JK afunguka kuhusu kustaafu kwake

JK afunguka kuhusu kustaafu kwake

kwa kukuonyesha tu upo mweupe, ni kuwa barabara za taifa na za mikoa zinazosimamiwa na TANROADS zina jumla ya urefu wa KM 84, 000. mkuu unaonekana hujui chochote. ni vizuri ukauliza. mfano barabara ya arusha minjingu ilijengwa kipindi cha mkapa, sasa hivi imebomolewa yote na inajengwa, uliza waliowahi kupita huko siku za hivi karibuni au barabara ya kutokea korogwe kwenda moshi. na nimiradi michache ambayo ilikuwa kwenye transition kama wa dom-manyoni lakini angalia hata sehemu kubwa ya hiyo miradi imejengwa kipindi kipi. najua unaednelea kunijibu ili uendelee kupata shule. ni jambo zuri na unaonekana ni mwanafunzi mzuri. endelea,
Kwa kweli kubishana na mataahira ya CCM ni kazi kweli ndo maana yametuharibia hata mchakato wa Katiba mpya! Wewe zumbukuku hebu sikiliza, kwa ujumla TANROADS wanasimamia barabara zenye urefu wa kama kilomita 33,800 hivi, kati ya hizo Trunk roads ni kama kilomita pungufu kidogo ya 13,000 zinazobaki ni barabara zilizoko chini ya mikoa (wanaita regional roads). Kati ya hizo trunk roads ni kilomita 5,000 na mamia kidogo tu ndo ziko paved, zingine zinazobaki ni unpaved (yaani kati ya 7,000km). Sasa unaposema Kikwete atatuachia 11,000km zinatoka wapi? Basi tuseme barabara zote kubwa zitakuwa zimewekewa lami, kitu ambacho siyo rahisi kama unavyofikiria na ki-degree chako uchwara cha Newman College!! Jiridhishe mwenyewe kwenye hizo attachments nilizokuwekea ili uone hizo 11,000km zinapatikana au la? Jumlisha miradi yote iliyokamilika na inayoendelea pamoja na ile ambayo iko kwenye pipeline. Pia na zile kilomita zilizokuwa zimeanza kujengwa wakati wa Mkapa tumempa huyo ndugu yako ili angalau aonekane amejenga nyingi basi!!
 
..this is a president who will leave this country as divided as ever before....with no legacy of his own at all...even mzee Mwinyi was far better than JK....This country will live to remember JK as an engineer for impunity and nepotism in TZ.....These are things he will be remembered for.....I pity him......
Haa ha.... watanzania hawajajifunza sana namna ya kupima vitu....Kinachotokea Tz sasa hivi kinatokea duniani kote..even countries with no fuctioning govern see massive construction projects .....JK has to prove that he has manged to go further that countries with no functioning government and natural resources like ours ...otherwise hata tusingekuwa na rais nchi ingejengwa tena kuliko sasa hivi..JK kasimamisha miradi mingi sana ..ktk sehumu nyingi TZ..
 
Tatizo ni kuwa viongozi wetu hupima legacy yao kwa vitu vidogo sana ambavyo vinaweza kufutika mara moja. Iwapo Ukijenga barabara za lane mbili mbili nchi nzima ukaona kuwa ndiyo legacy yako, halafu akaja rais mwingine akavunja hizo na kujenga barabara za lane tano tano nchi nzima, unakuwa huna legacy tena.

Legacy huwa siyo materialistic bali ni philosophical. Tutawaacha watu wa history watuanbdikie history miaka kama hamsini ijayo kwa sababu katika kipindi cha miaka 10 au ishirini ijayo kutakuwa na spinning nyingi sana.

Binafsi nadhani kuwa legacy ambayo Kikwete angeacha siyo barabara wala majumba bali huenda iwapo angesema filosofi ya utawala wake ni kuwapa mamlaka zaidi wa wananchi, na kuweka katiba inayofanya hivyo. Unfortunately ni kipindi hiki hiki ambacho tumeshuhudia utaalamu wa vyombo vya utawala katika kung'oa watu makucha na meno kwa kutumia bisibisi, kwa hiyo hilo linakuwa na mushkeli kidogo. Hata hivyo iwapo angehakikisha kuwa Katiba mpya ni ile ambayo haina mkono wa kisiasa bali inawalenga wananchi wa kawaida, huenda ingekuwa ni legacy kubwa sana katika historia ya nchi hii. Kwa sasa hivi inakuwa ni vigumu kuonyesha legacy yoyote hasa tunapoangalia jinsi swala la katiba mpya linavyoenda.

