John Heche: Magufuli aliniahidi kunipa nafasi ya Uwaziri kama ningekubali kuhamia CCM

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
5,277
8,003
Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe.

Magufuli alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.

Hongera John Heche, big respect to you
 
Wataalamu wabobezi kwenye uongo Wanasema ukitaka kusema uongo singizia marehemu aliniambia

Mfano mimi mwenyewe Marehemu Lowassa aliniomba niwe mgombea uraisi wa Chadema nikakataa nilipokataa ndipo akaamua yeye mwenyewe kugombea ila ilimuuma sana mimi nilipokataa
 
Leo kwenye Clouds 360° akihojiwa na Masoud Kipanya amesema kuwa kabla ya Mbunge Mtulia wa CUF Kinondoni yeye Heche alikuwa approached na Magufuli mwenyewe. Magu alimuambia kuwa kama atahamia CCM basi atampa Uwaziri. Heche alimkatalia katakata. Baada ya hapo Magufuli alimuambia kuwa basi kama unabaki CHADEMA na Ubunge wa Tarime usahau, hautapata.

Hongera John Heche, big repect to you
Magu alikuwa anapenda kufanya kazi na watu wanaojielewa. Shida yake ilikuwa moja tu lazima uwe Mwanaccm.

Kama amekosa watu ccm iweje alazimishe mtu ahamie?
 
Wataalamu wabobezi kwenye uongo Wanasema ukitaka kusema uongo singizia marehemu aliniambia

Mfano mimi mwenyewe Marehemu Lowassa aliniomba niwe mgombea uraisi wa Chadema nikakataa nilipokataa ndipo akaamua yeye mwenyewe kugombea ila ilimuuma sana mimi nilipokataa
Ujinga tu.......Marehemu haombi watu wasiojielewa. Hata udanganye Watoto wa Chekechea hawatakuamini.
 
Back
Top Bottom