JK afunguka kuhusu kustaafu kwake

JK afunguka kuhusu kustaafu kwake

Pia amesema haya nanukuu, 'kwamba habari za kuchochea majeshi kufanya mapinduzi, habari za kuchochea vijana kuleta vurugu hatazivumilia, na kwamba chombo cha habari kitakachojielekeza kwenye habari za namna hiyo kitafungiwa.

“Wakiandika Rais Kikwete nchi imemshinda hainipi tabu, kwa kuwa najua nchi haijanishinda,” alisema Rais Kikwete huku akitoa mfano wa namna redio Mille Collines ya Rwanda ilivyochangia mauaji ya halaiki nchini humo.
hapo ni message delivered kwa media zenye malengo ya kuvuruga mambo.watakula ban kuja kufunguliwa 2017.
 
Washauri wake ndio wanaoharibu mchakato sio Jk

Wakati yeye yuko wapi? Hana akili ya kuchanganua? Anangojea nini ku exercise power yake? Hapana siyo washauri ni yeye!
 
He is going to have a very bad legend, he is a very bad head of the state never seen since Tanzania was born.The success he mentioned was done or planned and financed by the government lead by Mr. MKAPA.
kwani Mkapa hakufanya ya Mwinyi???
 
Tatizo la JK ni kuongea mambo ambayo hajui yanavyoweza kuleta madhara chanya au hasi. Kila siku anawashauri watu kuchanganya na zao lakini yeye mwenyewe kashindwa....

Ila mwisho wa siku tutakubaliana kwamba hapo alipoishia ndipo Kigoma yake (mwisho wa reli). Kila kitu kina elasticity limit...bahati mbaya vitu vingine vina/watu wengine wana eneo dogo sana la kujidia. JK is one of those!
 
Ili kukomesha ubishi hapa ni vizuri tuziweke barabara zilizotengenezwa na Kikwete na Mkapa na off course twende mbele zaidi, kitu gani pipya kilichowekwa na Kikwete ambacho hakikuwepo enzi za Mkapa, master plan iwe ni ya Kikwete tu, mwenye ushahidi uwekwe hapa badala ya kuongea kijumla jumla!

...chuo kikuu cha Dodoma, uhuru wa watu kutoa mawazo yao na kwa ujumla Democrasia imekua sana ktk utawala wake . ..... Wananchi wamekua na nafasi kubwa ya kuwabana viongozi .mf . Angalia baraza la mawaziri limevunjwa mara kadhaa kufuatia malalamiko ya wananchi...
 
Mheshimiwa Rais wa JMT akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari mwandamizi kutoka Nation media group aliulizwa swali je anategemewa utawala wake kukumbukwa kwa yapi ,Jk alijibu kama ifuatavyo:
"The Tanzanians will decide but I consider ky term of office as a time of scalling up.We have scaled up on roads,on construction,on education,on health,and many other things. It is Tanzanian to judge but my biggest satisfaction is that we have done a tremendous job in the road infrastructure,expansion of primary and secondary education.

We had only 40000 students in universitu,now we have 180000,which is phenomena,we had 525,000 secondary school now we have 1.9 million.The important thing I want Tanzanians to appreciate is that I have made conttibution.I found them.somewhere and I leave them somewhere better than they were before when I took office".

Well then, lets decide and judge:

"We have scaled up on roads,on construction,on education,on health,and many other things"

1."We have scaled up on roads"- Kutoka kwenye barabara chache imara (maana mpaka leo zipo) kwenda kwenye barabara nyingi mpaka mitaani lakini mbovu zimedumu miezi 4! Quite a scalling up. Don't you think?

2.
"We have scaled up on Construction"- Sure! Kipindi cha Wengine kulikuwa na majengo machache. Sasa tuna maghorofa mpaka yanatishia usalama wa Ikulu na wao wako ok. Tunajua kuuza viwanja! Zamani mabonde ya maji yaliheshimiwa. Sasa tunauza mpaka mapitio ya maji, Wananchi wanakoma na mafuriko tu. Tunajenga tu bila kuangalia air circulation. Na tuko kisasa zaidi tunajenga leo kesho yanaanguka, wahandisi wanapeta tu mitaani.Pole yao wanokufa! What a scalling up!


