JKT wakanusha kutokea vifo katika mafunzo

Huyo kama ni mkufunzi wa jkt basi nchi imejaa majambazi na vibaka tena wauaji wakubwa. Ana majibu kama ya kima.

ww unafikir huyo mwanao akifa mafunzon hivi unafikir ataleta hasara yoyote kwa taifa hili?
 
kwan huyo aliyekufa ni nani? Na ana umuhimu gani kwenye hii nchi? Kama alikuwa mzembe na legelege halali kufa

yaani wewe...we ni binadamu wewe?we unajua uchungu wa mimba?unajua uchungu wa kuzaa wewe?unajua uchungu wa kusomesha wewe?unajua uchungu wa kulea wewe?hivi unajua kwa nink MUNGU aliumba kusahau?sijapata kuona mtu mweny roho ya kinyama km wewe...MUNGU akujalie utakapozaa mtoto wako akifikia kujitegemea afe tena sio mmoja wote!tena wafe mwa uzembe uzembe tu maana pata picha ndg wa karibu na marehemu wakosoma mineno yako watajisikiae.
 
huyu aliyekufa ni sawa na wengne wanavyokufa hvyo haina haja ya kuanza kutoa ujinga kama huu unaotoka kichwan mwako.
Tambua mtu yeyote aliyingia jeshini ni maiti inayotembea mda na wakat wowote anakufa

hivi hao wanaookufa vitani si walijiunga wenyewe na jeshi?kwa hiyari yao?
 
ww unafikir huyo mwanao akifa mafunzon hivi unafikir ataleta hasara yoyote kwa taifa hili?

Aisee mkuu ukipata wasaa nenda kafanye mental check up, nimegundua unahitaji tiba ya dharura. Pole.
 
hivi hao wanaookufa vitani si walijiunga wenyewe na jeshi?kwa hiyari yao?

Mkuu ujue unabishana na mgonjwa wa akili? Pitia mabandiko yake utagundua. Tumpe pole tu hajui alinenalo.
 
yaani wewe...we ni binadamu wewe?we unajua uchungu wa mimba?unajua uchungu wa kuzaa wewe?unajua uchungu wa kusomesha wewe?unajua uchungu wa kulea wewe?hivi unajua kwa nink MUNGU aliumba kusahau?sijapata kuona mtu mweny roho ya kinyama km wewe...MUNGU akujalie utakapozaa mtoto wako akifikia kujitegemea afe tena sio mmoja wote!tena wafe mwa uzembe uzembe tu maana pata picha ndg wa karibu na marehemu wakosoma mineno yako watajisikiae.

hayo maneno yako yakurudie mwenyew na familia yako.
Kwan kuna mtu aliyeteuliwa kuwa huyu ndio wa kuifia nchi na asiye wakuifia nchi.
Mngewahi kusonga mbele vitan siku moja au mngeona vita nadhan msingekuwa mnalaumu kiasi hcho.
Ujue vifo hutokea popote hata hapo ulipokaa kifo kinaweza kukutokea sasa kwann mlaumu Jkt kuwa wanauwa watoto wenu?
Uchungu anaoupata huyu aliyefiwa na mtoto ni sawa na aliyefiwa na mme wake baba yake au ndg yake akiwa vitan .
Ww hapo ulipo unakula unalala unafanya biashara zako na unakusanya pesa ila hujui kuwa usalama ulionao wa kufanya yote hayo umeletwa na watu ambao nao ni watoto wa watu.
Acha ujinga ww . Kifo jeshini ni matokeo ya mafunzo.
Ukamanda haupatkan kwa kuchezea kompyuta na kullaumu utumbo kama wako ukamanda lazma umwage jasho na damu pamoja na machozi.
 
tulia ww mtoto wa kike acha kulalamika wakat wanaume wapo kazn. Ww lala tu na wanawake wenzio nyumban wanaume wanawalinda mnaleta malingalinga hapa
 
lakin ipo sku tu heshima itakuja umayai mnaoutaka ipo sku utakuuwa na mwisho. Hii Tanzania haitakuwa ya aman milele. Si leo mnaona watoto wenu wanateswa?
Mbwa kala mbwa itafika tu ambapo silaha itakuwa ndio mkomboz wako na hapo ndio mtakuja kuona umuhim wa kuwafundisha watoto wenu jeshi.
Pale ambapo mejificha wote pamoja na hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kutumia silaha
 
hii nchi ya ajabu sana kwani hakuna vipimo vya afya kabla ya kuanza na wakati wa mafunzo yenyewe?
 