Legacy huwa siyo tu kuendeleza aliloanzisha mwenzako bali ni kuweka jingine la maana zaidi. Legacy rahisi zaidi inayoambatana na aliyoacha mwenzako huwa ni kufuta lile aliloacha mwenzako. Ufutwaji wa Azimio la Arusha ni mojawapo ya Legacy kubwa sana za Mwinyi ambapo linapokuja swala la rushwa huwa anasema kuwa hakufuta azimio la arusha bali ....

Legacy hii ya Mwinyi inatokana na ile filosofi yake ya kuamni kuwa kiongozi wa nchi anaweza kufanya biashara yoyote kama raia wa kawaida, na hivyo kuondoa ile miiko ya uongozi iliyokuwa ndani ya Azimio la Arusha japo halikuwa na nguvu ya kisheria. Matokeo ya filosofi hiyo ndiyo maana leo viongozi wa Tanzania ni matajiri wa kutupwa (na vijisenti) hata kama maisha yao yote yamekuwa ni utumishi wa umma tu. Legacy yote ya rushwa Tanzania huwa inamuangukia Mzee Mwinyi kwa kosa dogo sana la kifilisofia alilofanya na wenzake kule Zanzibar wakati ule wa 1987.

Legacy ya Mkapa haiko popote kwenye madaraja, barabara au viwanja vya mpira; legacy yake kubwa itakuwa ni ile filosofia ya kuheshimu mwekezaji wa nje tu. Utawala wa Mkapa utakumbukwa sana kuwa kila alipojitokeza mwekezaji wa nje basi ilikuwa ni kama vile ndani ya Tanzania hamna mtu mwingine anayeweza kufanya jambo hilo hata kama ni la kawaida kabisa. Mabenki, Tanesco na mashirika mengine mengi ambayo hayakuwa na hasara kibiashara yaliuzwa kinyemela wakati wa Mkapa kutokana na filiosfia hiyo.

Mpaka sasa Legacy kubwa ya Kikwete huenda ikawa ni ya Mr.Do.Nothing!. Hadi miaka kumi ya utawala wa Kikwete iliyokuwa na kauli mbiu ya kasi mpya na nguvu mpya inakaribia kuisha itakuwa imeacha jamii ikiwa haina nguvu kabisa tena; ni afadhali kabla ya Kikwete. Wakati jamii ilikuwa inaanza kukata tamaa na utawala wa Mkapa, Kikwete aliwapa matumani lakini alipofika madarakani akaacha kila kitu kama vile hakukuwa na tatizo na hivyo wananchi wengi kujikuta hawana matumaini tena.

Angefanya nini, kweli msijui kwani ningekuwa ninajua labda nami ningegombea urais wa nchi. Ninachojua ni kuwa Urais ni jukumu lenye power kubwa sana na linakuja na responsibilities nyingi pamoja na priveleges nyingi. Miaka ya hivi karibuni urais wa Tanzania umekuwa unaangalia power na privileges zake lakini haungalii responsibilities zake kabisa- Ikulu siyo mahali patakatifu tena. Leo hii akitokea mtu aka-audit utajiri wa familia ya Kikwete, pamoja na mshahara mkubwa wa urais anaopata ambao ulipangwa na Mkapa, atajikuta na maswali mengi sana am,bayo hatapata majibu yake.
 
What about the quality of this so called education and health? Quality is what counts not quantity!!!!!
 
What is wrong if he managed to implement successfull what was planned by Mkapa regime,suppose if he shelved what was planned by Mkapa?

Nothing wrong, but he should not go abroad and claim credit for he. he should have said it here in Tanzania and journalists would have told him, did you plan it or was a plan of third phase government.
 
kwa hiki ulichoandika tupo pamoja kabisa kwa 100%. labda tu nikuambie hata hizo barabara zilizojengwa kipindi cha mkapa kulikuwa na rushwa za kutosha tu. kama wewe ni mtu wa umri wangu basi utakuwa unakumbuka ishu ya nalaila kiula kipindi akiwa waziri wa ujenzi. katibu wake alifungwa miaka 3 kwa rushwa kwenye barabara ya Dar-Arusha. kiukweli ni kwamba ccm inatakiwa itoke madarakani. yaani hata mtu anayeipigia kura ccm kweli kama anajielewa basi atakuwa na kitu ambacho hakiko sawa, japokuwa kwa upande mwengine na shindwa kumlaumu kwa 100% kwa sababu hata hao wapinzani ni njaa tu, hamna lolote. Binafsi sina maendeleo yoyote maana asilimia kubwa ya kipato changu wanachukua ndugu zangu ambao umasikini na ujinga wao umesababishwa kwa asilimia kubwa na ccm. kwa kifupi tuna safari ndefu sana huko tuendako kama hatutajitambua wajibu wetu.

