Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 51,470
- 124,192
Unaiba hadi camera, mtu mzima atakuwa anakuangalia tuu then siku ya tukio mwenye mali hatoamini macho yake.Nipe mie hiyo KAZI ya duka,kikubwa daftari liwepo😂
Kwanza hauna camera dukani kwako?
Huyu anataka watoto mana hawana sauti ya kujitetea.