JK afunguka kuhusu kustaafu kwake

JK afunguka kuhusu kustaafu kwake

Yale Makanisa yaliyochomwa bila watuhumiwa kufikishwa mahakamini, yale mabomu yaliyolipuliwa kwa maelekezo ya wakuu bila watuhumiwa kupatikana, zile kura zilizoibiwa, chaguzi feki. Mimi nitakukumbuka daima.......!
 
Yale Makanisa yaliyochomwa bila watuhumiwa kufikishwa mahakamini, yale mabomu yaliyolipuliwa kwa maelekezo ya wakuu bila watuhumiwa kupatikana, zile kura zilizoibiwa, chaguzi feki. Mimi nitakukumbuka daima.......!

makanisa na mabomu ni chadema wanahusika
 
Kikwete is a professional of failures.. Mtake msitake hakuna master plan iliyoanzishwa na kikwete ikafaulu,mf:kuvua mafisadi magamba, kilimo kwanza, kupambana na ujangili, kupambana na wauza unga, uchumi kumnufaisha m/ nchi wa kawaida, elimu kushuka ubora kila mwaka, kwa uchache wake ni hayo.
 
JK deserves our salute! Kuchukua nchi kutoka kwa FISADI papa MKAPA alieingia mikataba ya madini yetu yote tena kwa zaidi ya miaka 25, aliejigawia vitalu vya gesi, aliegawa vitalu vya uwindaji, aliebinafsisha mashirika yote ya umma kama Bandari Container terminal tena baada ya kuingia mkopo mkubwa WB, ATCL, TBL, SARUJI et al huku nchi ikipewa kamsamaha wa madeni kwa siku chache za utawala wake (bubble) ilikuwa si kazi ndogo !!! JK ni mtu mwenye uwezo wa kuvumilia na kuwavumilia wajinga wajinga pengine kuliko kiumbe chochote ktk nchi yetu kwa sasa ... Mr President you real really deserves much more respect kwa watu wako...

Kikwete anaingia mara elfu mia kwa Mkapa... ------ kaachiwa nchi mahali pazur huku fuko la hazina limesheheni mahela yeye kazimaliza zote na madeni juu.
 
What is wrong if he managed to implement successfull what was planned by Mkapa regime,suppose if he shelved what was planned by Mkapa?

Mkapa Regime was eager to develop the so called Mtwara corridor, including completing the 60km road stretch( Nyamwage area), but its more than 8 years the stretch remain uncompleted. On the other hand Mtwara Corridor has been abondoned, no one is talking this during this regime! Thanks to God by bringing to Southerners with plenty natural GAS, at least the regime had nothing to do rather than to develop the Gas Infrastructures! I am trying to think if Southerners could not have Gas reserves, it could worse than ever!
 
Aisee umezirudisha hasira zangu kwa huyu sokwe mtu wa magogoni..yaani kaua Mtwara corridor isitoshe kaja ku2piga na k2ua baada ya kudai unufaikaji wa gas yetu..daah
 
He is going to have a very bad legend, he is a very bad head of the state never seen since Tanzania was born.The success he mentioned was done or planned and financed by the government lead by Mr. MKAPA.

Wewe Mse.nge una lako jambo hakuna kiongozi aliyeleta maendeleo kama. JK huyo Mkapa unakumbukwa kwa kuuza Mashirika ya umma nyumba za serikali au kwa sababu ni Mkiristo mwenzio Pambavu usifikiri watu hawaelewi
 
Wewe Mse.nge una lako jambo hakuna kiongozi aliyeleta maendeleo kama. JK huyo Mkapa unakumbukwa kwa kuuza Mashirika ya umma nyumba za serikali au kwa sababu ni Mkiristo mwenzio Pambavu usifikiri watu hawaelewi

UDINI WAKO HAUTAKUFIKISHA POPOTE. Jinga sana!
 