Watoto wa sasa mananga saaana; michicha tuu. Ahsante kwa kurejesha JKT, imarasha mgambo pia. Yanyuke, yajile, pumbavu mananga haya.
 
Ndugu yangu busara zakawaida tu zinatufanya tusikitike juu ya msiba wowote haswa ule wenye utata. Ni rahisi kusema hivyo ila naamini ungekuwa umeambiwa ni ndugu yako usingesema kama ulivyosema hapo juu,na huu ni ubinafsi wa binadamu wengi sana. Anyway tuwaombee waliopo jkt wamalize hayo mafunzo yao kwa amani.

Jeshi lina taratibu zake; vifo ni vingi katika training za jeshi we frahi kulala usingiz mzito kwako; wenzio wanalaza pumbu kwenye mabaka wanakulina. Hawa JKT hasa F6 no vimazoez vya mwl tu wanapewa maana ni mananga. We unataka vifo kambini vitangazwe kama vya barabarani.??? Atakayefika mwisho wa program ndo atakuwa ameiva.
 
huna hoja yoyote ya maana, kuzungumzia mateso na mauaji ndio kukashifu jeshi? hao wanajeshi wanaoenda vitani hiyo ni kazi yao na hakuna mtu yoyote aliewalazimisha kuwa wanajeshi. kama unaona huwezi vita acha jeshi.

Lazima aive; hatutaki raia legelege. Tena hujui walioletwa JKT kwa mujibu wa sheria wanavyoonewa huruma
 
Nahisi nimepotea kwenye jukwaa hili. Ila wazazi muelewe kuna uwezekano wa vifo katika mafunzo ya yoyote ya Jeshi. Nadhani jeshi nalo linajua hawa vijana ni weak ndo maana wamewalegezea.

My take: hii sheria ilishangiliwa na wabunge wote wa upinzani na ccm. Kawaambie waifute; ikiendelea kuwepo kubali vijana wakanolewe
 
hayo maneno yako yakurudie mwenyew na familia yako.
Kwan kuna mtu aliyeteuliwa kuwa huyu ndio wa kuifia nchi na asiye wakuifia nchi.
Mngewahi kusonga mbele vitan siku moja au mngeona vita nadhan msingekuwa mnalaumu kiasi hcho.
Ujue vifo hutokea popote hata hapo ulipokaa kifo kinaweza kukutokea sasa kwann mlaumu Jkt kuwa wanauwa watoto wenu?
Uchungu anaoupata huyu aliyefiwa na mtoto ni sawa na aliyefiwa na mme wake baba yake au ndg yake akiwa vitan .
Ww hapo ulipo unakula unalala unafanya biashara zako na unakusanya pesa ila hujui kuwa usalama ulionao wa kufanya yote hayo umeletwa na watu ambao nao ni watoto wa watu.
Acha ujinga ww . Kifo jeshini ni matokeo ya mafunzo.
Ukamanda haupatkan kwa kuchezea kompyuta na kullaumu utumbo kama wako ukamanda lazma umwage jasho na damu pamoja na machozi.

kwani hiyo we unahisi maneno uliyoyatamka uko sahihi nakwambia wewe ujarbu kuona uchungu wa kifo mitoto yako yote ife jtu lina roho mbaya hao wanajeshi si ndo kazi yao na kila mtu anafanya kazi yake hao wanafunzi wanalazimishwa yani we km ndo mwanajeshi kwani ulifuatwa na karandinga ukajiunge?mwwnaume una roho mbaya kama umeokotwa vile nawaonea huruma wazazi wako hasa mama maana angejua anazaa gaidi angekubana ufe.
 
