Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,503
- 19,634
NaamDogo utaliwa Donat kabebe Zege acha utegemezi
Hakikisha kwenye maisha yako hakuna anayethubutu kusema bila yeye usingekuwa ulivyo
NaamDogo utaliwa Donat kabebe Zege acha utegemezi
Hakikisha kwenye maisha yako hakuna anayethubutu kusema bila yeye usingekuwa ulivyo
una miaka mingapi kwanza?Mkuu Hua Tukishiba Tunakaa tu vibarazani tunapunga Upepo Tunasikilizia Michongo
Mkuu kama unao Toa Mchongo
Kazi gani mkuunatafuta vijana wa kazi sipati sijui mnakaaga wapi nyie
uko Dar nikupe kaziKweli.
Sipo daruko Dar nikupe kazi
kazi ya kuuza duka.lakini uwe na miaka 20 kushuka chini.Kazi gani mkuu
Aisee mbaya sana Hii Yaani Wanakupigishaje Pasi ndefu kwa kukushitukiza😀Aisee,wameninyima msosi.hapa navizia usiku,
Wana msemo wao,asiyekuwepo na lake halipo🥹
😅😅😅 msosi wa marahabaaaaa kama kawaaaaa, ile unauifinyaa hatari.. alafu leo home kuna ubecheee mzeeNdondo Muhimu kutafuta jasho na kupanua Tumbo Ila Usiku Msosi Uliwe sana
Haya ni majaribu🥹kazi ya kuuza duka.lakini uwe na miaka 20 kushuka chini.
pole ningekupa kazi ya kuuza mgahawaSipo dar
kwaniniHaya ni majaribu🥹
Aisee,ningejipikilisha mie Hadi sufuria zingejuta kunifahamu daah🙄pole ningekupa kazi ya kuuza mgahawa
Utaratibu ni ule ule kwenye ubeche kupita gengeni kuchukua ndizi mbivu 2😀😅😅😅 msosi wa marahabaaaaa kama kawaaaaa, ile unauifinyaa hatari.. alafu leo home kuna ubecheee mzee
Kama unapenda kazi tuwasilianeAisee,ningejipikilisha mie Hadi sufuria zingejuta kunifahamu daah🙄
Jobless tuna zaidi ya miaka 24 siunajua tena mifumo yetu ya elimu mpaka kuhitimu chuokazi ya kuuza duka.lakini uwe na miaka 20 kushuka chini.
Utakula miguu yako. Huu usemi nilikumbana nao sana.Aisee,wameninyima msosi.hapa navizia usiku,
Wana msemo wao,asiyekuwepo na lake halipo🥹
Miaka 20 kushuka chini🙄kwanini
Alafu mpishi Unakuta mnoko Hatari😀Utakula miguu yako. Huu usemi nilikumbana nao sana.
Yaani😂,Nile miguu yangu,Utakula miguu yako. Huu usemi nilikumbana nao sana.
hio ni dukani lakini mgahawani hakuna shida miaka yoyote tu kuanzia 18Miaka 20 kushuka chini🙄