PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo John Heche na walinzi wake wawili, wamekamatwa na Jeshi la Polisi walipokuwa wakitaka kufanya mkutano wa hadhara, Kariakoo jijini Dar es Salaam.

Taarifa zinadai kuwa, Heche na walinzi hao wanapelekwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central) huko chanzo cha kukamatwa kikiwa bado hakijajulikana.

Heche akamatwa.jpeg


heche akamatwa 2.jpeg
 
Back
Top Bottom