EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,189
- 20,635
Akili wanazo japo huwa zipo kwa makalioAiseee! chawa hana akili.
Akili wanazo japo huwa zipo kwa makalioAiseee! chawa hana akili.
Huu si msimamo wa Chadema ni msimamo wa wananchi wote. Heko CDMHuu ndio msimamo makini sana. Najivunia sana kushabikia chama kinachojitambua. Kuna wajinga wanadhani bado cdm ni chama kinachotetemekea ruzuku. Cdm imeshavuka hatua ya kutegemea ruzuku, maana hiyo ilitumika kuvuruga vyama vya upinzani. Msimamo ni huo huo. Bigup cdm.
stakehigh ERTUGRUL BEY HAYA LAND HOV THE BIG SHOW
Cc Kimbesali na washirika wake!Huu ndio msimamo makini sana. Najivunia sana kushabikia chama kinachojitambua. Kuna wajinga wanadhani bado cdm ni chama kinachotetemekea ruzuku. Cdm imeshavuka hatua ya kutegemea ruzuku, maana hiyo ilitumika kuvuruga vyama vya upinzani. Msimamo ni huo huo. Bigup cdm.
stakehigh ERTUGRUL BEY HAYA LAND HOV THE BIG SHOW
Mkiendelea na huu utaratibu wenu wa kuwatawala wananchi kwa nguvu, huku mkitegemea nguvu ya vyombo vyenu vya dola (na hasa policcm) kuwalinda; mtegemee majanga zaidi siku zijazo.Nilishashauri hakuna haja ya maridhiano na hawa wahuni. Serikali isonge mbele kutekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM kwa sababu miaka 5 ni michache mno. Tusipoteze kuridhiana na wahuni aina ya Heche.
Asante kwa bandiko hili, kwa ruhusa yako naomba kulitumia hili bandiko kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupumbaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka na kusisitiza kuwa kamwe CHADEMA haitowasiliti Watanzania.
Akiongea leo January 03,2026, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema “CHADEMA, Chama chenu hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupumbaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka, kamwe hatuwasaliti Watanzania”
“Ni ubatili na dharau kubwa kwa Watanzania kuyaita maridhiano sasa katika mazingira ambapo Serikali iliamua kwa makusudi kuwapuuza Wananchi, Vyama vya siasa na Wadau wa demokrasia juu ya hitaji la nchi kuhusu mabadiliko (reforms) ya mifumo ya uchaguzi nchini, uchaguzi batili hauishii kwenye siasa pekee, huingia moja kwa moja kwenye tumbo la mwananchi na heshima ya maisha yake ya kila siku”
“Leo ninapotoa salamu hizi ni siku ya 269, tangu Mwenyekiti wetu, Tundu Lissu alipokamatwa na kuwekwa mahabusu kwa kesi ya uongo, batili na yenye uonevu wa makusudi wakidhani atapiga magoti kusujudia sanamu”.
kwan kaitwa kwenye maridhiano? hajashiriki uchaguzi maridhiano hayamhusuHuu ndio msimamo makini sana. Najivunia sana kushabikia chama kinachojitambua. Kuna wajinga wanadhani bado cdm ni chama kinachotetemekea ruzuku. Cdm imeshavuka hatua ya kutegemea ruzuku, maana hiyo ilitumika kuvuruga vyama vya upinzani. Msimamo ni huo huo. Bigup cdm.
stakehigh ERTUGRUL BEY HAYA LAND HOV THE BIG SHOW
Weka utakavyo, uje na zile porojo zako kwamba cdm wanakosea kutoshiriki maridhiano, wakati ACT walijipendekeza kwenye tume ya professor Mkandala na bado wampiga kidole cha kati. Kwenye uzi wako usisahau Samia aliingia na hadaa ya 4r's lakini zimebaki kulazimishwa kisiasa zaidi na wanaccm, wakati uhalisia unakataa na kinachohubiriwa.Asante kwa bandiko hili, kwa ruhusa yako naomba kulitumia hili bandiko kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.
P
Ameweka record sawa tu, maana tapeli anahadaa kuwa atashirikisha makundi yote. Ashirikishe makundi ambayo bado hayajamstukia kuwa ni tapeli.kwan kaitwa kwenye maridhiano? hajashiriki uchaguzi maridhiano hayamhusu
Hapa sanamu ni nani?.Mwenyekiti wetu, Tundu Lissu alipokamatwa na kwa kesi ya uongo, batili na yenye uonevu wakidhani atapiga magoti kusujudia sanamu”.
huyo hausiki anatafuta tu kikiAmeweka record sawa tu, maana tapeli anahadaa kuwa atashirikisha makundi yote. Ashirikishe makundi ambayo bado hayajamstukia kuwa ni tapeli.
Leo ninapotoa salamu hizi ni siku ya 269, tangu Mwenyekiti wetu, Tundu Lissu alipokamatwa na kuwekwa mahabusu kwa kesi ya uongo, batili na yenye uonevu wa makusudi wakidhani atapiga magoti kusujudia sanamu”. 📌🔨✌🏿💪🏿☄⚡Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupumbaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka na kusisitiza kuwa kamwe CHADEMA haitowasiliti Watanzania.
Akiongea leo January 03,2026, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema “CHADEMA, Chama chenu hakitakuwa tayari kwa maridhiano yenye kupumbaza, kuhadaa, yenye ulaghai na yenye kuliondoa Taifa kwenye ukweli, haki na kile ambacho Taifa inataka, kamwe hatuwasaliti Watanzania”
“Ni ubatili na dharau kubwa kwa Watanzania kuyaita maridhiano sasa katika mazingira ambapo Serikali iliamua kwa makusudi kuwapuuza Wananchi, Vyama vya siasa na Wadau wa demokrasia juu ya hitaji la nchi kuhusu mabadiliko (reforms) ya mifumo ya uchaguzi nchini, uchaguzi batili hauishii kwenye siasa pekee, huingia moja kwa moja kwenye tumbo la mwananchi na heshima ya maisha yake ya kila siku”
“Leo ninapotoa salamu hizi ni siku ya 269, tangu Mwenyekiti wetu, Tundu Lissu alipokamatwa na kuwekwa mahabusu kwa kesi ya uongo, batili na yenye uonevu wa makusudi wakidhani atapiga magoti kusujudia sanamu”.
Hakuna Maridhiano na Shetani
Anayefosi maridhianoHapa sanamu ni nani?.
P
Jela haina mwenyewe siku nyingine na wewe utadakwa ukanyee hilo debe.Kwani wameitwa kwenye maridhiano!?..sisi tunataka wadakwe wanyee debe