mdau sababu za tz kuwa maskini zipo nyingi sana,zipo za nje na za ndani,ntakupa mimi kama utazihitaji,

Sababu ipo wazi sana - uongozi mbaya ndiyo chanzo cha umaskini wa Tanzania. Kama ambavyo siku moja nilisikiliza wananchi wa Botswana wakihojiwa na mtangazaji wa BBC juu ya sababu za wao kuwa na maendeleo mazuri, wengi walijibu kuwa kwa kiasi kikubwa nchi yao haina rasilimali nyingi ila walichobahatika toka mwanzo ni kupata uongozi mzuri wenye dhamira na mtazamo sahihi.


Nilivyokuwa mdogo nasoma shule ya msingi kuna siku nilichelewa shule. Mwalimu wa zamu akaniita na kuniambia nimweleze sababu ya msingi iliyonifanya nichelewe shuke halafu atanisamehe, nikamwambia kuwa nilipitiwa usingizi (which was very true), halafu ndiyo akaniambia kuwa hiyo siyo sababu ya msingi, na akanichapa sana. Je, huyu mwalimu alinionea au alifanya makosa, au mimi ndiyo nilikuwa ma makosa ya kutokuwa na sababu ya msingi?
 
JK jamani unaondoka tutakukumbuka kwa mengi mazuri lakini hili la laana ya kutengana. Udini ulioletwa na ccm wakati wa kampaini litatutesa sana.
 
He is very charismatic, hutaki unaacha uumie moyoni ila ukweli ndio huo.
 
Kikwete anaingia mara elfu mia kwa Mkapa... ------ kaachiwa nchi mahali pazur huku fuko la hazina limesheheni mahela yeye kazimaliza zote na madeni juu.

Give me a break! MKapa aliicha nchi hii Pazuri?Yaani baada ya kumilikisha Tanzanite zetu, Dhahabu zetu, Uranium, Nickel, Gesi, Kiwira kwa wageni tena kwa zaidi ya miaka 25 ndo unasema ameicha nchi hii pazuri? Mkapa ameidhoofisha TANESCO ili baadae Exxon Mobil via Symbion Power waje waichukue kwa bei ile ile walioichukulia NBC halafu wewe unatuambia kuwa Mkapa ameacha hazina za kwenye makaratasi zilizotengenezwa na IMF na WB? Mkuu usidanganyike maana hata yeye Mwenye anajutia kwa mabaya aliyotufanyia Watanzania! Rejea kauli yake pale M/city kuwa Wazungu walimdanganya akabinafsisha kila kitu akitarajia wangeleta mitaji na technolojia ambayo mpaka sasa hakuna kilichoingia zaidi ya kushuhudia capital flight kunakotekelezwa na MNCs kama Barrick Gold, Symbion, Songas, Resolute et al... Trillions zilizoko uswis na Jessy Island zinamhusu Mkapa na washirika wake! Kwanini fedha nyingi kiasi hicho zisingetumika hapa bongo kuzalisha ajira? Juzi kati ameuza hisa za kampuni yake ya Gesi na ametengeneza zaidi ya Trillion mbili! TRA wanatakiwa wachukue kodi lakini kiuhalisia fedha zote hizo zingetakiiwa zirejeshwe serikalini maana alipiga deal hilo akiwa bado IKULU ... Itoshe kusema MKAPA ni baba wa UFISADI Tanzania... wao kuacha figure hewa pale hazina ilikuwa nisehemu ya mbinu chafu za WB na IMF kumlinda EHM wao ...
 
Haya mambo hayana tofauti na ule wimbo wa kila siku wa "tumeboresha maisha"
Ukioji hayo maisha yaliyoboreshwa yako wapi... wanakujibu kwa hasira "unataka tukuwekee ela mifukoni"...
 
Ni vyema pia akatuambia kuhusu VALUE FOR MONEY KWENYE HIYO MIRADI, na madeni aliyosababisha yasiyo na uhalisia
 
Back
Top Bottom