PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Siasa ni sehemu ya maisha na bishara dude amka usingiZini hujawahi kuona waubili wa kilokole sokoni?
Kariakoo ni Central business district watu pale wako busy na biashsra wana kufanya hawategemei tone tone kuishi.

Wahubiri hawasababishi foleni,wala misongamano wa watu na magari wa biashara,wafanyabiashara na wateja

Hapo aliposimama kasababisha usumbufu kwa wafanyabiashara na wateja na wenye magari
 
Madhara ya ukoloni wa ki Oman Tanganyika yetu,tumerudi enzi ya Barghash.
 
Kwahiyo raia wamekubali akamatwe kama kuku?
Kwa nini wasikubali wakati kaenda kuleta siasa wakati wa muda wa kazi wao wakitafuta riziki zao

Muda wa kazi sio wa kusali wala siasa

CHADEMA hawajielewi.Muda watu wako busy na biashara unaenda kuwasumbua na siasa
 
Back
Top Bottom