JKT wakanusha kutokea vifo katika mafunzo

JKT wakanusha kutokea vifo katika mafunzo

Mkuu hebu nisaidie kushangaa..Wenyewe wamekubali halafu kuna watu humu wanatumia nguvu nyiiingi kukanusha

Mkuu mimi nilizowea kuona ukosefu wa chain of command kwa taasisi za kisiasa kama vile bunge la jmt, wizara ya elimu, wizara ya nishati na madini, nk nk lakini sasa nimestaajabu kuona hata jeshi linakosa chain of command na kutumia gang plunk method pasipofaa. Mathalani Luten kanali ambaye ni msemaji wa jeshi kakubali kifo kimetokea lakini hapohapo kuna ka lance corporal sijui ka private humu jf kamekomaa kama jiwe eti oo hakuna kifo, kweli tutaliaminije jeshi huko tuendako? Majonzi makubwa, apumzike kwa amani dada yetu mpendwa Honoratha Oiso, aameen.
 
daaah, watu waliowengi wanaishutumu jkt, kwa maoni yangu naona ni jambo jema, sema ni kwel kuna baadhi ya vitendo vya unyanyasaji ikiwemo matendo ya ngono, sasa basi ni vyema hatua njema zichukuliwe ili matendo hayo yakome na si kusema lifutwe, vifo mafunzon vinaweza kusababishwa na udhaifu wa mtu primary kasoma st.Marys secondary Alpha...akamalizia na st joseph, kaishi maisha yakizembe alafu all over sudden anakutana na week tatu za mwanzo zenye mazoez mazito bila hata kulala, frustuation or wateva yaweza kumuua....binafsi nipo frm six mwaka huu na ni letter H dude....naomba Mungu anisaidie mwakan kama nitaenda basi nirud salama nikiwa nimejifunza Mengi****
 
asikutishe mtu jkt haipo kama unavyosikia maneno ya watu walio humu wamejengwa na iman za woga na kuogofya wengne pamoja na kuwakatisha tamaa watu wengne.
Mm nmepitia jkt, suala la vifo hilo lisikupe shida hakuna kitu kama hicho. Kifo kinaweza kutokea kama ambavyo hutokea huku uraian kwa bahat mbaya.
Tena hawa hawakeshi.
Jambo la msingi ni kumtia moyo mdogo wako asiwe mlegevu wala asiwe kimbelembele sana.
Kawaida ya jkt huwa wanachukuliwa vipimo wote wale wenye matatizo ya kiafya huwa hawapewi kazi ngumu na mazoez magumu.
Watoto wa siku hizi walio wengi ni mayai hvyo akipewa mazoez mfululizo lazma waanze kulalama.

Who told you? wewe unaongelea mambo ya miaka ya 1980 mkuu. Hizi ni faraja tu za uongo
 
Acha kunizushia mkuu, mimi ni mkufunzi wa mtaani kwetu, ila wanaotoa story zisizo na miguu ndo tatizo. Nimeshaupata ukweli. Tatizo la hii jamii inawaona wanajeshi km nchi nyingine, afu wakisikia nafasi ndo hao hao wanapita huku n huku wakitoa hongo ili watoto wao wapate ajira.

Honoratha Woiso frm Rombo ndo alifariki Oljoro Camp.Ulikua unaulizia jina so hilo hapo...kingine??
 
Nimeangalia kwny pdf ya jkt 19 May 2014 awamu ya kwanza sijaona jina la honoratus uiso. Majina yote yapo kwny www.jkt.go.tz na hakuna jina hilo. Tujaribu kupost vitu halisi maana wengine tuna watoto huko.

Kwa hiyo hata huyo msemaji wa JKT afande Komba naye kataja jina la mtu asiyekuwepo? Soma vizuri taarifa yake anamtaja Honorata Uiso kama askari aliyekufa!!!
 
Kwa hiyo hata huyo msemaji wa JKT afande Komba naye kataja jina la mtu asiyekuwepo? Soma vizuri taarifa yake anamtaja Honorata Uiso kama askari aliyekufa!!!

Mnahangaika na ki lance corporal hakijajua hata sheria na taratibu za jeshi zikoje, kiache na imani yake ya kiuaji iko siku nacho kitakufa kama wengine wanavyokufa.
 
Who told you? wewe unaongelea mambo ya miaka ya 1980 mkuu. Hizi ni faraja tu za uongo

yaan ww ndio huelewi lolote ila mnaongelea kishabiki tu paspo kujua lolote.
Kwa taarifa yako mafunzo ya kijeshi yameboreshwa kwa %kubwa sana.
Kuna mambo mengi sana yamepunguzwa. Zaman ilikuwa ni kukesha mwanzo mwisho sasa hvi hao watoto wenu wanalala.
Lakn watu wazma mmekazania kulialia tu. Mnaona raha kuongelea tu kuwa jeshi la Tanzania ni imara ila hamjui uimara huo unatokanaje! Achen uzushi wa vijiweni
 
Baadhi ya Vijana wetu ni waoga mno na maneno mengi! Kuna mkakati wa kuichafua JKT kwa sababu za kitoto na uwoga wa wahusika.

