John Heche: Ukitunyima amani tunakunyima amani

Km haogopi mbona kipindi cha Magu aliikimbia nchi na Samia ndiyo amemrudisha? Adanganye nyumbu wenzake na ashukuru uungwana na upole wa Samia. Na avuke mstari mwekundu km anaona anaogopwa! Unaweza kupigwa shaba hadharani na maisha yakaendelea, aache kushindana na dola, wako wapi kina Mdude na Polepole? Kwani maisha yamesimama? Ye ni nyau mdogo atulize makalio hayo ya kikurya, kwanza siyo mtanzania ni mkenya! Ingekuwa enzi za wababe ama angeshakimbia km kipindi cha Magu ama angefukuzwa nchini
We kweli mata***ko,na umeolewa sio bure.Heche sio mzaramo ni mkurya ogiii
 
Nina taarifa za ndani kabisa kwamba wanataka kunikamata. Mimi siogopi kukamatwa, mimi sio mtu wa kutishiwa. I was born once, I live once and I will die once. Kama unataka kumtisha Heche unagonga pabaya na jipange upya.

Hatuwezi kuishi kwa kunyimana amani. 'Ukitunyima amani tutakunyima amani'. Short and clear. By - John Heche, akizungumza na wananchi wa Nyamagana Mkoani Mwanza leo Jumatano Julai 29, 2026.

View attachment 3639471
Ukimwaga ugali wetu tuna mwaga mboga yako ,mchuzi na masufuria ya kupikia tunauza screper
 
Km haogopi mbona kipindi cha Magu aliikimbia nchi na Samia ndiyo amemrudisha? Adanganye nyumbu wenzake na ashukuru uungwana na upole wa Samia. Na avuke mstari mwekundu km anaona anaogopwa! Unaweza kupigwa shaba hadharani na maisha yakaendelea, aache kushindana na dola, wako wapi kina Mdude na Polepole? Kwani maisha yamesimama? Ye ni nyau mdogo atulize makalio hayo ya kikurya, kwanza siyo mtanzania ni mkenya! Ingekuwa enzi za wababe ama angeshakimbia km kipindi cha Magu ama angefukuzwa nchini
Wewe una matatizo ya kumbukumbu.
John Heche hajawahi kukimbia nchi wakati wa Magufuli Wala wa Samia au Kikwete au Mkapa.
 
Nina taarifa za ndani kabisa kwamba wanataka kunikamata. Mimi siogopi kukamatwa, mimi sio mtu wa kutishiwa. I was born once, I live once and I will die once. Kama unataka kumtisha Heche unagonga pabaya na jipange upya.

Hatuwezi kuishi kwa kunyimana amani. 'Ukitunyima amani tutakunyima amani'. Short and clear. By - John Heche, akizungumza na wananchi wa Nyamagana Mkoani Mwanza leo Jumatano Julai 29, 2026.

View attachment 3639471
fisadi wa pesa za chadema na mropokaji kama huyo amnyime nani amani kwa mfano 🤣
 
We ni poyoyo tu watanzania wanakujua. Hv unajua ni Samia ndiyo kamrudisha nchini? Huyo bwege lako alishakimbia nchi kipindi cha mwamba John Pombe Joseph Magufuli.
Wewe kweli ni lisenge la karne.
Kwa hiyo huyo samia wako anafanya kazi ya kuleta watu wasio raia wa Tz kuja kuwa viongozi wa vyama vya siasa nchini Tz.
Mnaandika mambo ya kijinga utafikiri mmesokomezwa vibunz mataconi.
 
Km haogopi mbona kipindi cha Magu aliikimbia nchi na Samia ndiyo amemrudisha? Adanganye nyumbu wenzake na ashukuru uungwana na upole wa Samia. Na avuke mstari mwekundu km anaona anaogopwa! Unaweza kupigwa shaba hadharani na maisha yakaendelea, aache kushindana na dola, wako wapi kina Mdude na Polepole? Kwani maisha yamesimama? Ye ni nyau mdogo atulize makalio hayo ya kikurya, kwanza siyo mtanzania ni mkenya! Ingekuwa enzi za wababe ama angeshakimbia km kipindi cha Magu ama angefukuzwa nchini
Heche hajawahi kukimbia nchi
 
Alikimbilia nchi gani.
 
Nyie mtaishi milele? Ovyo!
 
ufisadi wa heche right gentleman?

hausafishiki sasa 🐒
Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

Ni amri sio ombi zimebaki siku 10.
 
Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.

Ni amri sio ombi.
hiyo porojo kuwadanganye na kuwapiga kamba wafuata mkumbo wenzako gentleman na itapendeza zaidi 🐒
 
Nina taarifa za ndani kabisa kwamba wanataka kunikamata. Mimi siogopi kukamatwa, mimi sio mtu wa kutishiwa. I was born once, I live once and I will die once. Kama unataka kumtisha Heche unagonga pabaya na jipange upya.

Hatuwezi kuishi kwa kunyimana amani. 'Ukitunyima amani tutakunyima amani'. Short and clear. By - John Heche, akizungumza na wananchi wa Nyamagana Mkoani Mwanza leo Jumatano Julai 29, 2026.

View attachment 3639471
Heche hiyo kauli hata Mwenyekiti wako Lissu aliwahi kusema. Leo ana zamu ya kusafisha mtondoo! Mke wake na watoto wake wanarandaranda Ulaya na Marekani kutafuta huruma!

Sasa wewe ukikaa ndani, mkeo Mwalimu wa Shule ya Sekondari ya Kata Nyabulogoya, si utafika magereza?
 
Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.

Hili wameliruka😂
Hawajaliruka. Wanalitekeleza kwa akili sana japo ni kwa njia za kifisadi. Suala la Lissu watashikilia misimamo kwamba ni mchakato halali wa kisheria. Wakati huohuo wataendelea kumrubuni au kumtisha kwa siri aunge mkono maridhiano uchwara. Huku uraiani wananunua supporters wa mchakoto wa maridhiano kutoka upinzani. Vitisho pia vinatumika kupata wa kuwaunga mkono. Wanahitaji watu wachache kutoka upinzani kuionyesha dunia na wafadhili kwamba mabadiliko chanya ya kisiasa na kidemokrasia yanafanyka nchini. Hata kale kahotuba ka Yuda ilikua ni sehemu ya mkakati. Utaanzishwa mchakato mwingine uchwara wa mabadiliko ya katiba ambao hautakaa ukamilike mpaka maslahi yao yawe yametimia.
 
Lugha ngumu kama hii ndiyo inalazimu itumike tu sasa!
 
Back
Top Bottom