John Heche: CHADEMA haiko tayari kwa Maridhiano

Kwani wameitwa kwenye maridhiano!?..sisi tunataka wadakwe wanyee debe
Screenshot_20251219-132538~2.png
 
Sasa mkikataa maridhiano Lissu ataendelea kukaa mahabusu muda usiojulikana, mpaka aje atoke kama ni wa kutoka si leo
 
Safi sana John Heche na chama chako. Bi Chura Kiziwi aondoke!!
 
Nilishashauri hakuna haja ya maridhiano na hawa wahuni. Serikali isonge mbele kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM kwa sababu miaka 5 ni michache mno. Tusipoteze kuridhiana na wahuni aina ya Heche.
Cha kusikitisha ni kwamba hata Maduro alikuwa na wafuasi tena wengi sana.
Lakini ukiangalia idadi ya raia walioingia barabarani kushangilia anguko la huyo Maduro unabaki kushangaa tu.
 
Kama kweli serikali ya ccm inataka maridhiano ya kweli haina budi kuonyesha kwa nia safi kabisa kuwa inataka kuponya hii nchi

Kuna mambo ambayo kama yakitafutiwa ufumbuzi hata wananchi wa Tanzania watafarijika

1. Ukomeshaji wa utekaji ambao unaendelea mpaka sasa hivi

2. Kuachiwa huru Tundu lissu pamoja na wengine wote ambao wamepewa kesi wasizo stahili

3. Kukiri makosa kwa dhati kabisa kwa kadhia iliyotokea 29 oct

4. Na mengine yote ambayo ni sababu ya wananchi kukosa furaha

Serikali haijachelewa bado inaweza kurudisha imani za wananchi endapo mambo hayo yakifanyiwa kazi
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupumbaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka na kusisitiza kuwa kamwe CHADEMA haitowasiliti Watanzania.

Akiongea leo January 03,2026, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema “CHADEMA, Chama chenu hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupumbaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka, kamwe hatuwasaliti Watanzania”

“Ni ubatili na dharau kubwa kwa Watanzania kuyaita maridhiano sasa katika mazingira ambapo Serikali iliamua kwa makusudi kuwapuuza Wananchi, Vyama vya siasa na Wadau wa demokrasia juu ya hitaji la nchi kuhusu mabadiliko (reforms) ya mifumo ya uchaguzi nchini, uchaguzi batili hauishii kwenye siasa pekee, huingia moja kwa moja kwenye tumbo la mwananchi na heshima ya maisha yake ya kila siku”

“Leo ninapotoa salamu hizi ni siku ya 269, tangu Mwenyekiti wetu, Tundu Lissu alipokamatwa na kuwekwa mahabusu kwa kesi ya uongo, batili na yenye uonevu wa makusudi wakidhani atapiga magoti kusujudia sanamu”.
Naunga mkono hoja
 
Safi sana Heche na Chadema.
 
Nilishashauri hakuna haja ya maridhiano na hawa wahuni. Serikali isonge mbele kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM kwa sababu miaka 5 ni michache mno. Tusipoteze kuridhiana na wahuni aina ya Heche.
Kwani wameitwa kwenye maridhiano!?..sisi tunataka wadakwe wanyee debe
Damu za watu mliowaua zimewalevya shenzy-type nyie ndio maana mnaandika bila kutumia akili zilizo sawa...

Damu za watu zimesababisha akili zenu zitelemkie kwenye chupi na matako yenu, na sasa badala hata muone aibu kidogo na mjutie ushenzi mlioutenda, mnaanza kufyatua shobo zenu kupitia matundu yenu ya kutolea mavi...

Very stupid.

Mpaka muwe vichaa kabisa ndo mtajua kuwa mlikuwa hamjui, wajinga na wapumbavu wa yote.....
 
Back
Top Bottom