sikiliza ww mtoto wa kike:
jeshi ni chombo pekee chenye mafunzo ya kipekee, tofautisha kabisa na kaz kama dr,ualimu, au uhasibu.
Ndio maana unatakiwa ufungue moyo kabla hujaanza mafunzo.
Mazingira ya kivita ni wakat wa mvu, usku na maeneo kama milima,msitumnene, n.k. Sasa mwanafunzi yoyote anayeingia jeshin lazma apewe mafunzo ya kukabiliana na mazingira hayo.
Usione raha kuwaona watoto wa wanawake wenzenu wakifanya vitu kwenye sherehe ya kitaifa wale wamemwagika jasho na damu ndio maana wakata ile kombat. Na kuna wengne wameishia kuwa vilema na wengne wamekufa kabisa lakn hujaskia wenye watoto wakichonga midomo kama ww na wenzako.
Inamaana hao sio watoto wa watu?
Nyie ni wajinga kabisa. Yaan mnalalamika mtoto mmoja kufia mafunzon inamaana hakuna watoto wanaokufa majumban? Hapo mnamlaumu nani?
Kwahyo ww unataka kunifanya niamin kuwa kifo cha huyu mtoto wenu kina maumivu sana kuliko ndg zangu na jamaa zangu nilioona damu zao mpaka wanakufa wakiitete hii nchi?
Nataman sana ningekuona live halafu nikufanye kitu ambacho dunia nzima ingeshangaa.