kama hawana ukakamavu na nidhamu ndio mnawatesa?
Unata kuishi umejilegeza? Mentality ya aina hii utatea vijana wa kiume kuolewa na wanaume wenzao! Push up kidogo,mchaka mchaka na parade laini hamwezi alafu mnajiita vijana?! Ni haki kabisa hata wake zenu wakichepuka kwasababu hamna nguvu!