JK afunguka kuhusu kustaafu kwake

JK afunguka kuhusu kustaafu kwake

He is going to have a very bad legend, he is a very bad head of the state never seen since Tanzania was born.The success he mentioned was done or planned and financed by the government lead by Mr. MKAPA.

Never for get inflation and unable to alleviate poverty to the millions of Tanzanian
 
Sina uhakika sana kama alipngea kweli maana sijaona hiyo clip ila kama keeli alisema inaonekana hata yy mwenyewe sasa anakubali kuwa katiba mpya imeshindikana na haitapatikana katika kipindi chake!Maana aliwahi kusema kuwa anataka watanzania wamkumbuke kwa katiba mpya sasa kama haitaji tena itakuwa amekata tamaa na anajuta hata kuanzisha hiki kitu maana inaweza ikawa maafa kwa watanzania!!!!!
 
Mnyonge mngeni lakini haki yake mpeni, miaka ya nyuma wala sio nyuma sana, kwenda sekondari ilikuwa ni ndoto achilia vyuoni, lakini sasa angalau watu wana fika nakupata elimu, barabara hakuna ubishi, japo wanasema ni zimejengwa na mikopo ya wahisani mie silijari hilo, wanasema elimu ni kiwango cha chini, lakini ni bora kuliko kuikosa,kama tatizo ni ajira vyuoni sasa wanafundisha ujasiriamali, unaweza kuanza na biashara ndogo lakini ukazalisha ajira yawengine hata kama ni m1 au wawili, yapo makosa yamefanyika lakini tushukuru kwa hayo mazuri, wapo viongozi walioingia kwa democrasia lakini wakang'ang'ania madaraka, tumshukuru jk kwa mazuri aliyotufanyia, na yale mabaya yawe changamoto kwa kiongozi ajaye, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,

Akili kichwani mwako some time ujasiria mali ni kauli ya waloshindwa kutekeleza majukumu Yao juu ya wanyonge
 
Mnyonge mngeni lakini haki
yake mpeni, miaka ya nyuma wala sio nyuma sana, kwenda sekondari ilikuwa
ni ndoto achilia vyuoni, lakini sasa angalau watu wana fika nakupata
elimu, barabara hakuna ubishi, japo wanasema ni zimejengwa na mikopo ya
wahisani mie silijari hilo, wanasema elimu ni kiwango cha chini, lakini
ni bora kuliko kuikosa,kama tatizo ni ajira vyuoni sasa wanafundisha
ujasiriamali, unaweza kuanza na biashara ndogo lakini ukazalisha ajira
yawengine hata kama ni m1 au wawili, yapo makosa yamefanyika lakini
tushukuru kwa hayo mazuri, wapo viongozi walioingia kwa democrasia
lakini wakang'ang'ania madaraka, tumshukuru jk kwa mazuri aliyotufanyia,
na yale mabaya yawe changamoto kwa kiongozi ajaye, mnyonge mnyongeni
lakini haki yake mpeni,

we JE UMEJIULIZA ANAYEENDA SEKONDARI ANA SIFA GANI NI HIYO YA KUTOJUA KUSOMA NA KUANDIKA NI HAO WANAOENDA CHUO KIKUU WABABAISHAJI JIHOJI KABLA YA KUANDIKA MAMBO YAKO YA AJABU
 
Hamaanishi kuwa hajui, maana yake ni kuwa "haoni sababu ya msingi unayoweza ukamweleza mtu mwenye akili timamu kwa nini Tanzania ni maskini, na akakuelewa. Hata mimi mwenyewe sijui kwa nini sisi ni maskini. Kama wewe unajua, the meaning behind ni kwamba unajua sababu ambazo ni za msingi ambazo zinatufanya sisi tuendelee kuwa maskini, na kama sababu za msingi zipo, maana yake ni kwamba tunastahili kuwa maskini, na hatutakiwi kulaumiwa na mtu yeyote au kujilaumu sisi wenyewe. Nikupe mfano mdogo, uko na uwezo mzuri nyumbani kwako kimaisha halafu majambazi wakaja nyumbani kwako wakapora kila kitu na kukuacha maskini, baada ya hapo utakuwa una sababu ya msingi kabisa asilimia 100 ya kumweleza mtu kwa nini wewe ni maskini. Lakini kama ulikuwa na maisha mazuri ukaja ukaishiwa sababu ya ulevi wa pombe, je ukishakuwa maskini kwa staili hii, utakuwa na sababu yeyote kweli ya msingi ya kumweleza mtu kwa nini wewe ni maskini na akakueleewa? Unless ni chizi.