3.
"We have scaled up on education"-Indeed!We had only 40000 students in universitu,now we have 180000,which is phenomena. And we went further to making sure they take care of their place to live.We made sure the loans are not sufficient, we developed racism to them by giving loans depending on courses taken as if those remaining are not Tanzanians and had sinned against us for choosing what they chose to study! By the way it is very helpful because we also made sure the ones getting a loan at 100% are those capable already like our kids. The poor just get what is coming to them! Always suffer!. Scaling up!

We had 525,000 secondary school now we have 1.9 million. Which helps producing Wahitimu ambao hata majina yao kuandika hawawezi! We actually gave them to choose ,whether they get to write a history of joining secondary or not at all! So what the hell if there are not books or laboratories? Our kids are not even supposed to look at the schools we build them, leave alone studying there! I am telling you we scaled up!

4.
"We have scaled up on Health"- Now we are capable of performing brain operation when you needed knee surgical performance! Our hospitals are overpopulated, no enough beds, while we keep increasing our salaries and allowances. Even the parliament doesn't care we the majority are that greedy. by the way who said our families will have to test that? We go to India just to check heart beats! Let the doctors and nurses be corrupted!See we tried it and succeeded!

....and many other things"


Ni hivi.....I hate to say this, but Sijawahi kuona kiongozi wa ovyo kama huyu! Thats my decision!
 
Exactly my point! Hakika ameonyesha uvumilivu mkubwa kwa uhuru wa habari. Hata anapodhalilishwa - anajikausha kama hajasikia wala hafahamu kitu. Wengine wanasema ni kwa sababu ya 'ignorance' yake au kujisahau, lakini nasema kwa uhakika, yule si 'ignorance' anapotukanwa au kudhalilishwa! Namfahamu ni mtu wa visasi. Hivyo ukimya wake kwa vyombo vya habari lazima tumpe 'big up' hata kama hatukubaliani naye kwa mengi. Mkapa hakuwa na uvumilivu wa aina hii kwa uhuru wa habari. Nakumbuka haki elimu walipokuwa wanachokonoa madudu katika wizara ya elimu wakati wa Mkapa, taasisi ile ilifungwa na Mkapa akaapa haitaonekana tena katika uso wa taifa hili. Lakini mara tu Kikwete alipoingia ofisini aliwaruhusu kuendelea na kaza 'ya kukosoa' serikali! Hata katika mjadala wa katiba Kikwete alijiweka kando kiasi wana CCM wakaanza kupiga kelele kwamba anataka kusaliti msimamo wa Chama na misingi iliyoachwa na waasisi kwa kutoonesha upande anaosimamia. Ni dakika za mwisho za mjadala ndipo wahafidhina wa CCM walipofaulu kumburuza asimamie msimamo wa Chama katika mjadala mzima wa Muungano na wa katiba mpya. Vinginevyo alitaka kuachia uhuru wa majadiliano mpaka ukweli utokane na uzito wa hoja. Kwa ufupi, pamoja na mapungufu yake, tuwe wakweli, katika uhuru wa habari, hakuna rahisi aliyemtangulia anaye mfikia. Sijui ajae, lakini bila ubishi tutamkumbuka kwa hili, 'unless' akengeuke katika dakika za majerui!
 
Eeeh labda kwa miundo mbini! Lakini baba la miundo mbinu ni Mkapa! Hakuna mwingine, huyu ndo alitukuta choka mbaya na akatufikisha mahali. Siyo huyu anayetuachia deni la matrilion ya shilingi. ZOMBIE AT WORK!!

Tren ya mwakyembe.
daraja la kigamboni.
mabasi yaendayo kasi.
kasi ya utumaji na upokeaji fedha kwa mitandao ya simu( enzi zile ukitaka kutuma fedha uende posta lakin sasa hata ucku mambo poa).
Intanet kwenye simu. tunasoma magazeti mapema hata ukiwa kijijini
Umeme vijijini
Mabasi yaendayo kasi.
Fastjet mara 4 kwa siku. dar/ mbeya unagusa tu.
Tumemchapa m23 katulia. ngara kigoma tulii.
 
