VS
Rose Asha Migiro na Halima Mdee nani zaidi
Rose Migiro Kafunikwa na Halima Mdee
Nilikuwa sijafahamu asili yao kumbe nilipoleta uzi huu nilikuwa nawapambanisha mtu na mdogo wake.
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
[TABLE="width: 655"]
[TR]
[TD]Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com
press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425[/TD]
[TD][/TD]
[TD]PRESIDENT'S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Dkt. Asha Rose Migiro kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
Taarifa iliyotolewa Dare Es Salaam na kutiwa saini leo, Jumatano, Januari 30, 2013 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue imesema kuwa uteuzi huo ulianza Alhamisi ya Januari 17, mwaka huu wa 2013.
Mheshimiwa Asha Rose Migiro ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Katibu wa NEC wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Aidha, Dkt. Migiro amepata kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
IKULU
DAR ES SALAAM
30 Januari, 2013
Not necessarily prof ana elimu kuliko Dr na inawezekana Dr akawa amesoma kuliko prof....kuwa Dr lazima uwe na PHd lakini prof is NOT!
sawa huyu ni doctor,je profesa tolly mbwete atakuwa kama nani......mkuu wa chuo awe dokta afu msaidizi awe profesa?kweli tz vilaza kibao:target:
Naomba kujua dini ya Dr Migiro
Naomba kujua dini ya Dr Migiro
ikulu bana;anuani kidhungu,maelezo kiswahili
wahuni wengi pale
Not necessarily prof ana elimu kuliko Dr na inawezekana Dr akawa amesoma kuliko prof....kuwa Dr lazima uwe na PHd lakini prof is NOT!
sawa huyu ni doctor,je profesa tolly mbwete atakuwa kama nani......mkuu wa chuo awe dokta afu msaidizi awe profesa?kweli tz vilaza kibao:target:
Asante sana kaka. Nimegundua kitu kimoja. Humu ndani kumbe kuna members wenye uelewa mdogo sana. Lakini memba hao hao wana kimberembere cha kuchangia mada wasizoelewa. It is very sad.Aliyetoka Malecela naye ni profesa?
Mkapa ni mkuu wa chuo cha Udom naye ni profesa?
Vp unamjua mkuu wa UDSM?
Unauhakika na unachokisema?