PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mtanganyika gani aliwaandikia barua CHADEMA kuwa iwapiganie? Weka nakala

Wao wanapugania tonetone tu ndio masna wanapuuzwa na watanganyika hata wakikamatwa fresh tu

Watanganyika wanaendelea na shughuli zao kama hakujatokea chochote
Wewe hata ungekua wakati wa mkoloni ungesema hivyo so wewe ni bumunda
 
Mtanganyika gani aliwaandikia barua CHADEMA kuwa iwapiganie? Weka nakala

Wao wanapugania tonetone tu ndio masna wanapuuzwa na watanganyika hata wakikamatwa fresh tu

Watanganyika wanaendelea na shughuli zao kama hakujatokea chochote
Shule hazina madawati
Hospital hakuna dawa
Hakuna maji
Deni la Taifa ni trillion 97.35
 
Taarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.

Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.

Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha Polisi Kati kufuatilia suala hilo wameelezwa kuwa Heche hajawahi kufikishwa hapo.



View attachment 3312400


View attachment 3312401


NO RIFOMU NO ELEKSHENI!!! NO RIFOMU NO ELEKSHENI!!! NO RIFOMU NO ELEKSHENI!!! NO RIFOMU NO ELEKSHENI!!!
 
Haiwezekani akamatwe bila sababu, lazima kuna jambo, aidha kuna uchochezi aliokuwa akipandikiza hapo kariakoo kwani haiwezekani raia mwema kukamatwa bila sababu!
Haya ndo masisiem yaliyovimbiwa hadi yanajamba jamba muda wote
 
Ila watanzania bado sana. Wacha CCm iendelee kutawala. Ukiwatazama wananchi bado sana hawajawa tayari.
CCM ongezeni dozi kabisa hadi kila mtu aombe pooo
 
Shule hazina madawati
Hospital hakuna dawa
Hakuna maji
Deni la Taifa ni trillion 97.35
Hawapiganii hoja hizo wao wako kwenye No reform no Election usichanganye mada wala kuwawekea maneno mdomoni ambayo hawajaingea
 
Nice move..chadema inazidi kupaa,bi shombi anazidi kujichafua..kinachoenda kutokea kitakwenda kubadili Narrative ya taifa kuhusu utawala wa haki wa Mama mpole,.Nani kama Mama??
 
Maan#### huyo ndio alileta sheria za kusema polici hata wakiua wasishitakiwe sijui inawaza kwa kutumia nini mkuu. He was the worst prsda ever. Akifuatiwa na huyu chura kiziwi
Nikweli alileta sheria hizo ili kuwakabili mafisadi na wahuni ambao msio na akili mliwa hurumia... sasa hao mafisadi na maadui wa uzalendo na maadui wa wazalendo ndiyo wameshika mpini.... Sasa mmeanza kujua kwa nini JPM aliwaandama kwa udicteta maadui wote wa uzalendo .
💥Jpm alileta sheria kali za kidicteta dhidi wa wahuni wanao chukia uzalendo na kuchukia wazalendo.
💥Samia kaleta sheria kali na kuondoa sheria ya kuvishitaki vyombo vya ulinzi hata vikifanya uovu gani ili kupambana na Wazalendo wote nchini na uzalendo.
TATIZO LENU WATANZANIA AMNA AKILI AMJUI I KWANINI TUNATAKA RAIS DICTATOR MZALENDO . amjui kiburi cha mafisadi na wahuni kwenye hii nchi kilipo fikia .
 
Back
Top Bottom