,724
Points
2,000
E

eddy

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2007
12,724 2,000
Kama vile ambavyo JIWE hataki kabisa watu wa kasikazini wawepo kwenye serikali yake. No waziri, naibu, wala mkuu wa mkoa. Lakini nawaambia wale watu ni kama wayahudi, hata muwashughulikie vipi, huwa wanafanikiwa tu na kusonga mbele.
ni wezi
 

Forum statistics

Threads 1,402,661
Members 530,964
Posts 34,401,489
Top