GE2025 John Heche: Waliokatwa CCM wananipigia Simu, wanalalamikia mwenendo wa Chama na kuonesha matumaini kwa CHADEMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hao jamaa waliokatwa na kuanza kusumbua chadwma ni njaa tu, hawana nia ya kweli ya mageuzi…

This is a killer ya chadema, makapi na mamluki
Mwanzo sikuamini kwamba ni wewe ume andika hayo maneno. Imenibidi niangalie tena mwandishi ni nani!

Halafu, wakati nakuna kichwa kuamini ulicho andika hao juu; nikahakikisha kuwa kumbe ni kweli ni wewe mwandishi wa hayo maneno, baada ya kusoma haya mawazo ya mwisho uliyokuwa nayo akilini mwako:
Chakandumuz jizaeni upya by texturing youths wasiopenda matusi na vurugu - na wawe wanajiandaa kuwa viongozi kifikra, vitendo na falsafa
Nikajiridhisha kwamba asili ya akili mbovu haiachani na ubovu huo huo hata siku moja.

"...jizaeni upya by texturing youths wasiopenda matusi na vurugu"...; whatever that means!

Wewe unacho kiona ndani ya CHADEMA ni "matusi na vurugu"?
Kudai HAKI ya waTanzania kuwachagua viongozi wao ni matusi/vurugu?
Samia na GENGE lake kuuwa waTanzania je?

Naona hata akina 'MzeeMwanakijiji' wanashangilia uduni wa fikra kama hizi; sijui wao wanataka CHADEMA iombeje ili waTanzania wapate HAKI yao ya msingi ya kuwachagua viongozi wanaowataka wao! Unafiki ni jambo la kusikitisha sana.
 
Kwa hiyo nia yao ni ubunge tu! Wangehamia Chadema kwa kutegemea wanachama wanaokifia chama watawekwa pembeni kuwapisha.
Hao ndio wakichaguliwa (hata wasipochaguliwa) tu wanarudi CCM ili angalau waukwae uDC.

Amandla...
 
Kwa hiyo u akilini makosa? Pia ulisema Msajili humjui, aendevkwa mke wake. Ukasema pia kuwa Mkuu wa Mkoa ni mjinga sana, ukamwambia akukome.
 
Hii ndio comment nilikuwa naitafuta. Chadema wanatakiwa kujenga vijana wazalendo wanaojua sheria na sio shari.

Vijana wenye mtazamo wa utulivu lakini ambao ni wabishi na wafanya maamuzi sampuli za akina Martin Luther king Jr.

Vijana wanatakiwa wasome sheria za inchi na kujieleza kwa kwa kuzijua lakini pia wajue madhaifu ya hizo sheria. Na ndani ya Chadema kuwa na shuffling ya uongozi kusiwe na sura zile zile kwenye uongozi miaka yote.

Wajitahidi pia hawa vijana wasiwe ni wahuni wawe wachapa kazi na wanaojua kujituma.
Unasubiri CHADEMA wajazane malaika, wakapambane na mashetani ndani ya CCM. Akili za ajabu sana hizi!
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa kwenye mchakato wa uteuzi wamekuwa wakimpigia simu wakilalamikia mwenendo wa chama hicho na kueleza matumaini yao kwa CHADEMA.

Akizungumza nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, Julai 30, 2025 mara baada ya kuahirishwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Lissu, Heche amesema:

“Tupiganie haki kwa sababu hakuna aliye salama. Jana kuna watu wa CCM wamenipigia wanasema, ‘kwanini hampeleki chama kwenye uchaguzi, sisi tungekimbia kuja huku’. Hawa walikuwa kwenye utawala, lakini sasa wameonja maumivu, ndiyo wanajua kwamba CHADEMA ndiyo chombo cha kuwasaidia.”

Heche amesisitiza kuwa chama chao kitaendelea kupigania haki na kusimama na Tundu Lissu, akibainisha kuwa licha ya Lissu kuwa na haki ya kuwa huru, bado kuna mazingira yanayozuia maamuzi huru kufanyika mahakamani.

