Kudadeki
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 859
- 52
I can smell a rat.....aidha "chema chajiuza, kibaya chajitembeza"
Isije ikawa mapua yenu ndiyo yameoza na yananuka na ndiyo maana mnaona vitu vingine visivyonuka navyo vinanuka!
I can smell a rat.....aidha "chema chajiuza, kibaya chajitembeza"
"....is conferred as a way of honoring a distinguished visitor's contributions to a specific field, or to society in general.... it is a matter of personal preference should an honorary doctor use the formal title of "doctor", regardless of the background circumstances for the award..........In practice, such degrees tend to be popularly considered not to be of the same standing as substantive degrees, except perhaps where the recipient has demonstrated an appropriate level of academic scholarship that would ordinarily qualify them for the award of a substantive degree.... Some universities and colleges have been accused of granting honorary degrees in exchange for large donations..Pamoja na kukitumia 'lugha ya ******', kama ulivyolelewa, bado hujajibu swali lakini nashukuru watu walioenda shule angalau wamezima kiu yangu. Ukweli ni kuwa kumwita mtu dokta (wa heshima) kwa kasi, ari na nguvu zaidi kuliko dokta wa kweli (academic) kuna sababu kuu mbili. Moja ni ulimbukeni na pili ni propaganda ya kuwaghiribu wananchi wasiojua tofauti ya udokta wa heshima na udokta wa darasani/taaluma.
Ukipata nafasi fika UDOM nawe upewe udokta wa lugha chafu. Wenye vichwa vinavyohitaji marekebisho/ukarabati, kama wewe watakuita Dr. kudadeki ili nawe ukenue meno na kufurahi kama chizi aliyeona jalala.
Kwa sababu anataka ajiweke on the same level na Dr. Slaa, but Slaa hakupewa udaktari, he earned it academically; na kwa sababu Slaa ni kiboko cha JK, kwa hiyo yeye pamoja na wapambe wake wanatumia hiyo mbinu ya kumwita dokta, maana hataki aonekane yuko chini ya popular Doc wa Watanzania wazalwndo
Alimaliza degree ya economics akaenda kufanya kazi za katibu mwenezi wa chama hamuoni utata hapo?
Ninachoomba kuuliza ndugu zangu ni je, kwa nini udaktari wa heshima wa JK umevuma kiasi hicho????? Au udaktari wa heshima una ranking yake kwa maana kwamba aliopewa JK ulikuwa mzito au wa juu zaidi?? Au ni mojawapo ya mbinu za kisiasa za kumpropagate kiongozi???? Tafadhali wajuzi wa mambo mnifahamishe.
Unaweza ukakitaja hicho chuo unachodai kuwa hakiko accredited badala ya kubwabwaja kama kasuku aliyetafuna pilipili hoho?
Utakuja ugawe naniii... kwa ajili ya kutumikia madokta wa heshima. Shauri yako mtoto wa kiume!!!
Ulishawahi kusikia Nyerere akijiita Dr au Mkapa???
halafu hawa walipewa kutokana na kazi nzuri waliofanyia nchi hii na watu wake.
JK amefanya nini hadi apewe uDkt??? <<<<<tafakari kisha jijibu>>>>
hana akili ndo maana ...yaani mwenye akili timamu asingeweza kufanya hiyo kitu aisee
Sifa za kijinga za kikwete wenzake wanajulikana kwa performance yeye analzimisha sifa za kijinga, mwalimu nyerere hakutaka sifa hizi za kijinga alitaka akumbukwe kwa results na leadership yake. Sasa mamuluki wengi walishagundua kikwete anapenda sifa za kijinga akiitwa dakitari anaona amemaliza kila kitu kama anataka udakitari akasomeee aache sifa za ovyo tunataka rais asifiwe kwa hoja zao.