Ni kweli Mkapa alijitahidi kuinua uchumi. Ni kweli pia kipindi chake rushwa ilikuwa habari ya mjini. hata Ufisadi wa EPA na MEREMETA, rada na mengine yalikuwa kipindi chake. Lakini ni tangu lini CCM waliwahi kuwa waadilifu? Binafsi sikumbuki.

Huwa nalala nikitamani tuamke kesho asubuhi, tukute chama kingine. kwamba CCM ilikuwa ndoto tu ya usiku. Nadhani Tanzanian have suffered enough
 
kwa kukuonyesha tu upo mweupe, ni kuwa barabara za taifa na za mikoa zinazosimamiwa na TANROADS zina jumla ya urefu wa KM 84, 000. mkuu unaonekana hujui chochote. ni vizuri ukauliza. mfano barabara ya arusha minjingu ilijengwa kipindi cha mkapa, sasa hivi imebomolewa yote na inajengwa, uliza waliowahi kupita huko siku za hivi karibuni au barabara ya kutokea korogwe kwenda moshi. na nimiradi michache ambayo ilikuwa kwenye transition kama wa dom-manyoni lakini angalia hata sehemu kubwa ya hiyo miradi imejengwa kipindi kipi. najua unaednelea kunijibu ili uendelee kupata shule. ni jambo zuri na unaonekana ni mwanafunzi mzuri. endelea,

Shida yako wewe mbwiga hujui kutofautisha, kwa ufinyu wa uelewa wako unafikri Barabara zote nchi nzima ziko chini ya TANROADS! UVCCM bwana! Eti 84,000!!! Kwa taarifa yako minjingu - Arusha imejengwa wakati wa Mwinyi, usipotoshe! Jaribu kuuliza hata kwa yule jirani yako anayekugongea mkeo!
 
Alitakiwa aseme pia kuwa moja ya mafanikio ni kufaulisha watoto wasiojua kusoma wala kuandika wasiopungua 5200 kwa mwaka mmoja tu!
 
He is the worst president ever in our country's history.I bet nothing to be remembered about him because all what he has done was supposed to according to his presidency,as any stupid figure could. I spit mad on his face for causing irregular trend in the government and kingship system he is trying hardly to leave behind...(msonyo wa hasira).
 
Southerners mighty have gas but mojority of them do not have basic secondary education ,I wonder how would they be absorbed in the labour market

It doesn't matter! The matter here is as the area is fully in operations, the southerners could be benefited in one way or another! I will give you 2 examples:-

1. Dar es Salaam. This is Zaramo Region at large, their education status by then is somewhat low, but due to interaction with various tribes, no wonder Zaramo guys have won various opportunities, directly and indirectly!

2. Dodoma; Speaking to Dodoma town for example, I was there 2006,2008! It was normal town! Before the mega projects which include UDOM, Central Bank Branch, Treasury Building and most NHC projects, Private High Learning Institutions, Dodoma now is better than or somewhat equal to Mji Kasoro Bahari. Business, Interactions between people has pushed Dodoma to high standard!

So, in arguing your point, the lack of education will depend on the surrounding society, interactions between different tribes and culture can change the mindset!
 
Shida yako wewe mbwiga hujui kutofautisha, kwa ufinyu wa uelewa wako unafikri Barabara zote nchi nzima ziko chini ya TANROADS! UVCCM bwana! Eti 84,000!!! Kwa taarifa yako minjingu - Arusha imejengwa wakati wa Mwinyi, usipotoshe! Jaribu kuuliza hata kwa yule jirani yako anayekugongea mkeo!
nimekuambia mtandao wa barabara za national na regional ni km84,000. sasa tangu lini bavicha akajua mambo ya maana zaidi ya umsukule na matusi?
 
Worst president ever. Miaka kumi ya nux na majanga kwa sababu ya laana.
 
Back
Top Bottom