He is going to have a very bad legend, he is a very bad head of the state never seen since Tanzania was born.The success he mentioned was done or planned and financed by the government lead by Mr. MKAPA.
Mnyonge mngeni lakini haki yake mpeni, miaka ya nyuma wala sio nyuma sana, kwenda sekondari ilikuwa ni ndoto achilia vyuoni, lakini sasa angalau watu wana fika nakupata elimu, barabara hakuna ubishi, japo wanasema ni zimejengwa na mikopo ya wahisani mie silijari hilo, wanasema elimu ni kiwango cha chini, lakini ni bora kuliko kuikosa,kama tatizo ni ajira vyuoni sasa wanafundisha ujasiriamali, unaweza kuanza na biashara ndogo lakini ukazalisha ajira yawengine hata kama ni m1 au wawili, yapo makosa yamefanyika lakini tushukuru kwa hayo mazuri, wapo viongozi walioingia kwa democrasia lakini wakang'ang'ania madaraka, tumshukuru jk kwa mazuri aliyotufanyia, na yale mabaya yawe changamoto kwa kiongozi ajaye, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,
Mnyonge mngeni lakini haki
yake mpeni, miaka ya nyuma wala sio nyuma sana, kwenda sekondari ilikuwa
ni ndoto achilia vyuoni, lakini sasa angalau watu wana fika nakupata
elimu, barabara hakuna ubishi, japo wanasema ni zimejengwa na mikopo ya
wahisani mie silijari hilo, wanasema elimu ni kiwango cha chini, lakini
ni bora kuliko kuikosa,kama tatizo ni ajira vyuoni sasa wanafundisha
ujasiriamali, unaweza kuanza na biashara ndogo lakini ukazalisha ajira
yawengine hata kama ni m1 au wawili, yapo makosa yamefanyika lakini
tushukuru kwa hayo mazuri, wapo viongozi walioingia kwa democrasia
lakini wakang'ang'ania madaraka, tumshukuru jk kwa mazuri aliyotufanyia,
na yale mabaya yawe changamoto kwa kiongozi ajaye, mnyonge mnyongeni
lakini haki yake mpeni,
Hamaanishi kuwa hajui, maana yake ni kuwa "haoni sababu ya msingi unayoweza ukamweleza mtu mwenye akili timamu kwa nini Tanzania ni maskini, na akakuelewa. Hata mimi mwenyewe sijui kwa nini sisi ni maskini. Kama wewe unajua, the meaning behind ni kwamba unajua sababu ambazo ni za msingi ambazo zinatufanya sisi tuendelee kuwa maskini, na kama sababu za msingi zipo, maana yake ni kwamba tunastahili kuwa maskini, na hatutakiwi kulaumiwa na mtu yeyote au kujilaumu sisi wenyewe. Nikupe mfano mdogo, uko na uwezo mzuri nyumbani kwako kimaisha halafu majambazi wakaja nyumbani kwako wakapora kila kitu na kukuacha maskini, baada ya hapo utakuwa una sababu ya msingi kabisa asilimia 100 ya kumweleza mtu kwa nini wewe ni maskini. Lakini kama ulikuwa na maisha mazuri ukaja ukaishiwa sababu ya ulevi wa pombe, je ukishakuwa maskini kwa staili hii, utakuwa na sababu yeyote kweli ya msingi ya kumweleza mtu kwa nini wewe ni maskini na akakueleewa? Unless ni chizi.
Nchi yetu Tanzania ni maskini kwa sababu ambazo hata mimi sizielewi na haitatokea siku nikaja nikazielewa, au labda pengine wewe unayezielewa utueleze ni zipi?
What is wrong if he managed to implement successfull what was planned by Mkapa regime,suppose if he shelved what was planned by Mkapa?
Washauri wake ndio wanaoharibu mchakato sio Jk
Washauri wake ndio wanaoharibu mchakato sio Jk
Acha ujinga. Nchi haiendeshwi kama familia. Kila kitu kilshapangwa tangu enzi mkoloni. Kinachofanyika kwa sasa ni utekelezaji kulingana na hali halisi iliyopo sasa.