Nchi yetu Tanzania ni maskini kwa sababu ambazo hata mimi sizielewi na haitatokea siku nikaja nikazielewa, au labda pengine wewe unayezielewa utueleze ni zipi?

mdau sababu za tz kuwa maskini zipo nyingi sana,zipo za nje na za ndani,ntakupa mimi kama utazihitaji,
 
Kikwete ndie rais bora kwa udhaifu tanzania...tutamkumbuka kwa udhaifu na udini wake.
 
Atakumbukwa kwa kuruhusu vichaa kuingia bungeni.kina lissu na lema wangeishia milembe enzi za kambarage
 
What is wrong if he managed to implement successfull what was planned by Mkapa regime,suppose if he shelved what was planned by Mkapa?

he is just talking things he might have just kept his mouth shut.I have seem the university of Dodoma starting and all infrastructure capitalised during the mkapa erra. school that he talks today
were already in plan.all mmem & Mmes were planned, organized and construction were underway during the mkapa erra.what has he done for this nation that he is dreaming for us to reminisce his presidency? we can only remember him travelling all across the globe and spending Tanzanian tax payers money like hell for nothing."the Carl peters of 21 st century"
 
Kikwete huku kwetu anakubalika hakuna asiyemkubali. Kazi ni kwenu tu watani wa jadi.
 
Jk tutamkumbuka kwa mengi sana ,majina ya vigogo wauza unga na waingizaji wa madawa ya kulevya anayo lakini ameshindwa kabisa kuwashughulikia(Japo yeye ni amiri jeshi mkuu).Majina ya majingili(wavunaji raslimali za nchi] anayo lakini ameshindwa kuyashughulikia (japo yeye ni amiri jeshi mkuu).Wezi waliokwapua fedha za wavuja jasho(EPA) aliwajua lakini cha ajabu .aliwaomba wazirudishe(japo yeye ni amiri jeshi mkuu).Kampuni feki ya richmond na baadae dowans iliisabababishia Serikali hasara kubwa cha a na mpaka kuanguka kwa Serikali yake na baadae kuundwa kwa baraza jipya la mawaziri(cha ajabu hatujaona hatua zozote kali za kisheria zilizochukuliwa dhidi ya wahusika ambao ni watendaji ndani ya Serikali yake.Wanyama wetu walikuja kusombwa hapa na walipitia katika uwanja wa ndege wa kimataifa KIA na walisafirishwa na ndege ya Qutar (ya jeshi) lakini bado raisi amekaa kimya tu kuona namna nchi inaliwa pande zote bila yeye kustuka,nchi hii imekuwa haina ulinzi au mashushu wa kujua kinachoendelea mpaka magazeti yaandike?Nnakumbuka habari hii ya kutoroshwa kwa wanyama iliripotiwa na gazeti la raia mwema.

Yoote haya yanatokea na raisi anajua hivi itakuwa dhambi au makosa kusema na yeye anashirikiana na wezi?
 
Atakumbukwa kama rais aliesababisha mfumuko mkubwa wa bei na kusambaratika kwa usafiri wa daladala,virugu kubwa kwenye biashara ya dizel,petrol na mafuta ya taa,
 
Washauri wake ndio wanaoharibu mchakato sio Jk

haya ndo mambo ya hovyo ambayo watu wazima hatutaki kusikia..mtu mzima huyu alafu ati anaangushwa na washauri wake..maajabu haya..tatzo la MaCCM ni kutaka kumtetea mtu asiyetetewa
 
Even though JK may not be an excellent english speaker he does in kiswahili.I Would be disapointed if he did not.
 
Sijawahi kuona atakachojivunia kikwete na utawala wake,maana shule za kata,barabara nzuri,kuthibiti kwa mfumko wa bei,kupaisha thamani ya shilingi na ajira angalau kuthibiti rushwa aliyeviweza ni Mkapa,yeye ni kuzurura tu na ametuongezea deni na tutakoma mshenzi kweli huyu.
 
Acha ujinga. Nchi haiendeshwi kama familia. Kila kitu kilshapangwa tangu enzi mkoloni. Kinachofanyika kwa sasa ni utekelezaji kulingana na hali halisi iliyopo sasa.

do you mean it? is it the reason behind our dependency to those white pple till today? coz with such thinking we will be slave forever
 
msisahau maji, umeme kabla hajaondoka sehemu nyingi nchini hali itakuwa nzuri mno na dalili
tumeanza kuziona hasa tunaotoka vijijini. Nyie mlio mjini waulizeni jamaa zenu walioko
vijijini !!!!!!!
 
Back
Top Bottom