PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii ni baadhi ya hujuma za wazi ili kuwanufaisha mamluki waliopenyezwa ndani ya chama na chama hasimu na Watwawala dhuluma ndani ya taifa letu.Haya ni mambo ya kuyakataa kwani utaifa na taifa linazikwa huku likipumia na kutazama kama linazikwa angali lii hai.
CHADEMA NA WAPINZANI NILIPO WAONYA HAPA JF KUWA ILIKUWA RAHISI KUPATA KATIBA MPYA NA NJEMA NA YA HAKI CHINI YA MAGUFULI WALINITUKANA SANA WAKANIPINGA NA KUNIITA MPUMBAVU ...MIMI AKILI ZANGU ZINAO UWEZO MKUBWA WA KUSOMA MCHEZO ....LISSU ALIKUWA MPUMBAVU KWA KUKUBALI KUTUMIWA NA CCM WALIO KUWA WANAMPINGA JPM ....WAKIMDANGANYA KUWA WAO NI WEMA NA WANATAKA HAKI ...BAADA YA KUMTUMIA LISSU NA CHADEMA KWA UJUMLA DHIDI YA MZALENDO JPM NA KUFANIKIWA NIA YAO OVU ...SAMIA NA GENGE LAKE LA RAIA FEKI NA VIBARAKA WAO WA MSOGA WAKASHIKA NCHI ....HAPA ILIKUWA SHANGWE KWA WAPUMBAVU WOTE NA BAADA YA MUDA KINA POLEPOLE NA WAZALENDO WENGINE WAKAANZA KUSHUGULIKIWA NA WAHUNI WA KUNDI LA SAMIA NA MSOGA basi wapinzani na wapumbavu wengine walikuwa wanashangilia sana hapa JF ...
TULIWAONYA..... MIMI BINAFSI NILIWAAMBIA CHADEMA KUWA HALI YENU ITAKUWA MBAYA KULIKO MLIVYO KUWA CHINI YA MAGUFULI. WAKABISHA..
 
Taarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu mMwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.

Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.

Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha Polisi Kati kufuatilia suala hilo wameelezwa kuwa Heche hajawahi kufikishwa hapo.



View attachment 3312400


View attachment 3312401


Ndoo sasa inamhusu kama mwenyekiti wake😎
 
Wanachama wa chadema ni majasiri sana mtandaoni ila kwa ground viongozi wanakamatwa kama kuku tena mbele yao na wanatulia kama wamemwagiwa maji
Hakuna sababu ya kufanya vurugu wakati unajua kuna njia ya amani ya kufikia muafaka. Viongozi wa chadema hawahamasishi vurugu, wanatoa elimu kwa umma kufahamu jinsi haki zao zinavyokandamizwa na watawala kupitia taasisi kama hii ya jeshi la polisi.
 
Wanahangaikia tonetone au watanzania?
Mtanzania gani aliyewahi waandikia barua kuwa wampiganie?

Njaa zao za tonetone ndizo zinawasukuma.Ndio maana hata wakikamatwa watanzania wanaendelea na shughuli zao kama vile hakuna kilichotokea
Watanzania Ngorongoro hawana makazi
Bandari imeuzwa
Dar hakuna usafiri mmeshindwa kuendesha mwendo kasi
Bei za bidhaa zimepanda
Miji haina maji
ATCL imekufa
Shule hazina madawati
Hospital hazina madawa
Uchaguzi mnaiba
Watu wanapotezwa
Deni la Taifa ni trillion 97.35
 
CADAMA NA WAPINZANI NILIPO WAONYA HAPA JF KUWA ILIKUWA RAHISI KUPATA KATIBA MPYA NA NJEMA NA YA HAKI CHINI YA MAGUFULI WALINITUKANA SANA WAKANIPINGA NA KUNIITA MPUMBAVU ...MIMI AKILI ZANGU ZINAO UWEZO MKUBWA WA KUSOMA MCHEZO ....LISSU ALIKUWA MPUMBAVU KWA KUKUBALI KUTUMIWA NA CCM WALIO KUWA WANAMPINGA JPM ....WAKIMDANGANYA KUWA WAO NI WEMA NA WANATAKA HAKI ...BAADA YA KUMTUMIA LISSU NA CHADEMA KWA UJUMLA DHIDI YA MZALENDO JPM NA KUFANIKIWA NIA YAO OVU ...SAMIA NA GENGE LAKE LA RAIA FEKI NA VIBARAKA WAO WA MSOGA WAKASHIKA NCHI ....HAPA ILIKUWA SHANGWE KWA WAPUMBAVU WOTE NA BAADA YA MUDA KINA POLEPOLE NA WAZALENDO WENGINE WAKAANZA KUSHUGULIKIWA NA WAHUNI WA KUNDI LA SAMIA NA MSOGA basiwapinzani wa wapumbavu wengine walikuwa wanashangilia sana hapa JF ...
TULIWAONYA MIMI BINAFSI NILIWAAMBIA CHADEMA KUWA HALI YENU ITSKUWA MBAYA KULIKO MLIVYO KUWA CHINI YA MAGUFULI. WAKABISHA
Maan#### huyo ndio alileta sheria za kusema polici hata wakiua wasishitakiwe sijui inawaza kwa kutumia nini mkuu. He was the worst prsda ever. Akifuatiwa na huyu chura kiziwi
 
Hakuna sababu ya kufanya vurugu wakati unajua kuna njia ya amani ya kufikia muafaka. Viongozi wa chadema hawahamasishi vurugu, wanatoa elimu kwa umma kufahamu jinsi haki zao zinavyokandamizwa na watawala kupitia taasisi kama hii ya jeshi la polisi.
Wanatoa elimu kwa kuchochea na kutukana.Walionywa hawakusikia.Kenge haonyeki mpaka aone damu.
 
Hawa ndo wanasema Tume huru na haki ni kituko cha Mwaka
 
Back
Top Bottom