Vijana waoga kama hawa unawakuta ktk mitandao ooh tutampiga Kagame,ooh jeshi letu noma...! Jeshj litakua imara kwa vijana mnao shindwa hata mchaka mchaka jeshini na kuaguka kama kuku wa mdondo ama kideri?!
Ukitaka kujua vijana hawa walivyo waoga waambie Jeshi letu liende Somalia. Uharo mtupu!

Tanzania ilikua imara kwasababu vijana wa wakati huo tulikua jasiri. Ndio maana hatuku ogopa kupambana hata na Makaburu wa SA na Rhodesia. Leo mnaweza?
 
Kuna siku nilishasema hii ya JKT ni kupoteza muda kwa wanafunzi.

Nina mdogo wangu amekoswakoswa awamu ya kwanza, sasa natia fitna hata hyo awamu ya pili asiende.

Upumbavu tu huu
 
Huu ni moja ya uongo na kuwaweka watu roho juu. Na kama kuna mwanafunzi mgonjwa yupo kambi yyt tofauti na ruvu basi ni uzembe na upuuzi. Mtandao wa JKT umewaelekeza wanafunzi wote wagonjwa kwenda Ruvu JKT, ww unatudanganya. Tupe jina la mtoto wako hapa. Nimemtafuta mkuu wa Oljoro, anaitwa Myalla na hakuna kitu km hicho.

samahan mkuu naona akili yako kama immekula kinyesi fulani eti unasema ninasema maneno ya uzushi..ili iweje??yanisaidie nin?? nalipwa hapa?? msemaji wa jeshi keshakiri kutokea kwa kifo na jina umetajiwa sasa unataka nin? hebu kaa pembeni usiniharibie swaumu yangu ...wenye akili washajua kuwa unatetea ujinga may be utakuwa na mume kule kambini na ndio mtesaji wa watoto....get off my site idiot
 
Baadhi ya Vijana wetu ni waoga mno na maneno mengi! Kuna mkakati wa kuichafua JKT kwa sababu za kitoto na uwoga wa wahusika.

Vijana waoga kama hawa unawakuta ktk mitandao ooh tutampiga Kagame,ooh jeshi letu noma...! Jeshj litakua imara kwa vijana mnao shindwa hata mchaka mchaka jeshini na kuaguka kama kuku wa mdondo ama kideri?!
Ukitaka kujua vijana hawa walivyo waoga waambie Jeshi letu liende Somalia. Uharo mtupu!

Tanzania ilikua imara kwasababu vijana wa wakati huo tulikua jasiri. Ndio maana hatuku ogopa kupambana hata na Makaburu wa SA na Rhodesia. Leo mnaweza?

kweli kabisa mkuu yaan kuna mijitu ianamambo ya ajabu kweli.
Hata watu wazma wamekomalia kulialia tu kama watoto wao.
Hiv tanzania itakuwa imara kwa ukunguru kama huu?
Ndio maana hata ndoa zetu znayumba wanaume wazma hawajiamin kaz kulia tu
 
Mkuu wangu hawa vijana lazima watambue ukienda kujiunga ktk mafunzo ya JKT moja ya lengo muhimu ni ukakamavu na nidhamu. Hakuna milegezo huko ama kubembelezwa kama walivyo zoea kuishi kwa wazazi/walezi wao.
 
kama hawana ukakamavu na nidhamu ndio mnawatesa?
 
imeshasemwa anaitwa honoratus .....na ni kweli wenye majina ya herufi H wengi wao wamepelekwa huko arusha oljoro kwa kuwa hata huyu ndugu yangu aliyeko huko kambini jina lake linaanza na herufi H(naomba nisilitaje nisije kumsababishia matatizo huko kambini)
hapo nafkiri unaweza kuunganisha picha na kujua taarifa hii ina ukweli kiasi gani
kimsingi jeshi linadanganya wananchi yapasa liombe radhi watz....huko jkt ruvu watoto wanawekwa uwanjani usiku hadi saa nane za usiku tena wasichana kwa wavulana wakiwa wamechanganywa...naskia ni ufuska tu ndo unaofanyika hapo.....wazaz msiposimama kidete kuikemea serikali ilitazame upya hili suala tarajieni watoto warudi na magonjwa ya zinaa,ulemavu au maiti

Mtumeeeeeee! Mdogo wangu wa kike yupo ruvu
 
Back
Top Bottom