Fisadi yupi alimuadhabisha. Maana yeye mwenyewe alikua fisadi. Au hujui kwake wakati amedanja zilikutwa dolla 40m. You talk nonsense nigga. Eti fisadi akamate mafisadi 😆😆😆😆Nikweli alileta sheria hizo ili kuwakabili mafisadi na wahuni ambao msio na akili mliwa hurumia sasa wameshika mpini mmejua kwanini JPM aliwaandama kwa udicteta maadui wote wa uzalendo .
💥Jpm alileta sheria kali za kidicteta dhidi wa wahuni wanao chukia uzalendo na kuchukia wazalendo.
💥Samia kaleta sheria kali na kuondoa sheria ya kuvishitaki vyombo vya ulinzi hata vikifanya uovu gani ili kupambana na Wazalendo wote nchini na uzalendo.
TATIZO LENU WATANZANIA AMNA AKILI AMJUI I KWANINI TUNATAKA RAIS DICTATOR MZALENDO . amjui kiburi cha mafisadi na wahuni kwenye hii nchi kilipo fikia .
Lakini alisema hata yeye Yuko tayari kukamatwa.Taarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.
Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.
Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha Polisi Kati kufuatilia suala hilo wameelezwa kuwa Heche hajawahi kufikishwa hapo.
View attachment 3312400
View attachment 3312401
Sisi historia yetu watakapo kuja kusoma vizazi vyetu vitashangaa sana na kujiuliza hawa walikuwa binadamu wa aina gani ?Maiti zinazo tembea (sorry)Inabidi tufe sisi kwanza , kizazi kinachoogopa kufa kwa kupambania haki, ila hakiogopi kufa kwa kutokuvaa kondom.
Watajifia wenyewe ila wafuasi wao ni mandezi sana...Waueni
Tume huru ya uchaguzi ndo itatupa viongozi tunaowachagua sio wanaoiba uchaguzi Kwa tume isiokuwa huruHawapiganii hoja hizo wao wako kwenye No reform no Election usichanganye mada wala kuwawekea maneno mdomoni ambayo hawajaingea
Halafu unasikia goli la mama 20MShule hazina madawati
Hospital hakuna dawa
Hakuna maji
Deni la Taifa ni trillion 97.35
Wanaona wazi jambo la Lissu linatokota hapo hapo wanamshika na nsaidizi wake!Wamefisika kihekima na kibusara.
Tumia akili duniani kote kuna ufisadi lakini nchi zao zinaendelea unajua kwa nini ? Kunatofauti ya FISADI MZALENDO NA FISADI ASIYE MZALENDOFisadi yupi alimuadhabisha. Maana yeye mwenyewe alikua fisadi. Au hujui kwake wakati amedanja zilikutwa dolla 40m. You talk nonsense nigga. Eti fisadi akamate mafisadi 😆😆😆😆
Yani ni hatari mno hata zuchu anaweza kuwa kiongozi wa juu na kutuburuza kama wehu tu 🤔Sisi historia yetu watakapo kuja kusoma vizazi vyetu vitashangaa sana na kujiuliza hawa walikuwa binadamu wa aina gani ?Maiti zinazo tembea (sorry)
Anauzalendo upi..? Acha upumbavu. Mzalendo kwa kipi alichofanya 😆😆😆😆. Mshamba wa madaraka yule. Yaani lile lishamba eti lizalendo unajua maana ya uzalendo..?Tumia akili duniani kote kuna ufisadi lakini nchi zao zinaendelea unajua kwa nini ? Kunatofauti ya FISADI MZALENDO NA FISADI ASIYE MZALENDO
Hayo hawaongei wewe ndio wasema.wao wamejikita tu no reform no election na tonetoneTume huru ya uchaguzi ndo itatupa viongozi tunaowachagua sio wanaoiba uchaguzi Kwa tume isiokuwa huru
Ambao hao hawajali
Shule hazina madawati
Hospital hazina madawa
Hakuna maji
Hakuna barabara
Mwasai Ngorongoro hawana makazi
Bandari imeuzwa
ATCL imekufa
Ziwa victoria meli mbovu
Mishahara duni ya watumishi
Hakuna ajira Kwa vijana
Hakuna soko la mazao
Tozo nyingi
Deni la Taifa ni trillion 97.35
Eti umekubali kuwa ni fisadi alafu unasema mzalendo. Ww jamaa ni punguani. Fisadi awe mzalendo😆😆😆 nabishana na lifala f@[< YouTumia akili duniani kote kuna ufisadi lakini nchi zao zinaendelea unajua kwa nini ? Kunatofauti ya FISADI MZALENDO NA FISADI ASIYE MZALENDO
Kwanini nyie mafisi hamtaki tume huru ya uchaguzi?Hayo hawaongei wewe ndio wasema.wao wamejikita tu no reform no election na tonetone
Japo ushahidi huna waropoka tu bila takwimu au ushahidi hakikika