Jirani ananikonyeza na kanga moko: Nifanyeje?

Nyie mahenisamu huwa mnakosa kabisa akili.

Si umesema ni mke wa mtu?

Uhensamu ni mzigo huo, ni nyota ya UKIMWI.
Duuh hii mindset mbona ni kama dogma ya Kukaririshwa? Mbona kuna watu smart tu tena na hawaja kuwa taken by their smartness... Kuruka vihunzi ni ngumu sawa nakubali. Ndo maana nimekuja kuomba msaada wa kuweza kulivuka hili
 
Ukidakwa utageuzwa mke wa pili.
 
Wakati mnapiga stori mbili tatu Itakua ulikua unalambalamba lips kama mfanyavyo vijana wa kileo, akahisi unamtamani
Sina hulka za kijinga mm..
I was just welcoming, kumpa moja mbili za hapo. Na hata mumewe tunavibe kama wana tu.. Hakuna mazoea ya kijinga
 
Ndugu zangu nilisema nipigana na tabia mbaya ya kutamani wanawake ila sasa naona shetani naye anazidi kunipa majaribu..

Leo asubuhi kipindi najianda kwenda kwenye mihangaiko.. Yule jirani aliye hamia na mumewe, ametoka nje na kanga moko..

Kanipa hai, then akanikonyeza huku a nacheka wazi wazi kabisa..

Jamani hizi ni dharau na dhahiri ananitafuta kusudi kabisa..

Ana wezele zuri sawa, ila she's someone's wife... Ndugu zangu hali hii ikiendelea najiona kabisa nikianguka dhambini.

Je, nifanye njia gani kuukwepa huu mshale wa moto ambao shetani a najaribu kunirushia?

Ona sasa, niko kazini na akili yangu imejigota kwa tako la jirani..!

This is insane guys, na ni kwanini unapo fika a point of no return mambo ndio huwa yanakuwa magumu kiasi hiki..

Je, nikamgombeze na kumfanya aache tabia hiyo mara moja... Au nifanye nini ili mazoea haya mabaya yaweze kukoma?
Kizuri tushawaeleza watu wa aina yako kwamba fanya makosa yote lakini sio kumla mke wa mtu ,,,,,,,,coconut oil ni buku 2 tu mkuu so uchague wewe
 
Kijana wazo limemjia kwenye kalianzishia uzi
JF VAR CHECK

Ndugu zangu nilisema nipigana na tabia mbaya ya kutamani wanawake ila sasa naona shetani naye anazidi kunipa majaribu..

Leo asubuhi kipindi najianda kwenda kwenye mihangaiko.. Yule jirani aliye hamia na mumewe, ametoka nje na kanga moko..

Kanipa hai, then akanikonyeza huku a nacheka wazi wazi kabisa..

Jamani hizi ni dharau na dhahiri ananitafuta kusudi kabisa..

Ana wezele zuri sawa, ila she's someone's wife... Ndugu zangu hali hii ikiendelea najiona kabisa nikianguka dhambini.

Je, nifanye njia gani kuukwepa huu mshale wa moto ambao shetani a najaribu kunirushia?

Ona sasa, niko kazini na akili yangu imejigota kwa tako la jirani..!

This is insane guys, na ni kwanini unapo fika a point of no return mambo ndio huwa yanakuwa magumu kiasi hiki..

Je, nikamgombeze na kumfanya aache tabia hiyo mara moja... kukoma?
Dah! pole sana mkuu! hata mimi huko moto ni ulele, bora wewe huko, mimi wanaanika mapaja nje halafu ni meupe!!!
 
Back
Top Bottom