Video: Jambo TV
Wanatakiwa wahamie huko badala ya kukupigia simu tuu 😂😂
 
Siasa za upinzani zina safari ndefu sana. Eti huyu ndio makam mwenyekiti wa chama.
 
Hao jamaa waliokatwa na kuanza kusumbua chadwma ni njaa tu, hawana nia ya kweli ya mageuzi…

This is a killer ya chadema, makapi na mamluki

Chakandumuz jizaeni upya by texturing youths wasiopenda matusi na vurugu - na wawe wanajiandaa kuwa viongozi kifikra, vitendo na falsafa

10 years down the road watachukua dola
Uliwahi msikia Ali kibao anatukana? Au kupig kelele kwenye media? Mbona aliuwawa kinyama? Msitafute visingizio chadema ina watu wastaarabu sana kama kina Mnyika ila ndio kwanza kavuliwa ukatibu mkuu.

Hii nchi tusubiri tu mapinduzi ya kijeshi ila hizo 10 years chadema itakua imeshafutwa na msajili.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa kwenye mchakato wa uteuzi wamekuwa wakimpigia simu wakilalamikia mwenendo wa chama hicho na kueleza matumaini yao kwa CHADEMA.

Akizungumza nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, Julai 30, 2025 mara baada ya kuahirishwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Lissu, Heche amesema:

“Tupiganie haki kwa sababu hakuna aliye salama. Jana kuna watu wa CCM wamenipigia wanasema, ‘kwanini hampeleki chama kwenye uchaguzi, sisi tungekimbia kuja huku’. Hawa walikuwa kwenye utawala, lakini sasa wameonja maumivu, ndiyo wanajua kwamba CHADEMA ndiyo chombo cha kuwasaidia.”

Heche amesisitiza kuwa chama chao kitaendelea kupigania haki na kusimama na Tundu Lissu, akibainisha kuwa licha ya Lissu kuwa na haki ya kuwa huru, bado kuna mazingira yanayozuia maamuzi huru kufanyika mahakamani.

Video: Jambo TV
Hili la kukatwa majina ni suala gumu .hata chadema wangeshiriki wangepata washiriki wengi nao wangekata tu majina.labda walaumu chadema kwa kutoshiriki uchaguzi kwahiyo wamekosa sehemu sahihi ya kukimbilia .wanaweza kwenda chaumma au NCCR lakini shida tume ndio inaamua na atangazwe kwahiyo reforms ni lazima.
 
Uliwahi msikia Ali kibao anatukana? Au kupig kelele kwenye media? Mbona aliuwawa kinyama? Msitafute visingizio chadema ina watu wastaarabu sana kama kina Mnyika ila ndio kwanza kavuliwa ukatibu mkuu.

Hii nchi tusubiri tu mapinduzi ya kijeshi ila hizo 10 years chadema itakua imeshafutwa na msajili.
Hahahaaaa

Chakandumuz wana mitusi sana kunzia domo mwenyewe hasi nyie wqruqsi
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amesema baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) waliokatwa kwenye mchakato wa uteuzi wamekuwa wakimpigia simu wakilalamikia mwenendo wa chama hicho na kueleza matumaini yao kwa CHADEMA.

Akizungumza nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, Julai 30, 2025 mara baada ya kuahirishwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Lissu, Heche amesema:

“Tupiganie haki kwa sababu hakuna aliye salama. Jana kuna watu wa CCM wamenipigia wanasema, ‘kwanini hampeleki chama kwenye uchaguzi, sisi tungekimbia kuja huku’. Hawa walikuwa kwenye utawala, lakini sasa wameonja maumivu, ndiyo wanajua kwamba CHADEMA ndiyo chombo cha kuwasaidia.”

Heche amesisitiza kuwa chama chao kitaendelea kupigania haki na kusimama na Tundu Lissu, akibainisha kuwa licha ya Lissu kuwa na haki ya kuwa huru, bado kuna mazingira yanayozuia maamuzi huru kufanyika mahakamani.

Video: Jambo TV
Hayo ni maneno Heche, vipi kama hawajakupigia?
 
Back
Top Bottom