John Heche: Ukitunyima amani tunakunyima amani

John Heche: Ukitunyima amani tunakunyima amani

Heche siyo Polepole wakae wakijua
Unalinganisha visivyostahili kulinganishwa. Sijui hili wazo limeingiaingiaje akilini mwako.

Na zaidi ya hilo, hakuna sababu ya kuwatambia, waache wagundue wenyewe wakithubutu.

Sasa humu JF na huko kwa waovu, kuna mivuta bangi chungu nzima, taarifa kama hii itawasaidia kitu gani hao?
 
Wajaribu kumdhuru Heche au Lisu
Waone machafuko yatakavyo tokea
Waambie Makaburu weupe walishindwa kumuua Mandela , mwishowe walimuachia na anaingia madarakani, hauwezi ukaendesha Sera ambayo haitodumu.

Wa south afrika walikuwa na Sera ya one bullet one white.
Sasa kwa idadi Yao waafrika wakati ule na hao whites , wapi wameisha.
 
ukshazikwa uchungu unabaki wa mjane na wanae.

eloh ..
Kumbe Unasiasa za Kuuana Mzee?
Kumbe una siasa za Vurugu na Utekaji.

Binafsi huwa sipendi kusoma Upumbavu na Ujinga napenda mawazo ya tofauti lakini sio upumbavu na ujinga.

Nadhani kilochobaki ni Ku kuignore yani kupuuza Kusoma Upumbavu.
Gudubai.
 
Tulikuwa na Compromising Opposition chini ya Mbowe, CCM akaamua kuua. Sasa ni mwendo wa Militant Opposition. Najua hizi ni siasa ngeni kwetu, ila sio ngeni duniani. Na ndizo huleta mabadiliko ya kweli.

Siku ACT na Zitto kabwe wakijiunga na aina hii za siasa, itaongeza kasi ya mabadiliko ya kuanguka kwa CCM
 
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMAG(The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:

Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

MWISHO WA UBAYA NI AIBU.
Dah!
Kweli huyu WHO ARE YOU? ni noma.
over to you chura kiziwi wetu
 
Back
Top Bottom