andrewk
JF-Expert Member
- Apr 13, 2010
- 3,102
- 491
Vyuo viko kibao siku hizi. By 2015 atakuwa kishapewa za OUT, SUA, USDM, SAUT, Tumaini, MZUMBE, Ushirika............!!!!!! Hivyo apange ratiba yake vizuri tu anaweza akaweka record ya kuwa na degree nyingi za heshima!!!
Alisema akitoka mtamkumbuka.... nadhani sas niamnza pata maana, yawezekana atakuwa na Phd. 25, Rais wa kwanza Duniani