Habari za asubuhi,
Niende moja kwa moja kwenye mada, dada yenu siku za karibuni nimehamia mtaa wa saba sasa hii nyumba ina pande mbili...upande wa mbele wanakaa wawili na upande wa nyuma tunakaa wawili.
Sasa huyu jirani yangu tunayekaa nae upande wa nyuma majirani wengine wanadai ni mganga wa kienyeji, mkaka yupo nadhifu tu sasa kinachoniogopesha huyu mkewe ni mkarimu sana, huwa ananipa sana chakula na juzi kanipa nyama ya kuku nikasema isijekuwa ndio zile wateja wanaleta haha... Kiukweli mimi najipa moyo kuwa ndio wale wa tiba mbadala, najishawishi kuwa huko ndani hakuweza kuwa na tunguli au nyie wadau mnaonaje.
Now nimesepa zangu nimemuacha dogo pale aendelee kuliwa kiboga taratibu na majini ya yule mzee nasikia anafuga majini.
Hao kuku unao kula wakafaraHabari za asubuhi,
Niende moja kwa moja kwenye mada, dada yenu siku za karibuni nimehamia mtaa wa saba sasa hii nyumba ina pande mbili...upande wa mbele wanakaa wawili na upande wa nyuma tunakaa wawili.
Sasa huyu jirani yangu tunayekaa nae upande wa nyuma majirani wengine wanadai ni mganga wa kienyeji, mkaka yupo nadhifu tu sasa kinachoniogopesha huyu mkewe ni mkarimu sana, huwa ananipa sana chakula na juzi kanipa nyama ya kuku nikasema isijekuwa ndio zile wateja wanaleta haha... Kiukweli mimi najipa moyo kuwa ndio wale wa tiba mbadala, najishawishi kuwa huko ndani hakuweza kuwa na tunguli au nyie wadau mnaonaje.
We jamaa hem niache bwana
Mmh sawa ngoja nianze ukauzuSawa, ila wenzako wanaanzaga hivyo hivyo...mara leo kipande cha nyama ya mtu na mchuzi wake, kesho pumbu za jirani yako mwingine, kisha mwishowe unawehuka bila kujijuwa. Shauri yako, vya bure vina hasara yake na anayekutafuta anakuanzia mbali tena kwa ukarimu wa kupitiliza.
Nitaachaje kula na huku watoto mmenisahau nashindwa kununua hata kipande cha samaki
Teknolojia imewabadilisha, siku hizi wanatumia mpaka smart phone. Ukiingia social networks unakutana na matangazo yao ya kumvuta aliye mbaliWee kula tu havina madhara hivyo,
Halafu kwa nini waganga siku hizi wamekuwa ni wakaka smart ama ni wajukuu waliorithishwa?!
Itakua mganga ndo kamtuma akuletee nyama, ana lengo lake nyuma ya pazia. Utajikuta siku umeamka upo kitandani kwa mgangaHabari za asubuhi,