Israel yaishukia USA yasema Misaada ya Mafuta na Chakula inawafikia Hamas. Watamani Rais wa Marekani angekuwa Trump!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,025
Waziri wa Usalama mh Ben amesema Marekani haitoi ushirikiano timilifu kwa Israel kwani kwa kitendo cha kutoa Misaada ya Mafuta, Chakula na Dawa kwa Palestine Misaada hiyo inaangukia mikononi mwa Hamas

Waziri Ben amesema kama Rais wa Marekani angekuwa Trump Mahusiano yao yangeboreka

Source Al jazeera news
 
Netanyahu hana shukrani.
Ungrateful Kabisa, Leo anamkumbuka Trump wakati trump anashindwa uchaguzi hakutaka hata kupokea simu zake.
Akasahu Trump ndiye Rais aliyehamisha Ubalozi wa Us kwenda Jerusalem kabla ya Nchi zingine.
Mnafiki huyu Bwana.
 
Kumbe kambi ya Americant jana imefyekwa pale Syria halafu wale team Americant mnakaa kimya
Kambi ile inalindwa na machujio maana drone imepenya bila upinzani
Americant moto anaanza kukutana nao anaondoka mashariki ya kati punde
 
Majaa kweli hawana shukrane package ya dolla billion 100 bado wanalalamika na kila mwaka wanapewa mabillion ya pesa.
msaada ambao bado unaundiwa ttzo uendelee kutonufaika na msaada ni sw n sifuri , kuwasaidia hamas kupitia wapalestina hairuhusiw
 
Netanyahu hana shukrani.
Ungrateful Kabisa, Leo anamkumbuka Trump wakati trump anashindwa uchaguzi hakutaka hata kupokea simu zake.
Akasahu Trump ndiye Rais aliyehamisha Ubalozi wa Us kwenda Jerusalem kabla ya Nchi zingine.
Mnafiki huyu Bwana.
ulikuwa mwaka gan na Netanyau alikuwa na cheo gan ? hz chuki zinawafanya muonekane wehu , simi zipi alipiga hazikupokelewa ?
 
ulikuwa mwaka gan na Netanyau alikuwa na cheo gan ? hz chuki zinawafanya muonekane wehu , simi zipi alipiga hazikupokelewa ?
Bwana mdogo, Acha utoto.
D TRUMP "I haven’t spoken to him since," Trump said of the former Israeli prime minister. "F**k him
The first person that congratulated [Biden] was Bibi Netanyahu, the man that I did more for than any other person I dealt with. ... Bibi could have stayed quiet. He has made a terrible mistake."
— Donald Trump

https://www.axios.com/2021/12/10/trump-netanyahu-disloyalty-https://jamii.app/JFUserGuide-him
 
Back
Top Bottom