secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 18,904
- 37,516
Utakula miguu kivipi? 😅.Utakula miguu yako. Huu usemi nilikumbana nao sana.
Utakula miguu kivipi? 😅.Utakula miguu yako. Huu usemi nilikumbana nao sana.
Kupika tu,sio kusambaza chakula aisee,nitasepa na chakula.Kama unapenda kazi tuwasiliane
Mkuu Usitupe Maneno tupe KaziKuwa jobless ni mbaya lakini kuwa jobless afu unakula ugali wa shikamoo ndo mbaya zaidi.
Kijana shtuka ujipambanie ujobless sio sifa.
nyie mkiwekwa dukani mnakuwa wezi kichizi mnafidia muda wenu mlio poteza hamfati kanuni za ofisi.Jobless tuna zaidi ya miaka 24 siunajua tena mifumo yetu ya elimu mpaka kuhitimu chuo
Sasa dukani ukiniweka mie wa 20+ shida nini?hio ni dukani lakini mgahawani hakuna shida miaka yoyote tu kuanzia 18
unapika wateja wanakuja wenyewe na unakuwa na wasaidiziKupika tu,sio kusambaza chakula aisee,nitasepa na chakula.
dukani sasa hivi tunaweka vijana wadogo wakubwa matapeliSasa dukani ukiniweka mie wa 20+ shida nini?
Na huyu wa 20- inamaana Kila mwaka unabadili wafanyakazi?
Miguu si ndio inakufanya uzurure.Utakula miguu kivipi? 😅.
Inategemeana umekutana na nani sio wote matapeli kuna vijana ni waaminifu na ni wakubwa zaidi ya miaka 20 usisemee wote kuna wachache waaminifu bado wapo nikiwemo mimidukani sasa hivi tunaweka vijana wadogo wakubwa matapeli
Kuna hile unatembea kusambaza chakula daah,nawaonea huruma Hawa wadadaunapika wateja wanakuja wenyewe na unakuwa na wasaidizi
Acha hizo ww bintiAisee,wameninyima msosi.hapa navizia usiku,
Wana msemo wao,asiyekuwepo na lake halipo🥹
Eeh hao wadogo si mnawalipa mnavyotaka nyie,Sasa mkubwa huwezi kumlipa Kwa mwezi afu 30k.dukani sasa hivi tunaweka vijana wadogo wakubwa matapeli
hapana ofisi hii unaandaa chakula kizuri watu wanakuja wenyewe tu.oda anapeleka bodabodaKuna hile unatembea kusambaza chakula daah,nawaonea huruma Hawa wadada
Kwanini?Acha hizo ww binti
I see u 😎Kwanini?
sasa hivi hatulipi hivyo tunaenda kwa mkatabaEeh hao wadogo si mnawalipa mnavyotaka nyie,Sasa mkubwa huwezi kumlipa Kwa mwezi afu 30k.
Ooh, vizuri tajeer.hapana ofisi hii unaandaa chakula kizuri watu wanakuja wenyewe tu.oda anapeleka bodaboda