Huyu mama cheo chake kilikuwa kukubwa mno UN .Nashangaa UN wameshindwa kumpa Kazi Kama Envoy wa nchi fulani au msulihisho Huko Syria ,mali.Kuna kitu alifanya wrong labda kwa sababu uki retire UN kazima wakupe kazi nzuri mno .mwakawago alikuwa balozi na kazi alipewa .kutoka uwaziri mpaka unaibu wa ukatibu UN mpaka kuwa mkuu wa chuo that is weird.ubunge alipoteza?au
OUT? Mbona wamemdhalilisha hvo mama wa watu? Huyu anastahili apewe chuo chenye hadhi ya kimataifa kv UDISM, Muhimbili,UDOM, TUMAini, SAUTI etc.
kabla yake ni nani alikuwa mkuu wa chuo? yaani amemrithi nani?
sawa huyu ni doctor,je profesa tolly mbwete atakuwa kama nani......mkuu wa chuo awe dokta afu msaidizi awe profesa?kweli tz vilaza kibao:target:

wapare wanasema ''hela wakenja''Mtamtetea sana huyu mama lakini mwisho wa siku its such a pity kwa mtu kutoka uwaziri tena wa mambo ya nje, halafu kuwa naibu katibu mkuu wa UN, only kuja kuporomoka later ba kufikia kuwa mshauri wa siasa za masuala ya nje wa chama. Ni kutokana na aibu hii ambayo ipo equally shared na mteule wake wa 2005 ndio maana wanahangaika kumrejeshea heshima ya kuteuliwa (sio kuchaguliwa) na muda sio mrefu ataukwaa uwaziri, akianzia na ubunge wa kuteuliwa.
Kina Peter Kisumo, Cleopa Msuya ambao ni wapare wenzake wanaendelea kumpigania, kwahiyo inatafutwa tu fursa nzuri ikiwa ni pamoja na kuchokonoa mawaziri kadhaa ili justification ya mabadiliko ya mawaziri ije. Vinginevyo mabadiliko yaliyopita yalipangwa kusubiria arudi kwanza lakini Kabwe Zitto akawa mboga chungu kwa serikali bungeni...
Pole sana mama, inawezekana una uwezo kwenye taaluma, lakini kiuongozi, unakabiliwa na tatizo la kubebwa na mbeleko.
wapare wanasema ''hela wakenja''
yaani umemaliza, teh teh teh
Mtamtetea sana huyu mama lakini mwisho wa siku its such a pity kwa mtu kutoka uwaziri tena wa mambo ya nje, halafu kuwa naibu katibu mkuu wa UN, only kuja kuporomoka later ba kufikia kuwa mshauri wa siasa za masuala ya nje wa chama. Ni kutokana na aibu hii ambayo ipo equally shared na mteule wake wa 2005 ndio maana wanahangaika kumrejeshea heshima ya kuteuliwa (sio kuchaguliwa) na muda sio mrefu ataukwaa uwaziri, akianzia na ubunge wa kuteuliwa.