John Heche vs Dkt. Slaa: Je, ni kweli utekaji, kupotea kwa watu na kupigwa risasi Tundu Lissu Septemba, 2017 ni 'INSIDE JOB' ya CHADEMA wenyewe?

Usianzishe vita mpya wakati una vita nyingine tena kubwa.
Hakuna Vita, unamkabidhi wa mawakili kama 10 and you rest your case! You hàve to fight at all fronts...hili Ni dogo kilishughulia, hakina complications yoyote!
 
Kwa hiyo hata ile forensic ya Kingai ilishindwa kutambua mwenye zile risasi na aliyefyatua? CCTV ilikuwaje zikaondolewa?

Swali zuri, kwa nini chadema na Tundu Lisu hawamshitaki huyo aliyeondoa hiyo cctv ?
 
Hilo ni takataka, sometimes ignore such posts
 
Soma uelewe nilichoandika acha kujua kusoma na kuandika tu. Nimekwambia leo hii Dr slaa akisema mwangosi aliuwawa na chadema mazezeta mtakubali Kama ulivyokubali Lisu kashambuliwa na chadema kisa kasema slaa

Kila mtu anajua jinsi Mwangosi alivyouliwa kipindi cha Kikwete, sasa kama ni kwa bahati mbaya au makusudi hilo siwezi kujua, lkn hapa Tundu Lisu anasema raisi Magufuli ali order assassination kwake, kwa ushahidi gani ? Na kama anao kwa nini haendi Mahakamani ukichukulia Serikali iliyopo ni yao ?
 
Kwahiyo Mbowe ahangaike kukodi ndefr ili apone wakati amempiga yeye risasi
Hili jitu jinga sana
 
Huo ushauri ungempa kwanza Tundu Lisu anayesema na kuiambia Dunia kwamba Magufuli kampiga risasi wakati hana ushahidi wowote ule!
Circumstantial evidence irresistibly points to that conclusion....any reasonable man directing his mid correctly, will arrive at that conclusion
 
Up

Si aende polisi?. Kila siku kubweka kwenye mitandao tu. Ni vizuri CHADEMA wamempuuza maana anatafuta uteuzi kwa mlango wa CHADEMA. Alijaribu kuingilia kesi ya mbowe mwisho wa siku akapigwa za uso.
 
Chadema iwachukulie hatua waliompiga risasi Lissu? ndugu tikisa kichwa chako vizuri
 
Circumstantial evidence irresistibly points to that conclusion....any reasonable man directing his mid correctly, will arrive at that conclusion

Yote sawa, swali langu kwa nini hawawashitaki ? Leo hii watu wasiompenda Magufuli deep down ndio wana power, na wanajaribu kutumia kila mbinu iliyopo kumchafua Magufuli pamoja na kuwashughulikia wote waliokuwa upande wake, leo hii watu kama kina Zito Kabwe wewe na ushahidi jinsi Magufuli alivyooder assasination kama anavyodai Tundu Lisu halafu Zito Kabwe akae kimya asitumie hilo fursa ?

Hai make sense!
 
Wanakuja?! Jinsi anayeshitaki ni DPP. CDM ni shahidi tu

Mimi siyo Mwanasheria, lakini kama nimevamiwa na Majambazi na kushambuliwa kwa risasi anayeshitaki shambulizi langu ni DPP au mimi mwenyewe ?
 
Yote sawa, swali langu kwa nini hawawashitaki ?
nimeona kwenye andiko lako unatumia maneno ya kingereza (inaweza kuwa ni kiashiria umesoma kidogo). Lakini unawezaje kukosa uelewa wa vitu vidogo kama nani mwenye mamlaka ya kushitaki jinai ya mauaji au kudhuru?
 
Wakipatikana watu elfu moja wenye akili kama zako(yaani hawatanii katika kuwaza huko)nchi imekwisha hii.La kumshukuru ni kwamba ndani ya nafsi zenu mnajua ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…