...chuo kikuu cha Dodoma, uhuru wa watu kutoa mawazo yao na kwa ujumla Democrasia imekua sana ktk utawala wake . ..... Wananchi wamekua na nafasi kubwa ya kuwabana viongozi .mf . Angalia baraza la mawaziri limevunjwa mara kadhaa kufuatia malalamiko ya wananchi...
waböngo wanashukrani kwani?.

Mbongo ukitaka akusifu umpelekeshe,mtawale kimabavu etc,yaani atakusifu daima milele.
Ndo maana nasubiri kwahamu sana post 2015, kwani najua rais ajae atakua copycat ya mkapa ama nyerere.
 
Kikwete's legacy after he retires will be the fragmentation of what was a homogenous nation by using religion as the yardstick in making senior government appointments!! Vasco Dagama ndio baba wa udini Tanzania; godfather wa wakina Ponda.

Atakumbukwa pia kama mtu aliyegeuza URAIS kama mali ya familia yake na pia patron wa majangili na wauza madawa ya kulevya.

Unavyoongea hivi ni another credit kwa JK maana unaongea bila wasi kwakuwa unajua unaye rais anayejali na kulinda uhuru wako wa kuzungumza.
 
Ndio hivyo. Ishamkata hiyo.

Huyu Mk.we.re, akiwa ulaya anakotembeza bakuri anawaminisha kuwa anaheshimu mapendekezo ya wananchi. Akiwa Tz anashupazia shingo yake kwenye Siri-kali Mbili.
 
Kama hakutaja kuhusu kufanikisha KATIBA mpya, basi tusahau kitu hicho katika mchakato huu wa katiba unaoendelea hivisasa.
 
mkapa mjasiliamari mkubwa aliuza kila kitu,mpaka NBC, baba wa taifa akajaribu kuzuia lakini wapi.

Mkapa bonge la mtafutaji.

Usinikubushe juu ya huyo jamaa angendelea na Urais mpaka leo hii baada ya kukosa cha kuuza angeuza hata wake zetu na alivyokuwa dictator hakuna mtu ambaye ngempinga!
 
He forgot the freedom of speech that he brought us even though it might be unknowingly but we're extremely appreciate it Mr hb....
kama uhuru wa kuongea upo kulikuwa na haja gani ya kumteka Kibanda, kwa hapa tulipofika watu tungeongea tu hata kama tungetishwa
 
Washauri wake ndio wanaoharibu mchakato sio Jk

na yeye kawaacha waharibu kwa manufaa ya nan? huyu jamaa dhaifu sana ka hawezi kutofautisha qualititative na quantitative kweny mambo za maendeleo ka znaenda pamoja.....hatari Sanaaa!!!
 
JK deserves our salute! Kuchukua nchi kutoka kwa FISADI papa MKAPA alieingia mikataba ya madini yetu yote tena kwa zaidi ya miaka 25, aliejigawia vitalu vya gesi, aliegawa vitalu vya uwindaji, aliebinafsisha mashirika yote ya umma kama Bandari Container terminal tena baada ya kuingia mkopo mkubwa WB, ATCL, TBL, SARUJI et al huku nchi ikipewa kamsamaha wa madeni kwa siku chache za utawala wake (bubble) ilikuwa si kazi ndogo !!! JK ni mtu mwenye uwezo wa kuvumilia na kuwavumilia wajinga wajinga pengine kuliko kiumbe chochote ktk nchi yetu kwa sasa ... Mr President you real really deserves much more respect kwa watu wako...
 
Kutoa Huduma za kijamii(elimu, afya miundombinu) ndio kazi ya Serikali hio haina mjadala sababu tunalipa kodi. Tunataka atueleze kuhusu wakulima, wafugaji, viwanda, ajira na mengine kama hayo kafanya nini?
 
Back
Top Bottom