TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,104
Kutoka naibu katibu kuu wa umoja wa mataifa hadi kwenda ukuu wa chuo?,
mbaya zaid unateuliwa na madokta uchwara?
Hatari sana hii..
Inaonyesha bibi kapumbazwa atakuwa mgombea urais 2015 kwa tiketi ya maccm