JK na Shahada za heshima

Naomba anayejua zaidi maana ya kukata utepe atueleze. Ninavyofahamu mimi kukata utepe huwa ni ishara ya uzinduzi rasmi, sanasana wa majengo. Na kawaida huwa unafanyika kwa kutokea nje, kama vile wahusika ndo wanaingia humo jengoni kwa mara ya kwanza (they are only symbols that carry their meaning anyways). Sasa hawa wanaokata utepe kuelekea nje wanataka kutupa ishara gani?

You ar th Great Thinker 4 ril
 
Hapi ni bora liende tuu.
 
Yule aliye kulia mwa Mzee wa Mikasi mbona km kalazimishwa kushika utepe au mnamwonaje?
 
Naomba anayejua zaidi maana ya kukata utepe atueleze. Ninavyofahamu mimi kukata utepe huwa ni ishara ya uzinduzi rasmi, sanasana wa majengo. Na kawaida huwa unafanyika kwa kutokea nje, kama vile wahusika ndo wanaingia humo jengoni kwa mara ya kwanza (they are only symbols that carry their meaning anyways). Sasa hawa wanaokata utepe kuelekea nje wanataka kutupa ishara gani?
hii lina maana the opposite is true... si unajua wataalam hawaachi kumdanganya msanii!
 
pumba tupu yani chuoo kizima pale wapumbavu nyie watu wawili hum ndoo wajuzi ama kweli waathirika wa 31 kazi kwelkweli:teeth::teeth::teeth:
 
Naomba anayejua zaidi maana ya kukata utepe atueleze. Ninavyofahamu mimi kukata utepe huwa ni ishara ya uzinduzi rasmi, sanasana wa majengo. Na kawaida huwa unafanyika kwa kutokea nje, kama vile wahusika ndo wanaingia humo jengoni kwa mara ya kwanza (they are only symbols that carry their meaning anyways). Sasa hawa wanaokata utepe kuelekea nje wanataka kutupa ishara gani?

Motive inapokuwa ni kujipendekeza zaidi ndio hivyo inabidi mkate utepe kutokea ndani kuelekea nje. Halfu bila kufanya hivyo unadhani wange uza sura vipi?
 
Nafikiri wakati umefika aitwe professor ili akate kiu kabisa. Idd Amin alifikia level ya juu kabisa ya Prof. Field Marshal Idd

To be read by the Chancellor of UDOM

I hereby confer upon you (JK) the degree honoris causa in full recognition of how you rigged the elections in your own favour and thus in favour of all relatives and friends in the most corrupt government system. In the future, the UDOM looks forward to your favoratism and if that is done you will be upgraded to the proffesorial level. Congratulation Dr? Jakaya Mrisho Kikwete!
hii itakua ya ajabu zaidi
 
mkuu shahada ya heshima inatolewa na chuo ambacho kimeshatoa shahada kama hiyo hiyo academically na siyo honorary ...... UDOM wameshatoa shahada ya udaktari wa falsafa before??????????????????
Hata mimi nimeshangaa sana hilio, mahafali ya kwanza wameshaanza kumpatia JK udaktari? Hiyo kasi.....
 
sababu ya JK kupewa hiyo PHD ni MCHANGO WAKE MKUBWA KATIKA SEKTA YA ELIMU
Mchango wake katika secta ya Elimu kwa kuidi-dimiza zaidi. Sasa hivi kuanzia shule za Misingi mpaka Chuo kikuuu Elimu imeshuka, iko chini ya Viwango. Unafiki na Uongo utaliangamiza hili Taifa.
 
Waungwana,

UDOM hata haijaruhusiwa kuanza kutoa masters, iweje itoe Ph.D ingawa ni ya heshima? hapa utaratibu umekiukwa, kwani hawa hawana uwezo wa kutoa hizo doctorate, tunakwenda wapi hata maadili tusifate, jamani?
 
mkuu shahada ya heshima inatolewa na chuo ambacho kimeshatoa shahada kama hiyo hiyo academically na siyo honorary ...... Udom wameshatoa shahada ya udaktari wa falsafa before??????????????????

acha kutudanganya mkuu, kwa hiyo wewe ndio unajua sana kuliko ma professor wote waliopo pale? Hiyo sheria umeitoa wapi? Nukuu tafadhali....
 
Ina maana vyuo vya bongo ambavyo havijampa Mkwere hiyo kitu havitapewa kipaumbele na sirikali yake??:redfaces:
 
waungwana,

udom hata haijaruhusiwa kuanza kutoa masters, iweje itoe ph.d ingawa ni ya heshima? Hapa utaratibu umekiukwa, kwani hawa hawana uwezo wa kutoa hizo doctorate, tunakwenda wapi hata maadili tusifate, jamani?

haijaruhusiwa kutoa masters???

kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza, ni vyema ukafanya utafiti kabla hujapost kitu.
 
Back
Top Bottom