Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,371
- 29,937
Una nn lakin embu acha kumshirikisha kuku wa watu kwenye maswala yako ya tunguli
Una nn lakin embu acha kumshirikisha kuku wa watu kwenye maswala yako ya tunguli
We shauri lakoUna nn lakin embu acha kumshirikisha kuku wa watu kwenye maswala yako ya tunguli
Ha ha ha mlinzi au mshika tunguli ndio maana lile jamaa lako zoba zoba kumbe kashatengenezwa
wax huyoo?Ha ha ha mlinzi au mshika tunguli ndio maana lile jamaa lako zoba zoba kumbe kashatengenezwa
Hahaha hamna ndumba ni ufundi tuHa ha ha unamjua mwenyew mm sitak kumtaja hapa... Ila tayar kashwekwa mtu kati jeur hana
Ha ha ha fundi uwe ww labda fundi majeneza
khaa we dogo nitakuchapaHa ha ha fundi uwe ww labda fundi majeneza
We nchape tu ila ufundi hamna kitu
We dogo acha kunipanga hapa najua lengo lako unataka nikuonyeshe, sasa mimi nililiona jua kabla yakoWe nchape tu ila ufundi hamna kitu
Ha ha ha ha sasa mm nione ufundi ili iweje kashabambikiwa wax bas acha apambane naoWe dogo acha kunipanga hapa najua lengo lako unataka nikuonyeshe, sasa mimi nililiona jua kabla yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha huna lolote kama vipi akija kesho gengeni mwambie akusimulieHa ha ha ha sasa mm nione ufundi ili iweje kashabambikiwa wax bas acha apambane nao
Ha ha ha ha kama kusimulia uje ujieleze mwemywe kwangu lile jamaa haliwez toa siri ya utamuHahaha huna lolote kama vipi akija kesho gengeni mwambie akusimulie
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye ndio atakuelezea vizuri sasaHa ha ha ha kama kusimulia uje ujieleze mwemywe kwangu lile jamaa haliwez toa siri ya utamu
Ukimuangalia unahis anaweza kutoa siri yule.by the way kwa ufund upi huo wa kuhtaj kusimuliwa??
Huhitaji kusimuliwa ila unahitaji kushuhudia laivu sio?Ukimuangalia unahis anaweza kutoa siri yule.by the way kwa ufund upi huo wa kuhtaj kusimuliwa??
La kushuhudia sasa hlo jengne
Haha lala dogo kesho uwahi kufungua gengeLa kushuhudia sasa hlo jengne