Jirani ananikonyeza na kanga moko: Nifanyeje?

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
13,962
Reaction score
27,059
Ndugu zangu nilisema nipigana na tabia mbaya ya kutamani wanawake ila sasa naona shetani naye anazidi kunipa majaribu..

Leo asubuhi kipindi najianda kwenda kwenye mihangaiko.. Yule jirani aliye hamia na mumewe, ametoka nje na kanga moko..

Kanipa hai, then akanikonyeza huku a nacheka wazi wazi kabisa..

Jamani hizi ni dharau na dhahiri ananitafuta kusudi kabisa..

Ana wezele zuri sawa, ila she's someone's wife... Ndugu zangu hali hii ikiendelea najiona kabisa nikianguka dhambini.

Je, nifanye njia gani kuukwepa huu mshale wa moto ambao shetani a najaribu kunirushia?

Ona sasa, niko kazini na akili yangu imejigota kwa tako la jirani..!

This is insane guys, na ni kwanini unapo fika a point of no return mambo ndio huwa yanakuwa magumu kiasi hiki..

Je, nikamgombeze na kumfanya aache tabia hiyo mara moja... Au nifanye nini ili mazoea haya mabaya yaweze kukoma?
 
Leta mwenye tako wa kwako magetoni amuone, usiumize kichwa na mke wa mtu..
 
Kwa sasa Hapana, nilitaka niwe clean ila hii kadhia ni kama jaribu kabisa la kutaka nianze zero tena
 
Hiyo ni kawaida pale Malaya wawili wanapokutana.
Una uhakika? Na kwanini umewaza namna hiyo? Yeye basi anataka kujua yaliyomo ila hajui kuwa mm ndo nina ingia mtegoni
 
Back
Top Bottom