Jeshi lina taratibu zake; vifo ni vingi katika training za jeshi we frahi kulala usingiz mzito kwako; wenzio wanalaza pumbu kwenye mabaka wanakulina. Hawa JKT hasa F6 no vimazoez vya mwl tu wanapewa maana ni mananga. We unataka vifo kambini vitangazwe kama vya barabarani.??? Atakayefika mwisho wa program ndo atakuwa ameiva.

uko sahihi kabisa yaan kuna watu ni hasara kabisa kwa taifa hili siku vita ikianza watu kama hawa ni kuwakamata na kuwasongesha mbele ili wasaidie tumuone adui.
Watu wazma wamekalia kulialia tu. Halafu watu kama hawa ukiwakuta kijiwen ndio wa kwanza kusema ohoo! Kagame akiichokoza Tanzania tutampiga vbaya, sijui nani wa kumpiga sasa kama watu wenyew ndio makunguru hivi.
Hawa jamaa siku kikinuka wanawaza hata kukimbia kuwaacha mke na watoto ndio wapambane
 
tulia ww mtoto wa kike acha kulalamika wakat wanaume wapo kazn. Ww lala tu na wanawake wenzio nyumban wanaume wanawalinda mnaleta malingalinga hapa

Siyo kosa lako bali ni kosa la mama yako na dada yako waliozowea kulala wakilindwa na wanaume walio kazini na ndiyo maana ukazaliwa huko walikolala na mpaka leo uko huko. Komaa hivyohivyo huenda na wewe ukazalishwa na wanaume wanaokulinda kama alivyozalishwa mama yako na dada yako pia. Teh teh teh.
 
kwani hiyo we unahisi maneno uliyoyatamka uko sahihi nakwambia wewe ujarbu kuona uchungu wa kifo mitoto yako yote ife jtu lina roho mbaya hao wanajeshi si ndo kazi yao na kila mtu anafanya kazi yake hao wanafunzi wanalazimishwa yani we km ndo mwanajeshi kwani ulifuatwa na karandinga ukajiunge?mwwnaume una roho mbaya kama umeokotwa vile nawaonea huruma wazazi wako hasa mama maana angejua anazaa gaidi angekubana ufe.

sikiliza ww mtoto wa kike:
jeshi ni chombo pekee chenye mafunzo ya kipekee, tofautisha kabisa na kaz kama dr,ualimu, au uhasibu.
Ndio maana unatakiwa ufungue moyo kabla hujaanza mafunzo.
Mazingira ya kivita ni wakat wa mvu, usku na maeneo kama milima,msitumnene, n.k. Sasa mwanafunzi yoyote anayeingia jeshin lazma apewe mafunzo ya kukabiliana na mazingira hayo.
Usione raha kuwaona watoto wa wanawake wenzenu wakifanya vitu kwenye sherehe ya kitaifa wale wamemwagika jasho na damu ndio maana wakata ile kombat. Na kuna wengne wameishia kuwa vilema na wengne wamekufa kabisa lakn hujaskia wenye watoto wakichonga midomo kama ww na wenzako.
Inamaana hao sio watoto wa watu?
Nyie ni wajinga kabisa. Yaan mnalalamika mtoto mmoja kufia mafunzon inamaana hakuna watoto wanaokufa majumban? Hapo mnamlaumu nani?
Kwahyo ww unataka kunifanya niamin kuwa kifo cha huyu mtoto wenu kina maumivu sana kuliko ndg zangu na jamaa zangu nilioona damu zao mpaka wanakufa wakiitete hii nchi?
Nataman sana ningekuona live halafu nikufanye kitu ambacho dunia nzima ingeshangaa.
 
Siyo kosa lako bali ni kosa la mama yako na dada yako waliozowea kulala wakilindwa na wanaume walio kazini na ndiyo maana ukazaliwa huko walikolala na mpaka leo uko huko. Komaa hivyohivyo huenda na wewe ukazalishwa na wanaume wanaokulinda kama alivyozalishwa mama yako na dada yako pia. Teh teh teh.

aise! Hapa huongei na mama wala dada ila unaongea na mm.
Hakuna mwanaume aliyemwoga kama ww mwanaume mzma umekalia kulia tu.
Ipo siku utawavulia nguo wanaume wakufanye watakacho.
Nimekuhisi ww lazma sio rizik ww
 
Dogo mbona unatapatapa? Unafikiri wewe kutokua riziki basi kila mtu si riziki? Endelea kuwavulia nguo hao ipo siku utajuta. Mlaumu mamayo kwa kutokukuzuia hizo tabia chafu.
 
Back
Top Bottom