JK amteua Dr Migiro kuwa Mkuu wa OUT

JK amteua Dr Migiro kuwa Mkuu wa OUT

kwanini wasimpatie chuo chenye hadhi ya kimataifa? OUT? mi nahisi kama wanamzalilisha cos hii chuo ni ya wale waso na sifa za kujiunga na vyuo kv udsm, mzumbe, udom etc au wale wachache wasioamini vichwa vyao sawasawa! OUT alitakiwa apewe WASIRA, NCHEMBA au NAPE.

Hapo kwenye red kifungu kimeafikiwa
 
Anawapotezeeni lengo nyie vilaza msahau kuwa anamuandaa kuwa mrithi wake; anajua wadanganyika huwa wanasahau mambo upesi kama walivyokwisahau jinsi wakina Ngeleja na Maige walivyoliibia Taifa na sasa wanakula taratibu bila wasiwasi!!

Hivi hawa kweli siku hizi wako wapi wezi wakubwa
 
Kabla yake Mkuu wa Chuo hicho alikuwa nani na ameenda wapi. Taarifa haijitoshelezi.
 
kwanini wasimpatie chuo chenye hadhi ya kimataifa? OUT? mi nahisi kama wanamzalilisha cos hii chuo ni ya wale waso na sifa za kujiunga na vyuo kv udsm, mzumbe, udom etc au wale wachache wasioamini vichwa vyao sawasawa! OUT alitakiwa apewe WASIRA, NCHEMBA au NAPE.
''haya ni mawazo mgando''
OUT wanasoma watu wasio na Sifa???????? Watu wanaumiza vichwa kwa kupiga Book mwenda we unawazarau!!!!! We utabaki na labda tu...........
 
To me this is reasonable.

Hapa unaweza kulinda hadhi na heshima yako iwapo utaacha kujichanganya kisiasa. Sikuaamini macho yangu nilipokuona umedandia treni kuelekea Kigoma ukiambatana na kundi lenye utata ambalo hakika limechangia watu kuanza kujiuliza wewe ni mtu wa namna gani, msomi wa namna gani, mzalendo au mama wa namna gani ambaye huchukii ufisadi ambao unachangia sana idadi ya vifo vya watoto na akina mama.
 
kwanini wasimpatie chuo chenye hadhi ya kimataifa? OUT? mi nahisi kama wanamzalilisha cos hii chuo ni ya wale waso na sifa za kujiunga na vyuo kv udsm, mzumbe, udom etc au wale wachache wasioamini vichwa vyao sawasawa! OUT alitakiwa apewe WASIRA, NCHEMBA au NAPE.

Umekariri ndugu kwani hapo OUT mtu akiwa ana principle1 anasoma degree?au vgezo vya kusoma ni vlevle vya vyuo vngne?
 
OUT? Mbona wamemdhalilisha hvo mama wa watu? Huyu anastahili apewe chuo chenye hadhi ya kimataifa kv UDISM, Muhimbili,UDOM, TUMAini, SAUTI etc.

Hii OUT hadhi yao akina WASIRA, NCHEMBA na NAPE au CHENGE. Pole sana mama yangu najua huwezi kataa hiki kikombe maana hcho ni kipimo chako cha ukomavu japo najua unaugulia maumivu kwa ndani kimya kimya ukijitahidi kuyavumilia haya ili system iendelee kukufikiria siku za kesho na mtondogoo.

Wenu katika uwazi wa Taifa
 
Naona Mzee Malecela wamemuweka benchi

Ingawa baba LE MUTUZ@ N.Y. alijitahidi kupendekeza kuwa Rais asipunguziwe madaraka, hata hivyo mkweree amemchinjia baharini kwani bado anakumbukumbu ya zile picha za mtandaoni!! Jamaa kwa visasi ndio mwenyewe.
 
kwanini wasimpatie chuo chenye hadhi ya kimataifa? OUT? mi nahisi kama wanamzalilisha cos hii chuo ni ya wale waso na sifa za kujiunga na vyuo kv udsm, mzumbe, udom etc au wale wachache wasioamini vichwa vyao sawasawa! OUT alitakiwa apewe WASIRA, NCHEMBA au NAPE.

sijui unamaanisha nini hasa lakini out ni chuo kikubwa kitaaluma! Ina maana mzee malechela kapigwa stop?
 
Umekariri ndugu kwani hapo OUT mtu akiwa ana principle1 anasoma degree?au vgezo vya kusoma ni vlevle vya vyuo vngne?

'No research, no right to say' Acha kukurupuka wewe! Hata ukitaka kudandia gari ukiwa mjinga utadandia kwa mbele tu.
 
Jaman wadau wa jf,mm kama mm naona kaonewa sn,aldiserve kpewa chuo chenye hadhi.lkn hlo ni changa la macho,kaen chonjo wakuu.
 
Wangeweka CV yake ya kishule pale UDSM kuliko vyeo kibao vya CCM,
 
Huu ni mkakati maalumu. Anakuwa mkuu wa chuo kama kishikizo tu, something big is on the way!

Mnakumbuka baada ya Salim Ahmed kukosa ukatibu mkuu wa UN, Nyerere alimwita nyumbani na kumpa kazi mbali mbali.
Baada ya hapo bang! OAU.
 
sijui ni mporomoko au mahangaiko

Huyu mama cheo chake kilikuwa kukubwa mno UN .Nashangaa UN wameshindwa kumpa Kazi Kama Envoy wa nchi fulani au msulihisho Huko Syria ,mali.Kuna kitu alifanya wrong labda kwa sababu uki retire UN kazima wakupe kazi nzuri mno .mwakawago alikuwa balozi na kazi alipewa .kutoka uwaziri mpaka unaibu wa ukatibu UN mpaka kuwa mkuu wa chuo that is weird.ubunge alipoteza?au
 
Back
Top Bottom