Genekai
R I P
- Feb 9, 2010
- 12,517
- 4,987
Nadhani,
sasa vyombo vya habari, especially ITV, TBC1 an StarTV watakuwa wanamwita
Dokta. Dokta. Jakaya Mrisho Kikwete!
Mbona walianza zamani tangu St Thomas?
Nadhani,
sasa vyombo vya habari, especially ITV, TBC1 an StarTV watakuwa wanamwita
Dokta. Dokta. Jakaya Mrisho Kikwete!
Mbona walianza zamani tangu St Thomas?
Hayati RM Kawawa, nadhani alisahaulika sana lakini ni mmoja wa wazalendo wenye kustahiki heshima hiyo, kwa maoni yangu mimi.
SOURCE TBC, wanarusha live JK amepewa PHD ya HESHIMA na UDOM
Chuo ndio kinafanya mahafali yake ya kwanza ya kozi za undergraduate halafu wanatoa PHD honours mweh kuwa uyaone ujinga wote tumeachiwa sisi watanzania. Kwahiyo kikwete ni graduate wa kwanza hapo University of CCM Dodoma?
Halafu kumbukumbu zangu Mkapa naye alitunukiwa hii kitu na Chuo KIkuu Huria na vyombo vya habari vikashadadia kweli hiyo initial lakini sasa naona kama wameisahau tena
"Chuo Kikuu Cha Dodoma leo kimewatunuku Shahada ya Heshima ya
Udaktari (Doctor Honoris Causa) Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa kwa kutambua michango yao mbalimbali katika Nyanja za siasa na sekta za elimu nchini ikiwemo kuasisi ujenzi wa Chuo hicho. Pichani ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa, akimtunuku shahada ya Heshima ya Udaktari Rais Dr.Jakaya Kikwete wakati wa mahafali ya kwanza ya Chuo hicho iliyofanyika katika ukumbi wa Chimwaga mjini Dodoma leo. Katikati ni Makamu mkuu wa Chuo Profesa Idriss Kikula"
Interesting.
UDOM hawajawahi kutoa shahada ya PhD. Kwa hiyo JK ni "mwanafunzi" wa kwanza kuipata hiyo shahada. Yaani chuo kinatoa PhD ya kwanza si kwa aliyeisomea bali kwa anayepewa ya heshima? Well, ni maamuzi yao..LAKINI kwangu mimi nadhani wangesubiri mpaka wakapata mwanafunzi anayegraduate kwa PhD level ndo wakampa na Kikwete. After all wanaharaka ya nini? duh..wasomi wetu bwana..no wonder..wanatupeleka wanakotupeleka... Kwa sasa sijui hii ita-reflect vipi kwa chuo ambacho hakijawahi "kuzalisha" shahada ya PhD kinazalisha ya kwanza kwa kuitoa bure.
Talk of UDOM kuipiku Mlimani. Kwa mwendo huu? I doubt!
SOURCE TBC, wanarusha live JK amepewa PHD ya HESHIMA na UDOM