PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

PreGE2025 John Heche akamatwa na Polisi Kariakoo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Keyboard warriors endeleeni na mapambano kwa njia ya mtandao 😂
 
Ila mwishwo wake yataskua majadiliano hili suala la "no reform no election" limepokelewa almost na watanzania wote wakiwemo baadhi ya ccm haliepukiki
Ile katiba iliyopo ya kisenge lazima ibadilishwe, watu wameelewa somo
 
Huu ni muda wa kukaa kimya.

Muda wa kusema umeisha, nawashauri tukae kimya,

Hakimu Yu kitini kutoa maauzi ya mwisho.

Kaa kimya!
 
Kura ziliibiwa hadi zikabaki ndo wakashinda
Tume huru hamuitaki kwanini?
Kama mna wapiga kura wengi zinaibiwa hadi kubaki safari hii kama mnazo za kutosha hata zikiibiwa zutabaki kwa nini msigombee uchaguzi mkuu?
 
Yeyote anaejitolea kuwaambia watanzania ukweli anaamatwa, yan viongozi wa tanzania waoga saana
 
Huu Moto unaopaliliwa hautamuacha Samia salama

Sijajuwa Samia ana mpango gani na Tanzania au ni agent wa warabu sisi tupo tu tunashangaa shangaa ndio anatuuza na kuiua Tanzania

Kuna taarifa za siri, kuwa kuna mpango mbaya sana wa muda mrefu dhidi ya Tanganyika. Mpango wa siri, ni kuwa eneo lote la pwani linatakiwa kuchukuliwa na waarabu. Njia zote za kiuchumi zinatakiwa kumilikiwa na waarabu. Wakishapata nguvu za kiuchumi, na watanganyika wakawa waajiriwa tu wa waarabu, hao waarabu watachukua nguvu za kisiasa. Wakipata nguvu za kisiasa, watapitisha uamuzi wa kuwa eneo lote la pwani toka Mtwara hadi Pangani, kilometer 20 toka ufukwe wa bahari, na kisiwa cha Kilwa, ni maeneo ya Zanzibar kwani maeneo hayo kabla ya uhuru, na kabla ya ujio wa Wajerumani, yalikuwa milki ya Sultani wa Oman. Wakilikamilisha hilo, Zanzibar itajitoa kwenye muungano, na Tanganyika haitakuwa na bandari hata moja, na hivyo Watanganyika watalazimika kuinyenyekea Zanzibar ili kutumia bandari zao, ikifika hapo Zanzibar itakuwa Dubai ya Afrika.
 
Kama mna wapiga kura wengi zinaibiwa hadi kubaki safari hii kama mnazo za kutosha hata zikiibiwa zutabaki kwa nini msigombee uchaguzi mkuu?
Tunataka tume huru isiyoleta wabunge 💯 CCM ambao wao ndo wanatuletea tozo, wanauza bandari, wanahamisha Masai Ngorongoro, wanajua ATCL
 
Yeyote anaejitolea kuwaambia watanzania ukweli anaamatwa, yan viongozi wa tanzania waoga saana
Heche kasema nini kariakoo zaidi ya kuzua foleni za misongamano ya watu na mgari kwa kusimama barabarani, kwenye barabara iliyo busy na kuleta usumbufu kwa watumia barabara? Ndio maana alipokamatwa wananchi hawakujali zaidi ya kupongeza jeshi la polisi kufungua barabara kuondoa foleni
 
Taarifa rasmi kutoka CHADEMA imesema kwamba Jeshi la Polisi limemkamata Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, katika eneo la Kariakoo na kumpeleka kituo cha Polisi Msimbazi.

Hata hivyo, baadaye aliondolewa kituoni hapo na kupelekwa kusikojulikana.

Viongozi kadhaa waliokwenda kituo cha Polisi Kati kufuatilia suala hilo wameelezwa kuwa Heche hajawahi kufikishwa hapo.



View attachment 3312400


View attachment 3312401


Huyu atoke jumatatu ijayo tena kwa habeas corpus
 
Chura ana hofu zaidi na CCM wenzie na CDM, baada ya kuwafanyia ujambazi ccm wenzie kukemea Dodoma saiv kahamia Cdm
 
Back
Top Bottom